Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

Hatuishi kwa kuogopa,tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,macho yote ya jumuiya ya kimataifa yatakuwa Tz

Muambie huyo, ajiulize kwanini Kenyatta alipelekwa ICC? Zilikua fujo za uchaguzi hivyo hawa CCM wakithubutu wajue nao wanaangaliwa.
 
Usicho kijua ni Usiku wa kiza. Hakuna anae jua Kati ya magufuli na lowasa nani angeleta mabadiliko, maisha magumu now.
 
Kwa usalama wake abakie hukohuko ccm,maana akitoka harafu wakubwa wake waone mambo yanawaendea kombo lazima tu watam-KOLIMBA au pia wanaweza kum-MWANGOKA.

akishatoka hawawezi kuwa wakubwa wake tena wakubwa wake watakuwa wa kambi nyingine
 
Kuna haja na umuhimu wa Mwemyekiti wa sisiemu kuziba haraka "UFA" "MPASUKO" mkubwa uliojitokeza wakati wa mchakato wa kumpata mgombea. Vinginevyo kuna kila dalili nchi yetu itayumba.
 
Ndugu EL katua jimboni kwake kujiandikisha kupiga kura Jana 15.07.15. Naona jimbo linaenda cdm kwa sababu msafara wake umepokelewa na bendera za chama hicho. Hakuongea chochote zaidi ya kusema endeleeni kuwa na imani na chama chenu kisha kuingia kwenye gari na kuondoka na kuwaacha watu wakiimba peoples power.

ajiandae Kuwa campaign manager wa Magufuli
 
Kugombea urais kupitia UKAWA ni big NO.Yeye awe mwanachama tu inatosha.
Makombora ya el nayapata sana,sina shaka naye,kama kweli atapeperusha bendera ya ukawa ccm miguu chali,japo tunapaswa kujipanga kulinda kura manake wanategemea jeshi la polisi kufanya vurugu
 
Tatizo Magufuli amepitishwa kiujanjajanja.Amebebwa na kikundi
Usicho kijua ni Usiku wa kiza. Hakuna anae jua Kati ya magufuli na lowasa nani angeleta mabadiliko, maisha magumu now.
 
Ndugu EL katua jimboni kwake kujiandikisha kupiga kura Jana 15.07.15. Naona jimbo linaenda cdm kwa sababu msafara wake umepokelewa na bendera za chama hicho. Hakuongea chochote zaidi ya kusema endeleeni kuwa na imani na chama chenu kisha kuingia kwenye gari na kuondoka na kuwaacha watu wakiimba peoples power.
Ina maana yeye hayumo kwenye chama au?... ufafanuzi jamani!
 
Ndugu EL katua jimboni kwake kujiandikisha kupiga kura Jana 15.07.15. Naona jimbo linaenda cdm kwa sababu msafara wake umepokelewa na bendera za chama hicho. Hakuongea chochote zaidi ya kusema endeleeni kuwa na imani na chama chenu kisha kuingia kwenye gari na kuondoka na kuwaacha watu wakiimba peoples power.

ajiandae Kuwa campaign manager wa Magufuli
 
Nadhani hii move ya kuelekea Ukawa sasa inaanza kushika kasi kwa Lowassa.
Ngoja tusubiri kwa sababu mda ndo muamuzi wa mwisho katika kila kitu
 
Mkuu BRAND,

Hizo picha ni dalili mbaya sana kwa ccm mkoa wa Arusha. Kama wanataka kupona ni bora wakamsikiliza Mzee Kingunge alichowaambia leo. Wakidharau watakipata cha mtema kuni.. Hakuna cha Tingatinga wa Ninganinga.. Watapwerepwetwa vibaya sana.

BACK TANGANYIKA

Kuna mtu ananiambia kuwa Magufuli kakubalika sana kanda ya ziwa.
Sasa kama Masai ikihamia pande ya Ukawa itakuaje manake asilimia kubwa ya wapiga kura nchi hii wako kanda ya ziwa na mitaa ya kaskazini
 
Namshauri EL atoe kitabu,
Nasubiria kauli yake ya kwamba watz wasipopata maendeleo ndani ya sisiem wataenda kuyatafuta nje ya sisiem
na alikuwa anaamini hakuna zaidi yake wa kuleta maendeleo
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom