Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

kwa hali inavyokwenda kwa sasa NEC ina kazi kabwa sana ya kuibeba ccm ...hali ni mbaya mno kwa ccm ...lowasa HASHIKIKI na anafanya kampeni za kistaarabu mnoo ...ccm ina kazi kubwa sana ...hata dola haitafanikiwa kuibeba ccm, ni kazi ngumu sana kuinadi ccm kwenye mikoa inayojitambua...lubuva yupo kwenye wakati mgumu mnooo akisema atende haki ccm inapigwa mapema sana ...haki isipotendeka hii nchi itaelekea kubaya sana na taifa liweza kugawanyika vipande vipande baada ya uchaguzi....ccm wamebaki kudeal na lowasa kila kukicha na kusababisha jina lake kupaaa....magufuli anateswa na yaliyofanywa na viongozi waliopita kuwashawishi wanachi kwa chama kile kile sera zile zile ilani ile ile ikiwa imebadilishwa maneno tuuu
 
ccm siwataki kabisa...wametufanya tuwe maskini.....natokea Rorya adhi tunayo tele kubwa lakini haina value,sasa Lowassa kahidi kupima ardhi yoye ya Tanzania ni kutoa hati....hapo Magufuli wa nini?.EDO TU HAPA.
 
  • Thanks
Reactions: ERO
Lubuva inajulikana kabisa kuwa hawezi kuibeba CCM na JK anajutaaaaa kumchagua kuwa mwenyekiti wa NEC
 
Anaweza mbadilisha muda wowote kuanzia sasa. Wakummbuka yule Mkurugenzi wa Uchaguzi juliasi Mallaba alimbadili? Hakuna kisichowezekana kwa JMK.
 
kwa hali inavyokwenda kwa sasa NEC ina kazi kabwa sana ya kuibeba ccm ...hali ni mbaya mno kwa ccm ...lowasa HASHIKIKI na anafanya kampeni za kistaarabu mnoo ...ccm ina kazi kubwa sana ...hata dola haitafanikiwa kuibeba ccm, ni kazi ngumu sana kuinadi ccm kwenye mikoa inayojitambua...lubuva yupo kwenye wakati mgumu mnooo akisema atende haki ccm inapigwa mapema sana ...haki isipotendeka hii nchi itaelekea kubaya sana na taifa liweza kugawanyika vipande vipande baada ya uchaguzi....ccm wamebaki kudeal na lowasa kila kukicha na kusababisha jina lake kupaaa....magufuli anateswa na yaliyofanywa na viongozi waliopita kuwashawishi wanachi kwa chama kile kile sera zile zile ilani ile ile ikiwa imebadilishwa maneno tuuu

Amebadili SERA za KUSHANGAA amekuja na sera ya VITA kama LIBYA na CHINA.Na yule mwenzake amekuja na SERA ya kutosaidia maeneo ambayo yatachagua UPINZANI.
 
  • Thanks
Reactions: ERO
Suala la umiliki wa ardhi kwa kupima nchi nzima ni goli la tiktak kwa timu ya UKAWA hata sera ya elimu safi sana,lakini hapo UKAWA mugewathibiti hata wanaomiliki vyuo na shule gazi mbali mbali kama kuna bei kikomo cha mafuta ya petroli vipi kwa bidhaa muhimu kama elimu? Nasema hivyo kwa kuzingatia sera ya UKAWA.Kipaumbele chenu ni ELIMU,ELIMU,ELIMU.Mmekuna sana kwenye ELIMU na ARDHI.Mimi baba na Mama yangu ni wakulima na pia ni wafugaji.Sasa nipigane na nani MKULIMA au MFUGAJI sera ya ardhi itapunguza au kumaliza kabisa ugomvi wa siku nyingi katika makundi haya.
 
Anaweza mbadilisha muda wowote kuanzia sasa. Wakummbuka yule Mkurugenzi wa Uchaguzi juliasi Mallaba alimbadili? Hakuna kisichowezekana kwa JMK.

Hataweza,its too late mataifa ya nje yanaangLia Kwan makini,he simply cant
 
Lowasa ni Jembe, kuna kitu ambacho kitatokea Tanzania ikiwa Tume au Polisi watajaribu kuibeba CCM, Chonde chonde CCM jiandaeni kisaikolojia kukabidhi Ikulu...maana tegemeo lenu ambalo ni kanda ya ziwa, Lowasa anakubalika balaaaa, Dar es salaam ndo usiseme sasa,
 
ccm siwataki kabisa...wametufanya tuwe maskini.....natokea Rorya adhi tunayo tele kubwa lakini haina value,sasa Lowassa kahidi kupima ardhi yoye ya Tanzania ni kutoa hati....hapo Magufuli wa nini?.EDO TU HAPA.

