Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Waingereza bwana hawana lolote!, ni kama wanga wanga fulani, type ya mijibwa koko kazi yake kubweka bweka tuu lakini haing'ati!. Kama mijizi ilitia kibindoni chaa juu kwenye Rada, na wakashindwa kufanya chochote zaidi ya kutubwekea hapa na kuwachafulia tuu majina watu wetu safi, kwenye hili ndio watafanya nini?!.
Ama kweli, "a barking dog seldom bite!", hivi kweli mnaweza kuulinganisha ufisadi wa Eddo na wa yule aliyefanya biashara ikulu?, jee mnajua Richmond ni dili ya nani haswa?, na jee mnajua umeme umepanda bei kumlipa ile tozo ya Dowans?, enfdeleeni kumdhania ni Eddo, mtakampomjua rasmi ni nani!, mtabaki midomo wazi!.

CCM wote ni wachafu, msafi wao ndio Eddo!.
Pasco

paso pasco, unawasema wote wachafu?pasco pasco, kaa usome maandiko yako ya kale uone unavowasifia chama cha wachafu!
 
Hata kama ingekuwa ya mwaka tisini jiongeze acha ushabiki wa kijuminga we kiazi kwani lowasa baba ako nchi hii inahitaji kiongozi mwenye moral intergrity. Cha msingi ni kujua ukweli wa tuhuma kama hazina ukweli hata kama nu za siku nyingi zitimolewe ufafanuzi kwa ushahidi. Ukisema tu kuwa tuhuma ni za muda mrefu utetezi huo hauna mashiko kwani sadam hussen si alihukumiwa kwa makosa yaliyofanyika mengine mwaka 1988. Muda wa makosa hakutoi uhalali wa kosa kusamehewa.
 
Kwanza sio nyumba alionunua ni flat although kwa London flat pia ni ghali....naona kuchafuana kumeanza...leo weekend ngoja nikanunue vikopo nitulie na popcorn...ngoma inogile.
 
Mnaofikiri huyo lowasa atafaa sana kuwa raisi mnakosea,ni mtu asiyetosheka hafai kuwa kiongozi labda wa kimila.

chuki binafsi tu. kila mwanaccm mmoja mmoja ni mwiz. hakuna msafi. deal hapa mngeniambia tusiichague ccm ningewaelewa. lakn sio eti
Lowassa hafai ameanza lin kutokufaa
 
nimesemwa sana...nimeonewa sana..nimenyanyaswa sana...nimetukanwa sana...nimegundua tatzo ni mimi kuwa na nia ya kuingia ikulu.....lakini ths tym sitajitoa..sitajitoa kafara...nitapambna hadi mwisho nipo na ugali...amuenichakufanya na mboga......yero maasai...
 
Mbona Uingereza ndio waliowapa Wakubwa rushwa ili RADA inunuliwe kwa gharama isiyostahiki. Pia, Ufisadi uliibuka kwa kuwauzia Saudi Arabia ndege za kivita kwa ufisadi mkubwa na ilipoibuliwa tuhuma hiyo Saudi Arabia wakatishia kuvunja uhusiano wa KiBalozi wakanyamaza Kimya. Acheni kumwandama Lowasa maana amekutieni jiti CCM pazuri ndio mnatapatapa
i think ume-quote a wrong post, sijamwandama lowassa... nimeshangaa wanaosupport waingereza kumwandama lowassa wakati wao ndio mama wa ufisadi na wizi wa rasilimali zetu
 
Watu mnatisha bwana, kama siyo TZ vile. This is already a very encouraging step.
 
Naona jamaa yuko msituni anawinda, mfukoni amechukua viungo vyote vya mboga, halafu anapiga kelele, huku akitegemea mafanikio katika mawindo yake
 
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia mijadala kuhusiana na EL kama anavyoitwa ambapo huyu Mheshimiwa ana support kubwa ndani ya CCM na anapingwa na CCM ya wale waliobeba wimbo wa ‘MAGAMBA’ ambao kimsingi ni kundi dogo.

Pia tumeshuhudia matamko ya viongozi waandamizi wa CCM kumshambulia EL kwamba si muadilifu, ambapo kimsingi hakuna ushahidi mpaka leo kuthibitisha kwamba ali ‘Richmond’ kwasababu serikali ya CCM haijamchukulia hatua yoyote kama sheria inavyotaka, Zaidi ya mashairi matamu tuliyoyasikia bungeni wakati huo na sasa tumeyasahau.
Sasa hapo wanatuambia kuwa serikali yao imeshindwa kupambana na ufisadi na kumchukulia hatua huyo Mh. Ambaye wanasema si muadilifu.

Utatuzi hapo ni kufanya kama CDM kwa ZZK au kukaa kimya na kumwacha EL aendelee na michakato.
 
sina chama na wala simuungi mkono mwanasiasa yeyote ila naona siasa za ccm zinapoteza mwelekeo kwa kasi
 
Kila sehemu Lowassa kunani, au ndio mti wenye matunda!
 
Tuendelee kujichangamsha kwa kelele zetu lkn uamuzi wa wananchi wengi walio kimya ni hapo 2015.

Sisi wachache hapa jf tuendelee kujifurahisha na kelele zetu ambazo hazitakua na tija hapo 2015.ikifika kipindi hicho wananchi waliowengi ambao hata hawajui kinachoandikwa hapa jf ndio watamchagua raisi wanaemtaka.

Pia mnaweza kushangaa kwa maamuzi yatakayofanywa hapo 2015 pamoja na tuhuma zilizotolewa hapa.

Labda tujiulize ni serkali gani iliyokosa tuhuma za ufisadi, kutojali shida za wananchi nk. Ukiacha ile serkali ya awamu ya kwanza? Na kwanini serkali za mifumo hiyo bado zinaendelea? Hayo ni maamuzi ya watanzania walio wengi. Watakapochoka na mifumo hiyo watafanya uamuzi. Kwa sasa ni mapema mno kwa sisi wachache kutabiri.
 
Hi kampuni y integrated n ya el mana naona hawa wasomali wana own 200% halafu mzee w dili cjui ngapi, ila sio siri huyu mzee balaa akipewa nchi atatuuza.

Ni heri awe rais w monduli c tz mana ana njaa n kiu y urais kma vile ameoteshwa.

Keshakua n level z rickross utajiri w kutisha stil bdo anatutamani kutumaliza istead y kudaiwa, laki 6 kila mtz akitawala huyu kila mtz atadaiwa 5m, ila mpka 2015 lazma apate stroke y 2 mana ccm wamevurugana
 
lowasa siyo mwadilifu kwani alipokuwa waziri wa ardhi aliuza kiwanja cha mnazimoja dsm kwa muhindi bagdad mpaka nyerere akapiga kelele wananchi wananchi wakavamia wakabomoa uzio ndipo bagdad akafunguliwa kesi na kufungwa miaka mitatu yeye lowasa aka amishwa wizara
 
Alafu kwa hela alizona nazo, badala ya kumrithisha mwanae elimu, uadilifu anamrithisha ufisadi. Hivi Huyo kijana wake tutegemee nini 'akishakomaa' kwenye hiyo tasnia... Tanzania itapona kweli!?

Ni utoto tu, akikomaa ataacha.
 
Back
Top Bottom