Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Namuonea huruma sana nadhani TIss wapo kazini asipo wasikiliza ktk hili amekwisha
 
Nimejaribu kuwaambia wapambe wa EL Kuwa,kama wanamtakia mema EL,Ni vyema wasitoe matusi na maneno ya kejeli pale ambapo watanzania wanataka kujua ukweli wa kile kinachoongelewa.gizani,Badala yake wajibu hoja.Ni ukweli usiopingika kuwa,Edward Ngoyai Lowasa anatakiwa kujibu maswali ya watanzania ambao wanataka kujua ukweli.Wapambe wake wanamdanganya sanaaaa tu.........Lowasa pls..TAFAKARI UPYA!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Hii ngoma ya zamani sana Edward Elowassa Ndossy alifikiri watu wamesahau.
 
Kuna wapambe wake wakiona hoja nzito nzito kama hizi wanarusha matusi kama Nyoka lakini hatujali tunakomaa nao mpaka kieleweke.Wachafu hawana nafasi ya kutuongoza hata kidogo.Mwl Nyerere aliwahi kumwambia Kawawa usiwe mjinga kama Lowassa.Refer bandiko la Mzee Kasori,sisi tunamwacha aruke ruke na kukusanya wajinga wajinga jina lake likifika Kamati kuu tunasogeza mtungu taratibu halafu tuna ua Panya.

Nimejaribu kuwaambia wapambe wa EL Kuwa,kama wanamtakia mema EL,Ni vyema wasitoe matusi na maneno ya kejeli pale ambapo watanzania wanataka kujua ukweli wa kile kinachoongelewa.gizani,Badala yake wajibu hoja.Ni ukweli usiopingika kuwa,Edward Ngoyai Lowasa anatakiwa kujibu maswali ya watanzania ambao wanataka kujua ukweli.Wapambe wake wanamdanganya sanaaaa tu.........Lowasa pls..TAFAKARI UPYA!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Kuna watu wanataka kusafiri safari ya matumaini...
 
Hivi tokea wakati huo hao FIU wa kwetu waliwajibu waingereza hao?!! Miaka mingi imepita ?
 
Jamani hii stori ni mpya hapa ilihali Raia Mwema walishaitoa mara kadhaa JK alipofanya mabadiliko ya baraza mawaziri!!!!!

Kuna hatua za kijinai juu ya hizi habari au hutumika kila msimu ukifika?
 
lowasandiye aliyetuleteana kushinikiza kampuni feki ya Richmond ambayo haikuwa nauwezo kifedha,kitechnojia wala uzoefu wala mtaji wala haikua na ofisi.Alilazimisha kuwapazabuni. Kwa mujibu wake na nyie wahuni wenzake hayo yalikuwamaamuzimagumu....ALILAZIMISHA TZ KUINGIA KWENYE MKATABA WAKIHUNI KWA MASLAHIYAKE yeye lowasa na mapacha wake wawili.
KIFUPI lowasa ANA UJASIRI WA KIFISADI. Wewe huwezi jua kwa nnaliufyatakuzungumzia hili sakata wakati aliahidi.YEYE MWENYEWE HAWEZI KULIKANANA HAWEZIKUJISAFISHA SASA WW ULIYEPEWA MGAO WA UFISADI WAKE UNATAKA KUMSAFISHA

Lowassa hafai kuongoza nchi hii,lowassa ni mchafu,fisadi...inamana ccm kuna mtu mmoja tu?
 
Lowassa mbona hajajibu hizi hoja? Anataka kuwahadaa Watanzania
 
Back
Top Bottom