Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

Hakuna kikao kama hicho kilichofanyika. Lowassa yupo Dar tangu tarehe 3. Tulieni kwani dawa inawaingia taratibu, kuweni majasiri
 
acha mawazo finyu ww..
TEAM lowassa
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kuna kitu unataka kusema ila hujui kujieleza

Umri huu najitambua mkuu...si rahisi kuruhusu kila mtu akuelewe.

In short nitajieni wasafi watano tu wakiwemo wazazi wetu then tujiulize wanatosha kuwa Rais wa awamu ya Tano? Mie nitafarijika sana. Maana nowadays kuna Kanisa la Watakatifu Wajao. Huenda tunaye ndani ya CCM au Wapinzani wao..
 
Back
Top Bottom