Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Chezea JK wewe, kazuia mafuriko na mkono! Hapana chezea Kikwete.:yo: ha ha ha.
Taratibu unaelekea, Ushabiki wa UKAWA bado kidogo unabakia historia njaa mbaya sana!
Anasubiri nini?aingie upinzani tuu apambane wengi wapo nyuma yake,siasa zinahitaji ujasiri hakuna mtu atakuletea ushindi mezani,na kama nyerere mwanzilishi wa CCM aliwahi kusema CCM siyo mama yangu Lowasa anaogopa nini? na akiingia upinzani is a win win ila akibaki CCM legacy yake itabaki Richmond na KUKATWA.
Samaki ni mjanja sana anapokuwa kwenye maji, mtoe ndani ya maji uone. Lowassa ni kama samaki na ccm ni kama maji. Hawezi toka ccm, akitoka amekwisha. Lazima awe mpole tena sana.
Sasa mbona hajavaa manguo yao ya kijani1? Hizi siasa za midomoni zitazidi kutuua, tukishindwa kuiangusha ccm 2015 itatuchukua muda zaidi!
Chezea JK wewe, kazuia mafuriko na mkono! Hapana chezea Kikwete.:yo: ha ha ha.
Nilishakukataza Ku QUOTE post zangu,lkn bado tu unakuwa kama malaya anaye tafuta bwana kwa nguvu,sikuhitaji,sitaki
Thubutu yake siku anaingiza mguu kwa upinzani richmond inafunguliwa upya kabisa (Richard Monduli) kwa uhakika zaidi na atakwenda kuungana na Basili na Daniel mara moja kabla hata ya uchaguzi! Hapa cha msingi atuletee Balali hai basi mchezo wote uishe!
La msingi apumzike tuu huko kwao alime na kufuga ng'ombe wa maziwa!
Tupatie sababu za kutushawishi tukubali hoja yako mkuu
Zile ni za kwenye field mkuu
Bora uwe mkweli tu Field UKAWA,
Huyu mzee angeleta mabadikiko makubwa sanaa basi tu. Ana nguvu sana, tatzo wamem neutralize in a very strategic way.
Bora uwe mkweli tu Field UKAWA,
Unaona eeh!?
naamini sn ipo siku atafunguka!!
Japo siipendi ccm ,lkn kwa hili nashawishika kujiuliza,/kufuatilia kuna nani hapa!!!?
Naona unatafuta bwana wa kukuhifadhi****
Thubutu yake siku anaingiza mguu kwa upinzani richmond inafunguliwa upya kabisa (Richard Monduli) kwa uhakika zaidi na atakwenda kuungana na Basili na Daniel mara moja kabla hata ya uchaguzi! Hapa cha msingi atuletee Balali hai basi mchezo wote uishe!
La msingi apumzike tuu huko kwao alime na kufuga ng'ombe wa maziwa!
Huna hata aibu kwa jf member wenzako,mtu akisha kwambia hakuhitaji bado unang'ang'ania tu