Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Yaani hâta saisi huku mkoa tbr naviunga vyake hatuwataki kabii saaaaa
 
niko kahama watu ni lowasaaaa tu.

hii habari ni kila kona mkuu, mpaka lumumba habari ni lowasa tu, magufuli naye ni lowasa tu, kina polepole na wenzake habari ni lowasa, makongoro nyerere huko alipo ishu ni lowasa.....lowasa sio habari ya mjini tu, hii ni habari ya tanzania nzima kwa sasa........si unaona hata hapa jf, jabari ni lowasa......ili uzi wako usomwe, we muandike lowasa, ama kweli mti wenye matunda.
 
Hakuna haja kwa sababu elimu itakuwa bora an bure hadi chuo kikuu so mwananchi unafanya choice umpeleke shule ya bure au ya milioni 6
 
Magufuli anakazi ya pekee a napambana na maboss wake wawili ambao wote alikuwa chini yao vijana geuza mioyo yenu msaidie huyu bwana mdogo Magufuli,wote wawili walikuwa watendaji wakubwa kwake leo wamekeuka wakidai mabadiliko, hili ni jambo muhimu kuliangalie isije ikawa Ukawa kisingizio cha kuficha uzembe wao kwa mambo yaliyofichika nyuma ya pazia
 
kwa hali inavyokwenda kwa sasa NEC ina kazi kabwa sana ya kuibeba ccm ...hali ni mbaya mno kwa ccm ...lowasa HASHIKIKI na anafanya kampeni za kistaarabu mnoo ...ccm ina kazi kubwa sana ...hata dola haitafanikiwa kuibeba ccm, ni kazi ngumu sana kuinadi ccm kwenye mikoa inayojitambua...lubuva yupo kwenye wakati mgumu mnooo akisema atende haki ccm inapigwa mapema sana ...haki isipotendeka hii nchi itaelekea kubaya sana na taifa liweza kugawanyika vipande vipande baada ya uchaguzi....ccm wamebaki kudeal na lowasa kila kukicha na kusababisha jina lake kupaaa....magufuli anateswa na yaliyofanywa na viongozi waliopita kuwashawishi wanachi kwa chama kile kile sera zile zile ilani ile ile ikiwa imebadilishwa maneno tuuu

kweli mkuu, tofauti na mkutano wa wakimbizi katavi ,mikutano yote ya magufuli wengi wa wananchi wa kawaida waliofika kumsikiliza wamepoa hawaonyeshi hamasa wala msisimko wowote kwa mujibu wa kamera za itv,wanaoonyesha hamasa na ushangiliaji ni wachache waliovaa sare za ccm, hii inatokana na utekelezaji dhaifu wa sera katika serikali iliyopita.
 
ccm siwataki kabisa...wametufanya tuwe maskini.....natokea Rorya adhi tunayo tele kubwa lakini haina value,sasa Lowassa kahidi kupima ardhi yoye ya Tanzania ni kutoa hati....hapo Magufuli wa nini?.EDO TU HAPA.

Rorya nasikia Lameck Airo anagawa hela mpaka watu hawafanyi kazi tena. Sijui kapata wapi pesa zile.
 
Mbona mnalumbana kwa kukashifiana ba jameni.Tuache utani na upenzi wa vyama, mwaka huu kwa mara ya kwanza tutakuwa na Uchaguzi mgumu na wenye upinzani wa hali ya juu sana kila ngazi kama zilivyo chaguzi za wenzetu Zambia,Malawi,Kenya,Nigeria,Ghana,USA,UK.Wagombea wamwage sera tuwasikilize.Watu tujitokeze kwa Wingi bila kufanya fujo,Tume itende haki..Rais bora atapatikana mwaka huu 2015 (Nimtaje?).MUNGU IBARIKI TANZANIA

Mkuu cyo upenz na vyama ni uhalisia anayeendelea kuwa ndan ya ccm hazimtoshi maan maguful mwenyew hali ikiendelea naye unakuta ukawa kaongozana na lowassa kwa sabab ukweli na uhalisia wa mambo uko bayan
 
Hizo kauli zenu wapiga kura wamezingatia sana mahitaji yenu Tusubiri Tar 25 .10 mle kichapo ambacho mtashaanga ni sisi kweli .Amini na kuambia Uchaguzi wa Mwaka huu ni Mwepesi Sana sanaa Kuliko unavyodhani ni Sawa na Vikao vya harusi Siku ya kwanza kikao watu wanajaa vikao vinavyoendelea watu mnaachana mpaka mpigiwe Simu .Na ndio itakavyokuwa Mtaachana Mmoja mmoja mpaka Mtabaki mnalialia .narudi a tena FISADI HAINGII IKULU N'GOOOO

Ni kweli kabisa
 
Ushindi ni asubuhi.Kutokana na furaha kubwa nitakayokuwa nayo,kwanza nitazimia madakika kadhaa.Wale ntaokaokua nao mjue kabisa ni Mzimio wa Furaha tu...Baada ya kupepewa ntaamka na kutembea uchi mpaka ofisi za CHADEMA huku nikiwa na Bango kubwa lenye picha Lowasa 2015-2020!!


Wewe ni me au ke?

Kama ni me usijibu hili swali.

Lakini kama ni ke basi tufahamishe haya maandamano yako yataanzia mtaa gani tuje tukusindikize.
 
Ushindi ni asubuhi.Kutokana na furaha kubwa nitakayokuwa nayo,kwanza nitazimia madakika kadhaa.Wale ntaokaokua nao mjue kabisa ni Mzimio wa Furaha tu...Baada ya kupepewa ntaamka na kutembea uchi mpaka ofisi za CHADEMA huku nikiwa na Bango kubwa lenye picha Lowasa 2015-2020!!

Jiandae kuandamana kupinga Matokeo ukiwa uchi .... Maana hatoshinda
 
Wewe ni me au ke?

Kama ni me usijibu hili swali.

Lakini kama ni ke basi tufahamishe haya maandamano yako yataanzia mtaa gani tuje tukusindikize.
Mkuu nina "la jang'ombe"....ratiba maandamano haijajulikana vizuri coz itategemea matokeo yatanikuta wapi
 
Back
Top Bottom