Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

Siyo habari tena. Babu Kingunge analia eti kuna kitengo hatari.

Mh. Lowassa, pumzika ili upate nguvu za kumpigia kampeni Bw. Magufuli.
 
Nilijiuliza sana niaje wanachama wa chadema wamshangilie luwasa pindi tu alipo jitangaza kugombea urais kwa tiket ya cmn.
Nilijiuliza hawa wanachama wa chadema wanaomshangilia luwasa ni vipi tena?
Nikagunduwa kama hawakuwa wakiichukia ccm bali walikuwa wakimchukia mtu anaeongoza ccm.
Na nikajua kama tanganyika kuingoa ccm bado kabisa na kajua ccm bado itaendelea kuongoza tanganyika.
Leo imejirudia tena luwasa ni ccm lakini tunaambiwa watu wa chadema wameenda kumpokea na kimshangilia.
Hapa ndio penye tofauti ya upinzani wa tanganyika na pemba.
Pemba ukiwa ccm msomi tajiri mchapa kazi madhali ww ni ccm tu watu wake hawakutaki muhim kwao uwe cuf hata kama huna elimu au huna pesa madhali ni cuf kwao inatosha.
Kwahiyo ndugu zangu hili mulijue kama tanganyika hakuna upinzani dhidi ya ccm.
 
Nop...its not a wise move.
His hands are tied. Akifanya hvyo ata lost as in ana uroho wa madaraka na CCM ikipita tena hamna rangi ataacha ona.

Wakae waongee na Pombe wajue hasara wana i recover vipi basi. Let it GO.

Hakika! na hata upinzani wakimpokea wajue heshima yao inashuka
 
1436962402800.jpg
 
Anasubiri nini?aingie upinzani tuu apambane wengi wapo nyuma yake,siasa zinahitaji ujasiri hakuna mtu atakuletea ushindi mezani,na kama nyerere mwanzilishi wa CCM aliwahi kusema CCM siyo mama yangu Lowasa anaogopa nini? na akiingia upinzani is a win win ila akibaki CCM legacy yake itabaki Richmond na KUKATWA.
 
Lowassa angejipumzikia zake tu maskini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom