Kachomoka kama yule was MexicoHivi si walisema kwake Dar amezingirwa hakuna kutoka amepitaje au ulikuwa ni uvumi tu
Huyu mzee angeleta mabadikiko makubwa sanaa basi tu. Ana nguvu sana, tatzo wamem neutralize in a very strategic way.
ila bado ana nafasi..akabishe hodi ukawa..ataibwaga sisiem kwa kishindo...! poor him
Huyu mzee angeleta mabadikiko makubwa sanaa basi tu. Ana nguvu sana, tatzo wamem neutralize in a very strategic way.
Acha mkuu maana aligeuza njia na kuelekea jimboni huku wapambe wakipotezea msasaniKachomoka kama yule was Mexico
Rostam, Patel, Mengi, Kibonde n.kHaya majitu yanafanya nikose Imani na Lowasa
Karamagi,Rostam,Tibaijuka,Kingunge,Chenge,Manji nk hawa sio watu wazuri
Monduli uandikishaji bado unaendelea...nauliza tu sina uhakika
Unaakili sana kijana uliyeka comment hiiHuyu mzee angeleta mabadikiko makubwa sanaa basi tu. Ana nguvu sana, tatzo wamem neutralize in a very strategic way.
Hivi kwani lazima Lowassa awe rais?
Hivi kwanini Lowassa anauhitaji sana urais?
Hivi kwanini kama yeye ni mwana CCM basi asimsupport aliyeteuliwa na chama chao?
Hivi kwanini Lowassa asifanye maamuzi magumu ya kuachana kabisa na haya mambo ya siasa? Hasa ukizingatia yeye ni miongoni mwa wanasiasa wakongwe na wenye mali nyingi.
Nini hasa mheshimiwa anakihitaji kwenye mbio hizi za urais?
Haya ni baadhi tu ya maswali ambayo mi binafsi yananitia shaka juu ya mheshimiwa Lowassa.
Wapo wapi wale aliokua akiandamana nao na kumshangilia wapi wale waliokua wakiimba na kumfananisha na mitume
Lowassa ahame ccm tu.