Hivi wewe unatambua maana ya akili timamu?
Wewe ni kati ya watu ambao hawana akili timamu (ulemavu wa akili).
 
kwa hali inavyokwenda kwa sasa NEC ina kazi kabwa sana ya kuibeba ccm ...hali ni mbaya mno kwa ccm ...lowasa HASHIKIKI na anafanya kampeni za kistaarabu mnoo ...ccm ina kazi kubwa sana ...hata dola haitafanikiwa kuibeba ccm, ni kazi ngumu sana kuinadi ccm kwenye mikoa inayojitambua...lubuva yupo kwenye wakati mgumu mnooo akisema atende haki ccm inapigwa mapema sana ...haki isipotendeka hii nchi itaelekea kubaya sana na taifa liweza kugawanyika vipande vipande baada ya uchaguzi....ccm wamebaki kudeal na lowasa kila kukicha na kusababisha jina lake kupaaa....magufuli anateswa na yaliyofanywa na viongozi waliopita kuwashawishi wanachi kwa chama kile kile sera zile zile ilani ile ile ikiwa imebadilishwa maneno tuuu

Endelea kujidanganya Utashangaaa usiyoyajua ,yaani hata Fisadi wenu anajua kushinda ipo Kazi Acha Michezo na CCM Wewe ,usione vya elea vimeundwa ,Kaeni na Mihemko yenu ya Majukwaani mnadhani Ndio sanduku la Kura
 
Ingekuwa rahisi hivyo leo si tungekuwa na katiba mpya.Eddo alete maendeleo asilete but we want to show the world that Tanzania siyo nchi ya kikundi
 
kwa hali inavyokwenda kwa sasa NEC ina kazi kabwa sana ya kuibeba ccm ...hali ni mbaya mno kwa ccm ...lowasa HASHIKIKI na anafanya kampeni za kistaarabu mnoo ...ccm ina kazi kubwa sana ...hata dola haitafanikiwa kuibeba ccm, ni kazi ngumu sana kuinadi ccm kwenye mikoa inayojitambua...lubuva yupo kwenye wakati mgumu mnooo akisema atende haki ccm inapigwa mapema sana ...haki isipotendeka hii nchi itaelekea kubaya sana na taifa liweza kugawanyika vipande vipande baada ya uchaguzi....ccm wamebaki kudeal na lowasa kila kukicha na kusababisha jina lake kupaaa....magufuli anateswa na yaliyofanywa na viongozi waliopita kuwashawishi wanachi kwa chama kile kile sera zile zile ilani ile ile ikiwa imebadilishwa maneno tuuu

Wapi? huko Kilimanjaro, na Arusha?
 
Inalipa kumpigia kura Lowassa

Kwa mgao huu wa umeme watu wote wa mijini hawaitaki CCM, na huku vijijini Magufuli hatumfahamu kwa kuwa hatuna barabarani. Mjini CCM imeharibu, vijiji Magufuli hafahamiki. Tutakapokuwa tunamaliza misa ya pili tarehe 25 Oktoba Lowassa atakuwa tayari kafikisha kura milioni kumi
 
Ingekuwa rahisi hivyo leo si tungekuwa na katiba mpya.Eddo alete maendeleo asilete but we want to show the world that Tanzania siyo nchi ya kikundi

Hizo kauli zenu wapiga kura wamezingatia sana mahitaji yenu Tusubiri Tar 25 .10 mle kichapo ambacho mtashaanga ni sisi kweli .Amini na kuambia Uchaguzi wa Mwaka huu ni Mwepesi Sana sanaa Kuliko unavyodhani ni Sawa na Vikao vya harusi Siku ya kwanza kikao watu wanajaa vikao vinavyoendelea watu mnaachana mpaka mpigiwe Simu .Na ndio itakavyokuwa Mtaachana Mmoja mmoja mpaka Mtabaki mnalialia .narudi a tena FISADI HAINGII IKULU N'GOOOO
 
Naona jamaa wa lumumba wanajilazimisha kweli kukanusha kwenye huu uzi, hata nikiangalia comments zao naona kabisa hazina afya, thread imejaa ukweli ulio wazi, kampeni za Lowasa kiukweli zimenifurahisha, laiti na mimi ningekuwa mvumilivu kama Lowasa, dah........Mungu anijalie hekima kama za huyu jamaa.....naona watani wetu sasa wanakuja na sera mpya kuwa Lowasa akiingia madarakani tanzania itakuwa kama libya, sijui hili nalo lipo kwenye ilani au mgombea wa kijani kapagawa na mziki wa UKAWA?
 
Back
Top Bottom