Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
He was the only one wa ku end matatzo yote nchini simply cz uwezo na nguvu husika anayo. Wananchi wengi hawajui analyse vitu strategically. There is a lot going on behind the scenes in Tanzanian Politics.
JPM kawekwa tu pale....mtaniambia.
Uko sahihi!!
Ht wanaosema cjui jembe naona hawajui kuwa lzm afuate ilani ya chama!
Akitaka kutoka nje,lzm wamrudishe kwenye mstari!!