Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

WamLola

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
343
Reaction score
122
Edward Lowassa ameanza siasa za kilaghai,Hii imetokea jana usiku kwenye kikao alichokiongoza yeye mwenyewe nyumbani kwake Area D.
Lowassa ametueleza kuwa tuanze kueneza propaganda ya kilaghai dhidi ya mambo anayoyaona magumu kwake.

Baada ya kugundua kuwa hayuko karibu na Familia ya Rais Kikwete, ametueleza tuanze kueneza Taarifa kuwa yeye mwenyewe hukutana na Rais Kikwete usiku kila siku na agenda yao huwa ni moja tu "kumwachia urais" haya nayasema hapa maana jana nimekuwa kwenye kikao.

Lowassa anasisitiza tuhakikishe propaganda hii inaenezwa kwa gharama yeyote, maana ikirudiwa mara nyingi watu wataiamini, Lowassa umeanza siasa za kilaghai?
Tukiwa kwenye kikao tukajulishwa kuwa kikao cha namna hiyo kilikuwa kinafanyika Arusha,Hotel ya Mount Meru agenda ni hiyo moja tu,"kikwete anakutana na Lowassa kila siku usiku" umekuwa mchawi?.

Tukiwa hapa Dodoma tumekuja kwenye Harusi ya Mjumbe wa NEC inayofanyika hapa Dodoma,tukapata mwaliko huu.

Kikao cha Dodoma na Arusha vyote vimeazimia kuwa na kauli mbiu isemayo "SIMAMA UHESABIWE,HAKATWI MTU HAPA" kwahiyo iwaminishe watu kuwa Lowassa hawezi kukatwa jina.

Tukiwa kwenye kikao mimi na wenzangu tumeshangaa hatua za kilaghai zinazotaka kuchukuliwa na Jamaa huyu.

Kwanini anataka kumchafua Rais?
Kwanini anataka kutumia jina lake kwa kufanikisha mambo yake?
Je Lowasaa amejua kuwa atakatwa jina kwahiyo anajihami?
Lowassa ameona anashindwa sasa au ameishiwa mbinu?

Pole sana Lowassa kikao cha usiku Dodoma na Arusha ni ishara mbaya kuwa unaelekea kuangukia pua.
 
Daah! Siasa ya Tanzania ni kama duduwasha,wewe umekaribishwa halafu umamwaga siri yote mtandaoni,nyie ndio huwa mnakatwa mikono.
 
loading .............hata sielewi........siipendi sisiem lakini namuheshimu sana huyu mzee kwa kuweza kukaa kimya kwa uvumilivu kwa mambo mabaya anayosemwa yale ya kweli au uwongo .......

*****salute LOWASA ****
 
Ntake msitake Lowasa ndio rais wa Tanzania baada ya Kikwete
 
Edward Lowassa ameanza
siasa za kilaghai,Hii imetokea jana usiku kwenye kikao alichokiongoza
yeye mwenyewe nyumbani kwake Area D.
Lowassa ametueleza kuwa tuanze kueneza propaganda ya kilaghai dhidi ya
mambo anayoyaona magumu kwake.

Baada ya kugundua kuwa hayuko karibu na Familia ya Rais Kikwete,
ametueleza tuanze kueneza Taarifa kuwa yeye mwenyewe hukutana na Rais
Kikwete usiku kila siku na agenda yao huwa ni moja tu "kumwachia urais"
haya nayasema hapa maana jana nimekuwa kwenye kikao.

Lowassa anasisitiza tuhakikishe propaganda hii inaenezwa kwa gharama
yeyote, maana ikirudiwa mara nyingi watu wataiamini, Lowassa umeanza
siasa za kilaghai?
Tukiwa kwenye kikao tukajulishwa kuwa kikao cha namna hiyo kilikuwa
kinafanyika Arusha,Hotel ya Mount Meru agenda ni hiyo moja tu,"kikwete
anakutana na Lowassa kila siku usiku" umekuwa mchawi?.

Tukiwa hapa Dodoma tumekuja kwenye Harusi ya Mjumbe wa NEC inayofanyika
hapa Dodoma,tukapata mwaliko huu.

Kikao cha Dodoma na Arusha vyote vimeazimia kuwa na kauli mbiu isemayo
"SIMAMA UHESABIWE,HAKATWI MTU HAPA" kwahiyo iwaminishe watu kuwa Lowassa
hawezi kukatwa jina.

Tukiwa kwenye kikao mimi na wenzangu tumeshangaa hatua za kilaghai
zinazotaka kuchukuliwa na Jamaa huyu.

