Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Kuna Haja ya Kuandika Upya Historia na Wasifu wa Tanzania, Nchi hii ni Zaidi ya Muungano wa Tanganyika na zanzibar, na kuna Zaidi ya Siku ya Uhuru na Harakati Zake... Kuna Wenye Wasifu wa Kuwafunika kina Kinjekitile, Mkwawa...

Proud Tanzanian....
 
Maajabu ya dunia yapo Mengi lakini nazani watafiti Hawajagundua kuwa ajabu jingine la dunia ni Watu wa Tanzania. Ndio nchi pekee ambayo unaweza kukuta mtu kaibiwa simu ya gharama kainunua siku hiyo hiyo labda kwa sh 1milion.

Sasa unamkuta analia sana unamuambia unalia nini anakuambua eeeh eeeh mmh mh mh nimeibiwa simu yangu hata sijaitumia jamani nisaidieniiii.....nilinunua kwa hela ya mkopo....Basi unamuambia...Nimemkamata mwishi wako huyu hapa...sasa ajabu akiwa anshangaa anakuambia muahce tu aende nayo.....Wewe unaamua kumuachia mwizi...Sasa baaqda ya kumuachia anaanza kulia tena ...mara oooh eee h mhh mhh simu yangu simu yangu jamaniii?!!!

MAAJABU HAYA!
 
Mnaofikiri huyo lowasa atafaa sana kuwa raisi mnakosea,ni mtu asiyetosheka hafai kuwa kiongozi labda wa kimila.
 
hizo documents naomba umalizie kusoma na hizi ndo utamjua lowasa ni nani CCM,kawateka kiakili hadi Jakaya hamuwezi inabidi la roho lake akasemee chooni maana inaonekana kabisa Lowasa ndo anaendesha serikali ya JK hata kama yuko nje ya system bado ana mabavu-nawashaurini JK na Mkapa na wazee ambao sio wanafiki unganisheni nguvu mumzuie lowassa au apigwe chini ili asigombee uraisi 2015 na mrudishe kidogo heshima ya chama chenu vinginevyo wote ni walewale

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/198730-kama-lowassa-ni-msafi;-nani-mchafu-ccm.html
 
wazee wa CHADEMA mwa muogopa Lowasa ndo maana mnachonga sana. Lowasa ndo anaweza kupeleka kijiti cha maendeleo fasta. Tuwaachie wa tz waamue 2015
 
Jeshi la polisi la Uingereza linaendelea na uchunguzi wake dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania aliyejiuzulu mwaka 2008 kwa tuhuma za ufisadi wa Richmond. Hii imetokana na Lowassa, kupitia mtoto wake, Frederick Lowassa, kununua jumba la kifahari jijini London kwa thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.2 za Tanzania mwaka mmoja tu baada ya kujiuzulu na kashfa ya Richmond.

Ushahidi wa nyaraka huu hapa:


http://xa.yimg.com/kq/groups/24162323/40324796/name/lowassa-sijui[1].pdf
 

Attachments

sawa wakuu huko Uingereza mtusaidie maana wenyewe tumeridhika tu na ndo kwanza tunamshabikia kumpa Urais.
 
waingereza hao ndio wenye kufisadisha fully... rada ni kimoja tu kati ya mengi
 
Lowassa hasafishiki.Hela zake pokeeni lakini tutamkataa kwa kura zetu. Si mtu safi
 
Back
Top Bottom