Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Kwa wale ambao watakuwa wamepitwa na haya madudu...

Mkuu si kwa wale waliopitwa tu.

Umefanya vizuri na hii ni kwa faida ya Werema, Hosea na Jk.

Wakati wa kuleta Ripoti mbele ya Bunge huko mwakani wasije sema hili nalo hawakuliona kwa hiyo wapewe muda tena wakalifanyie kazi.Hoja ya Mhe.Zitto kama sikosei imezungumzia haya mambo kwa upana wake kwa hiyo hili nalo nategemea litapata jibu kama pesa hizi za kununulia Jumba London ni halali au si halali !
 
Kwamba Barare ina milikiwa na Lowassa na Mumba....kwamba Barare wamekubali kupewa offer ya kumiliki kiasi cha share za IPI kutokana na deni lilokuwepo na mapesa yote hayo...kwa Mumba na Lowassa wanamiliki IPI kwa kiasi fulani... na mengine na mengine ....
 
Mkuu si kwa wale waliopitwa tu.

Umefanya vizuri na hii ni kwa faida ya Werema, Hosea na Jk.

Wakati wa kuleta Ripoti mbele ya Bunge huko mwakani wasije sema hili nalo hawakuliona kwa hiyo wapewe muda tena wakalifanyie kazi.Hoja ya Mhe.Zitto kama sikosei imezungumzia haya mambo kwa upana wake kwa hiyo hili nalo nategemea litapata jibu kama pesa hizi za kununulia Jumba London ni halali au si halali !
si kwamba watu hawajui, wanajua Watanzania wameshasahau
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaoshadadia Lowassa awe Rais wa nchi hii, huyu hafai kabisa, ni mwizi sana huyu! Hafai!
 
Brother, mbona sikuelewi mana ukishasema msafi tayari msafi mana kama atakuwa na kasoro ndogo tu basi anafaa kwani hakuna mkamilifu duniani. Lakini kwa LOWASA huwezi kutushawishi kuwa ni msafi kwa lipi? Kwa kiongozi ama mtu yeyote aliyehisiwa ama kutokubalika mbele ya muasisi wetu Mwl. Nyerere basi ujue huyo hafai na ni nyoka kama unataka uonje ya TOMASO basi awe raisi wa nchi hii ndo utayakumbuka ya Nyerere.

Rudi nyuma ukatafute Cv ya huyu bwana ndipo hautatamani kabisa kumsikia hata kidogo. Nikuonjeshe kidogo tu , huyu jamaa ndo mmojawapo aliyefanya njama pesa za kumalizia chuo cha ufundi Mbeya MIST ambacho kilikuwa kinaandaliwa kuwa chuo kikuu cha Sayansi na technolojia kutoweka na kuhamishiwa kwao na kuzalisha chuo kipya kikuu cha NELSON MANDELA wakati kile cha Mbeya kilishaandaliwa tangu enzi za Mwalimu na kikiandaliwa kuwa chuo kikuu cha SAYANSI NA TECHNOLOGIA KANDA YA NCHI ZA KUSINI ikitarajiwa kuchukuwa wanafunzi kutoka nchi za kusini mwa jangwa la sahara lakini leo chuo hicho kiko hoi ingawa kimekuwa chuo kikuu lkn kisiasa zaidi mana hakuna jipya lolote lililofanyika la maana tangu warusi waondoke na kushindwa kukimalizia kujenga.

Jiulize bora ubora wa mwanafunzi kuliko wingi wa sifa za kuwa na vyuo vikuu ama uchache wa vyuo lakini ubora wa wanafunzi pia? PLEASE TANZANIAN WE HAVE TO LEARN LITTLE BUT THINK MORE. Huyu jamaa 'LOWASA' kwanza hakustaili kuhang mpaka sasa mtaani wakati wala kidogo wanataabika magerezani.

AMKENI WATANZANIA FUMBENI MACHO KWA RANGI YA KIJANI TUPATE MAENDELEO, HAKI NA UHURU KWA WOTE.
 
Jamani Tanzania nchi yangu na viongozi wetu waadilifu...na umaskini wetu...tutafika tu lakini kwa style hii 🙁
 
1.Hizi zote ni front companies ambazo zimetumika mara nyingi kwenye money laundering projects.

2. Milton Keynes kilitua kitua kikubwa kinachotengeneza FAKE DOCUMENTS nyingi (hasa bank statements) kikiongozwa na jamaa mzimbabwe na wabangla. Kikundi hiki kilikuwa kikitoa docs nzuri za motgages pamoja na supporting docs za VISA.

3. LOWASSA AMEFAIDIKA NA PESA ZA SOMALI PIRACY. Hii haina ubishi. Uchunguzi ufanyike juu ya BUSINESS CONTACTS - NAIROBI, AMSTERDAM.

4.Front companies zake na Partners wake ni wengi (Lets not concentrate on two companies, watu wafungue macho - The guy is well connected (Je, wafanya biashara anao dai ni rafiki zake - ni wangapi hewa (hawana pesa hizo, ila ni wato a misaada mikubwa kwake)
 
kwa Tz kila raia ni fisadi mpaka ambaye hajazaliwa bado kwa taaluma hiyo hamna iliyepona wananchi wenyewe wote wanaishi kifisadi ndiyo kazi yetu ni kubwata tu mara moja kisha kunywea kwa sababu sote tu waathirika; Nawapenda sana RAIA wa BANGLADESH japo wanaonekana hamnazo lakini ujinga hawataki sio sisi blah blah tu ndiyo nyingi tumeiacha CCM madaraka kwa sababu wengi tunanufaika ikiwepo madarakani kwa sababu ya maisha ya ujanjaujanja tu! Shame on all Tz
 
Sasa Lowasa mbona anajidai mmasai huku anasema kazaliwa mwanza??!!!
AU NDO MAMBO YA UONGO ILI AWEZE KUTUCHANGANYA VIZURI??
Hao wana laani ya nyerere
braza hapo naona umeteleza kidogo,document zinasema aliyezaliwa mwanza ni freddy lowasa na sio edward lowasa
 
Back
Top Bottom