nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Uzi huu ni wa 2011...na vigeu geu utawajua....waliomponda kupita maelezo humu ndio hao hao wanamsifu kwa mapambio... shikamooo kelele....heshima pesa...
Nyaraka hizi ni siri uliyepost unezitoa wapi? Na umepewa kwa madhumuni yapi? Na kwanini sasa?!
Na mbona majina yaliyopo kwenye nyaraka zako za siri ukijaribu kuwatafuta hao watu mtandaoni unapata vitu vya ajabu ajabu? Jaribu kumtafuta GEORGE SIMPSONS kwenye mtandao.....naomba wachangiaji tusikurupuke kujudge haraka! Lowasa might be fisadi lakini je, waliouficha ufisadi walikuwa na nia njema?