Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

Watu hawaachiani uraisi, unacho weza kumuachia mwenzio Ni viatu na mashati,raisi anachaguliwa na watu ,so I don't think hizi mbinu will prove anything. Kama m2 Hafai Hafai tu.
 
Toa umbea wako hapa jukwaani wewe, mimi ni mmoja wa karibu wa lowassa hakuna kikao chochote tulichokaa arusha huo uppuzi wako ukiwa moja ya agenda.

Pili hatujawahi kukaa mount meru hotel kwa ajili ya strategies za bwana lowassa. Mbona nyie huko dodoma mlikaa nyumbani kwake na si dodoma hotel????? Hii in prove we ni idiot kiasi gani

Hee kumbe wameanza vikao tena.........maskini nchi yangu inaliwa na wajanja aisee
 
Wengine eti "EL kujiondoa mbio ......." Wengine ni Kama Huyu. Wengine mara EL ka. ...... afya. Wengine eti katoa laki mbili.

Piganeni, yetu macho. Lakini namwona Dr Yuleeeeeee na timu yake taratibu wanaelekea IKULU.
 
Toa umbea wako hapa jukwaani wewe, mimi ni mmoja wa karibu wa lowassa hakuna kikao chochote tulichokaa arusha huo uppuzi wako ukiwa moja ya agenda.

Pili hatujawahi kukaa mount meru hotel kwa ajili ya strategies za bwana lowassa. Mbona nyie huko dodoma mlikaa nyumbani kwake na si dodoma hotel????? Hii in prove we ni idiot kiasi gani

Mkuu usikasirike kwanza nashukuru umesema we ni Wa Karibu,pili kwani urais huwa unaupataje ukiwa unautaka unaweza kunisaidia ili na Mimi nivunje ukimya
 
Wengine eti "EL kujiondoa mbio ......." Wengine ni Kama Huyu. Wengine mara EL ka. ...... afya. Wengine eti katoa laki mbili.

Piganeni, yetu macho. Lakini namwona Dr Yuleeeeeee na timu yake taratibu wanaelekea IKULU.

Wasira Yes wengine No....
 
Mtoa mada ni Mzushi na Mzandiki.... Lowasa hana muda wa kuandaa Vikao na Wajinga kama wewe..

.
 
Wengine eti "EL kujiondoa mbio ......." Wengine ni Kama Huyu. Wengine mara EL ka. ...... afya. Wengine eti katoa laki mbili.

Piganeni, yetu macho. Lakini namwona Dr Yuleeeeeee na timu yake taratibu wanaelekea IKULU.

Dr wa Maandamano..

Lowasa Rais wa Tanzania kuanzia 2015 to 225.
 
Lowassa jua tuko dodoma na tunajua unacho kifanya acha ujinga jua huwezi kuwa rais na katubu zambi zako maana umekula hela ya wavuja jasho watanzania. Laana iko juu yako na wanao kufuata nao wame laaniwa.
 
Mi nakumbuka ndo maana nasubiru tu
 
Back
Top Bottom