Kwanini anataka kumchafua Rais?
Kwanini anataka kutumia jina lake kwa kufanikisha mambo yake?
Je Lowasaa amejua kuwa atakatwa jina kwahiyo anajihami?
Lowassa ameona anashindwa sasa au ameishiwa mbinu?

Pole sana Lowassa kikao cha usiku Dodoma na Arusha ni ishara mbaya kuwa
unaelekea kuangukia pua.

Kiukweli naona mzee wasila angepumzika siasa ya Mzee wasira ni hatariiiiiiiiiiii,,,,,nayakumbuka maneno ya Mwl. JKNyrr
 
Lowassa ichunguze timu yako,kwanini kila unapofanya kikao siri zinavuja?
 
Watu hawaachiani uraisi, unacho weza kumuachia mwenzio Ni viatu na mashati,raisi anachaguliwa na watu ,so I don't think hizi mbinu will prove anything. Kama m2 Hafai Hafai tu.
 
Edward Lowassa ameanza siasa za kilaghai,Hii imetokea jana usiku kwenye kikao alichokiongoza yeye mwenyewe nyumbani kwake Area D.
Lowassa ametueleza kuwa tuanze kueneza propaganda ya kilaghai dhidi ya mambo anayoyaona magumu kwake.

Baada ya kugundua kuwa hayuko karibu na Familia ya Rais Kikwete, ametueleza tuanze kueneza Taarifa kuwa yeye mwenyewe hukutana na Rais Kikwete usiku kila siku na agenda yao huwa ni moja tu "kumwachia urais" haya nayasema hapa maana jana nimekuwa kwenye kikao.

Lowassa anasisitiza tuhakikishe propaganda hii inaenezwa kwa gharama yeyote, maana ikirudiwa mara nyingi watu wataiamini, Lowassa umeanza siasa za kilaghai?
Tukiwa kwenye kikao tukajulishwa kuwa kikao cha namna hiyo kilikuwa kinafanyika Arusha,Hotel ya Mount Meru agenda ni hiyo moja tu,"kikwete anakutana na Lowassa kila siku usiku" umekuwa mchawi?.

Tukiwa hapa Dodoma tumekuja kwenye Harusi ya Mjumbe wa NEC inayofanyika hapa Dodoma,tukapata mwaliko huu.

Kikao cha Dodoma na Arusha vyote vimeazimia kuwa na kauli mbiu isemayo "SIMAMA UHESABIWE,HAKATWI MTU HAPA" kwahiyo iwaminishe watu kuwa Lowassa hawezi kukatwa jina.

Tukiwa kwenye kikao mimi na wenzangu tumeshangaa hatua za kilaghai zinazotaka kuchukuliwa na Jamaa huyu.

Kwanini anataka kumchafua Rais?
Kwanini anataka kutumia jina lake kwa kufanikisha mambo yake?
Je Lowasaa amejua kuwa atakatwa jina kwahiyo anajihami?
Lowassa ameona anashindwa sasa au ameishiwa mbinu?

Pole sana Lowassa kikao cha usiku Dodoma na Arusha ni ishara mbaya kuwa unaelekea kuangukia pua.

Kwani rais ndiye anayechagua?wananchi ndiyo tutakaochagua.
Halafu mbona mnamuogopa sana lowasa?mnajua akiingia tu,lazima muhame nchi hii.
 
Kiukweli naona
mzee wasila angepumzika siasa ya Mzee wasira ni
hatariiiiiiiiiiii,,,,,nayakumbuka maneno ya Mwl. JKNyrr

Mzee wasira kwa sasa yupo na suala la kitaifa Katiba,,,hili linampa heshima huku Iringa,,,kuliko wote walio tangaza nia...
 
Toa umbea wako hapa jukwaani wewe, mimi ni mmoja wa karibu wa lowassa hakuna kikao chochote tulichokaa arusha huo uppuzi wako ukiwa moja ya agenda.

Pili hatujawahi kukaa mount meru hotel kwa ajili ya strategies za bwana lowassa. Mbona nyie huko dodoma mlikaa nyumbani kwake na si dodoma hotel????? Hii in prove we ni idiot kiasi gani
 
Daah! Siasa ya Tanzania ni kama duduwasha,wewe umekaribishwa halafu umamwaga siri yote mtandaoni,nyie ndio huwa mnakatwa mikono.
huyu mleta mada ni mpuuz lowasa na jk nan anamtegemea mwenzake kwenye chama...lowasa na kikwete hawakukutana barabaran 2015 mtajuta kumfahamu lowasa...mdmu group mnatapatapa
 
Back
Top Bottom