MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Na tutatangaza matokeo kabla litume lao halijayachakachua.
kwa faida yako; huko watu wengi hawakujiandikisha kwenye daftrai la wapiga kura
hakuna dalili za bvr kupita maeneo hayo tena .
Pole yako
View attachment 280959
Lowasa lazima ashinde na lazima atangazwe na Tume ya uchaguzi.
mkuu mbona na mimi nilijiandikisha kijiji cha MUHORO?. WEWE HIZO HABARI ZA HILO GAZETI HUKUELEWA. SEMA WILAYA HIZO 4 ZINA WAPIGA KURA WACHACHE LAKINI WENGI TUMEJIANDIKISHA NA NAKUMBUKA TUME WALISEMA MKOA WA LINDI NA PWANI WALIJIANDIKISHA KWA ZAIDI 95%. ANGALIA LIBRARY YAKO UTAONA.
Tatizo la CUF wengi waliopewa majimbo hayo hawajarudisha form,wakidhani wanaikomoa CHADEMA.
Na tutatangaza matokeo kabla litume lao halijayachakachua.
umeshasema asilimia 65 ya rufiji ilichukuliwa na cuf...sasa kama hakuna maendeleo mwakamate hao hao cuf si mliwaamini.
Lakini ni ukweli unasikitisha kwamba wananchi wengi wa vijijini hawana habari na vuguvugu la kisiasa linaloendelea..wengi wao wanajua tu ccm ndio inayodumisha amani na kuwa isipotawala vita kubwa itatokea..umati huu uliobado na ujinga mwingi ndio wapiga kura wazuri wa chama cha mafisadi na bahati mbaya wako wengi mno ukilinganisha na wavuguvugu ambao wengi wetu tuko mijini tu..kwahyo nafasi ya ccm kuendelea kubaki ni kubwa zaidi
Wamenikwaza sana acha tu...
mkuu asikudanganye mtu "hakuna sehemu hata moja ambayo cuf hawana mgombea , unayoyasema wewe yametokea mtwara na sio rufiji, kilwa, lindi wala luangwa. Kote cuf wameweka wagombea kuanzia ubunge mpaka udiwani.
Na wanaikomoa kweli
Kwanini uwapekura! halafu hawatukomoi watanzania kwakuwa hawagombeiHivi ni kweli wanaikomoa CDM au watanzania tuliowaamini??Hivi kesho wakija kutaka uongozi ni wale kura yangu??Hakika wamejimaliza wenyewe zaidi kuliko CDM
Kwanini uwapekura! halafu hawatukomoi watanzania kwakuwa hawagombei