Unaona eeh!?
naamini sn ipo siku atafunguka!!
Japo siipendi ccm ,lkn kwa hili nashawishika kujiuliza,/kufuatilia kuna nani hapa!!!?
Itakuwa pia kwa kuwa mbichi na mbivu zitajulikana. Wa kufungwa hapa hapa na wale wa kwenda kwa Fatou Bensouda.
He was the only one wa ku end matatzo yote nchini simply cz uwezo na nguvu husika anayo. Wananchi wengi hawajui analyse vitu strategically. There is a lot going on behind the scenes in Tanzanian Politics.
JPM kawekwa tu pale....mtaniambia.
Jk yule dingi kanifurahisha sana kulikata hili dubwasha.
Nimepaona MonduliMkuu hata hizo picha bado huamini tu?
Nimepaona Monduli
Mkuu hapo kuna jambo kubwa tu la kkujihami na nina uhakika hao wakubwa wata hakikisha kuwa lowasa hapati jukwaa la kueleza ukweli wa mambo yalivyokuwa na yanavyoenda ndani ya serikali
Huyo ndiye MmawiaBora uwe mkweli tu Field UKAWA,
Siamini macho yangu kama leo kweli tunaenda ichukuwa monduli live kwa cdm,mamvi anahamia cdm?????????nikweli au naota,tunakwenda kuchukuwa hii nchi asubuh na mapemaaaaaaa
Huo ndio ukweli mkuu
Wapo wapi wale aliokua akiandamana nao na kumshangilia wapi wale waliokua wakiimba na kumfananisha na mitume
Makombora ya el nayapata sana,sina shaka naye,kama kweli atapeperusha bendera ya ukawa ccm miguu chali,japo tunapaswa kujipanga kulinda kura manake wanategemea jeshi la polisi kufanya vurugu
Shelehe ya magufuli kalibu inaingia dosali
Hiyo ndiyo siasa mkuu
Hatuishi kwa kuogopa,tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,macho yote ya jumuiya ya kimataifa yatakuwa Tz
Kamanda kulikoni tena unarusha ngumi hewani.Nilishakukataza Ku QUOTE post zangu,lkn bado tu unakuwa kama malaya anaye tafuta bwana kwa nguvu,sikuhitaji,sitaki
Siasa hizi daaa!!! Kamanda si wewe tu juzi ulikuwa unamuita Lowassa fisadi?Makofuli mwenyewe anaujua mziki wa lowasa
Haya majitu yanafanya nikose Imani na Lowasa
Karamagi,Rostam,Tibaijuka,Kingunge,Chenge,Manji nk hawa sio watu wazuri