unajua maana ya heshima ww? Fisadi hana heshima mpaka siku anaingia kaburini. Si ajabu hata kaburi lake likawa vandalized! Tutakuwa tumepotea kama taifa tukianza kuheshimu wezi eti kwa kuwa ni marais. Mwizi ni mwizi tu hata awe malaika na bila kujali ametoka chama gani. I got no respect whatsoever for dem thieves....!
Sisa za mwaka huu ni rahisi kwa ukawaSasa umeniandikia hili gazeti ili iweje? Linahusianaje na mada husika? Mi nimesema sina heshima na mianasiasa hii mijizi hata siku moja iwe miraisi ama la TENA BILA KUZINGATIA IMETOKA CHAMA GANI. Sasa ww umefyatuka na mafuriko ya kutengeneza mara sijui nini. Hayo mafuriko ya kutengeneza mi yananihusu nini? Mtafute Nappe au aliyekuwa msimamizi wa huo mkutano umlalamikie. Yaani siasa za mwaka huu ni kazi kweli kweli!
riz wani tumuiteje basii?
Leo asubuhi nimeamka mwenye furaha sana baada ya kuota lowasa ameshinda uchaguzi.
Anashinda kweli,mi majuzi niliota mkapa na jk wanaikimbia nchi nikajua tayari tunaenda ikulu hapa,maana hawa lazima watoke nduki tu.
Leo asubuhi nimeamka mwenye furaha sana baada ya kuota lowasa ameshinda uchaguzi.
kijana mchapa kazi saaana anaejituma
Lowassa ndio raisi ajae