Lowasa hawezi kuwa Rais Wa nchi hii, labda kuzimu
Unapoamka angalia unaelekea wapi kama unaenda na mafisadi nenda kivyako tu wengine tupo na mzalendo magufuli.
Hivi wewe unaelewa ulichokua unakisimamia toka ujiunge chadema?
Labda kama anazungumzia nchi ya wauza unga na mafisadi hiyo ndiyo saizi yake.
Unapoamka angalia unaelekea wapi kama unaenda na mafisadi nenda kivyako tu wengine tupo na mzalendo magufuli.
Wauza unga wapo ikulu na mafisadi ya EPA, kagoda,escrow na meremeta yapo ccm yanatapatapa.Fisadi la Richmond limeshatajwa na lowasa likakaa kimya kwa aibu
wewe baki huko huko kwa majizi makuu....watanzania tunataka mabadiliko............unapoamka angalia unaelekea wapi kama unaenda na mafisadi nenda kivyako tu wengine tupo na mzalendo magufuli.