"Kama wanasema Lowassa
ni mzima, naomba akakimbie
uwanja wa Taifa azunguke
hata mara moja kama
hataishia ICU" DIALO (PHD)
Mmmmh kumbe.........?Eti LOWASSA Eti..... Awe Rais nahamia Somali nikaishi mogadishu
Yawn wewe no muongo uliyekubuhu, hakuna kikao kama hicho kilichopata kifanyika, mbona ukimya wa huyu mzee unawatikisa kengere zenu kila kukicha.. Na kwa taarifa yako, cc watanzania tunamuhitaji LOWASA na sio hayo matapishi yenu mnayotaka kutuaminisha
Kwahiyo mkuu unadhani wasira anafaa?hebu ichunguze vzr cv yake nadhani jibu italipata!...nadhani kuna kauafadhali kwa lowassa..kuliko hawa wengine..mbona unachelewa al shabab wanakusubiri mkuu...watakukaribisha kwa mikono miwili!
Mtapiga mayowe lakini mwisho wa siku.lowasa ndio ataingia ikulu
Mkimnyima lowasa kugombea CHADEMA inashinda 90% mkimpa inashinda 65% Ndio habar ya mujin