Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Hawa ma-suppoter wa ushoga duniani wasituingilie mambo yetu ya ndani. Ndio maana MUGABE alifukuza wote.
 
inaelekea SAFARI YA MATUMAINI ya Edward Lowassa inawaumiza sana kichwa
 
Hawa ma-suppoter wa ushoga duniani wasituingilie mambo yetu ya ndani. Ndio maana MUGABE alifukuza wote.

acha kuweweseka mbulura wewe!!!! usilete njaa zako kwenye mambo ya msingi!!!
 
Jamami, hivi kuwa tajiri ni kosa..??!! Lowasa ni tajiri wa siku nyingi kabla hata ya richmond. Enzi za ujamaa utajiri wake ulimponza akakataliwa kugombea urais wala hakutuhumiwa na UHUJUMU wowote wa mali ya umma aliambiwa "kwenye sera za kijamaa tajiri kama yeye, Lowasa haruhusiwi kuongoza nchi" sasa leo watu wanadanganyana kwamba ameiba pesa ya serikali. Someni historia za wanasiasa jamani. "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, jamani."
 
Flora Lymo aliliwa mlo wa kawaida aliyebaka ni yule Mbunge wa CCM mwenye miaka 60 akachukua kakijana ka miaka 26 na kukalazimisha ndoa.

Wewe una miaka mingapi? Nasikia hata wakiume anawakula changamkia tenda.
 
Lowasa ni tu mtu hatari sana, Watanzania tumuangarie sana asije akatuangamiza.
 
Mkuu Mojo,

Hii ni habari ya mwaka 2009 na ukiona kimya mpaka sasa jua tayari walifanya uchunguzi wao na kumaliza. Kungelikuwa
na kesi ungeshaona kwenye magazeti ya Uingereza yameandika zamani na yale ya TZ nayo yangeinasa hapo hapo.

Kwa ninavyofahamu mimi viongozi au watoto wa viongozi wa Tanzania kwa nyakati tofauti wamechunguzwa na jeshi la polisi hapa UK kuhusiana na manunuzi ya nyumba. Hii ni pamoja na viongozi wa vyama vya upinzani.

Tokea September 11, polisi wako macho sana na pesa nyingi zinapoingizwa cash kwa mara moja au kutumwa na bank. Kuna sheria ya bank kuwajulisha polisi wakiona transactions za namna hiyo na polisi wanaingia kazini mara moja kuchunguza.

Taarifa kama hii ili kulifikia jeshi la polisi TZ lazima ipitie wizara ya mambo ya nchi za nje. Kwahiyo ofisi ya Membe ina taarifa hizi.

Miaka ya karibuni, viongozi mbalimbali wamekuwa wakinunua nyumba Uingereza. Hii ni kwasababu sheria za Uk zinaruhusu mtu yeyote kununua nyumba bora pochi yako tu.

Pia kwa London, nyumba ya pound chini ya laki tano sio jumba la kifahari. In fact kwasasa ni ngumu sana kupata nyumba au hata apartment kwa London kwa chini ya pounds laki tano. Labda uende vichochoroni kabisa.

Jeshi la polisi la Uingereza linaendelea na uchunguzi wake dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania aliyejiuzulu mwaka 2008 kwa tuhuma za ufisadi wa Richmond. Hii imetokana na Lowassa, kupitia mtoto wake, Frederick Lowassa, kununua jumba la kifahari jijini London kwa thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.2 za Tanzania mwaka mmoja tu baada ya kujiuzulu na kashfa ya Richmond.

Ushahidi wa nyaraka huu hapa:


http://xa.yimg.com/kq/groups/24162323/40324796/name/lowassa-sijui[1].pdf
 
Flora Lymo aliliwa mlo wa kawaida aliyebaka ni yule Mbunge wa CCM mwenye miaka 60 akachukua kakijana ka miaka 26 na kukalazimisha ndoa.

Niko nawaza na kujiuliza kama huyu Mama Mbunge angekuwa ni wa CHADEMA kelele na maneno kuhusu hii kashifa yake zingefika wapi. The same applies to Prof Kapuya, kama angekuwa ni wa CHADEMA kelele na maneno kuhusu ile tuhuma kuhusu kubaka binti below 18 years ingefika wapi. Ni mawazo tu, God forbid!!!
 
Jamami, hivi kuwa tajiri ni kosa..??!! Lowasa ni tajiri wa siku nyingi kabla hata ya richmond. Enzi za ujamaa utajiri wake ulimponza akakataliwa kugombea urais wala hakutuhumiwa na UHUJUMU wowote wa mali ya umma aliambiwa "kwenye sera za kijamaa tajiri kama yeye, Lowasa haruhusiwi kuongoza nchi" sasa leo watu wanadanganyana kwamba ameiba pesa ya serikali. Someni historia za wanasiasa jamani. "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, jamani."

Issue iliyopo hapa ambayo watu wengi wanajaribu kujifanya hawataki kuisikia au kuichambua ni kwamba si kweli mwanasiasa hatakiwa kuwa tajiri. Issue ni jinsi gani ameupata huo utajiri wake, kama Lowassa alivyo. Hiyo ndio basis ya argument.
 
waingereza hao ndio wenye kufisadisha fully... rada ni kimoja tu kati ya mengi

Mbona Uingereza ndio waliowapa Wakubwa rushwa ili RADA inunuliwe kwa gharama isiyostahiki. Pia, Ufisadi uliibuka kwa kuwauzia Saudi Arabia ndege za kivita kwa ufisadi mkubwa na ilipoibuliwa tuhuma hiyo Saudi Arabia wakatishia kuvunja uhusiano wa KiBalozi wakanyamaza Kimya. Acheni kumwandama Lowasa maana amekutieni jiti CCM pazuri ndio mnatapatapa
 
Nzowa hapo unatudanganya si ajabu hata hela ya epa hujui historia yake, Unajua chanzo chako?
 
Waingereza bwana hawana lolote!, ni kama wanga wanga fulani, type ya mijibwa koko kazi yake kubweka bweka tuu lakini haing'ati!. Kama mijizi ilitia kibindoni chaa juu kwenye Rada, na wakashindwa kufanya chochote zaidi ya kutubwekea hapa na kuwachafulia tuu majina watu wetu safi, kwenye hili ndio watafanya nini?!.
Ama kweli, "a barking dog seldom bite!", hivi kweli mnaweza kuulinganisha ufisadi wa Eddo na wa yule aliyefanya biashara ikulu?, jee mnajua Richmond ni dili ya nani haswa?, na jee mnajua umeme umepanda bei kumlipa ile tozo ya Dowans?, enfdeleeni kumdhania ni Eddo, mtakampomjua rasmi ni nani!, mtabaki midomo wazi!.

CCM wote ni wachafu, msafi wao ndio Eddo!.
Pasco
 
aya yoote yanaanza baada ya uyu mzee kutangaza nia? wakati mwingine siasa ni ujinga! na wale waasisi wa ccj wanawekwa hadharani baada ya kukwaruzana kwenye mbio za urais?cjui taifa ili kaliloga nani!
 
Back
Top Bottom