Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

Mbona hujaleta agenda nyingine mlizo zungumza, kwa vile hilo limekukera baasi, umelitoa apa
 
mleta mada ww ni mbea tu, kama ulijua huwezi kukaa nalo rohono kwnn ulihudhuria kikao? au ndio mambo ya bahasha.
Mm si mwanaccm wala kada wa chama chochote lkn pia sijapenda kwa hiki ulichokileta.
 
Ikiwa Lowassa ni fisadi basi huyu ndie tiba ya ufisadi maana anaujua, kama mwizi basi ndie tiba yake.

THIS TIME TUNATAKA MCHAWI ATULELEE TANZANIA. Mkisema ni MKWASI BASI NI ZAMU YAO MAANA TUMEONGOZWA NA MALOFA WENGI TU

Inawezekana kuna kitu unataka kusema ila hujui kujieleza
 
Lowasa is coming president. Mchafueni mtajua madhara yake. Tz 2015 is in danger.. Because we like him but you don.. Many people like him that reality.
 
...umevimbiwa posho, mbona hukukataa posho nyambafu Mkubwa ! ...
 
Kama mnaamini Edo sio rais mtarajiwa na hakubaliki kwanini kila kukicha anajadiliwa? Hofu inatoka wapi
 
Hizo stori zako kamsimulie mke wako!!Hayo majungu tumeshazoea na hakuna asiyejua hizo ni hadithi zenu za kutunga mpate mshahara wenu wa kila siku kwa anayewatumia!!Hatudanganyiki!!
Penda , uchukie, El apitishwe na CC au asipitishwe bado atakuwa rais wa JMT 2015/2025!!Lowasa hawezi kuomba kuungwa mkono na Kikwete!!Watanzania tuko nyuma ya EL na atakuwa rais 2015/2025!!
 
Lowasa naye kituko kweli anapenda sana siasa za kipuuzi kama hizi.
 
Acha umbea mtoto wa kiume.lowassa awezi tegemea kiongozi ambae ni zaifu kumwingiza madarakani na kwa taharifa yako jk hata kwenye chama hana super power kama lowassa ingawa yeye ni mwenyekiti na ukitaka kujua hilo muulize sitta kwenye uspka alifanywaje na friend of lowassa huku jk akiangalia tu
 
hakuna fisadi yeyote atakayepenya kwenye urais UKAWA tuko makini sana .
 
Back
Top Bottom