Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

Anne Makinda, membe, Lowassa, Sitta Dk.Salim, Mwandosya Dk.Slaa, Prof.Lipumba, Dk.Migiro, Sumaye, Zitto, Magufuli.

1.Je? Raisi atatoka katika kundi hili?
2.Kuna ambaye kati ya hawa unaona anasifa za kuwa raisi?
3.wewe ungepewa nafasi ya kupendekeza ungemchagua nani kati ya hawa?

Haya, we ungependa atoke wapi?
 
Anne Makinda, membe, Lowassa, Sitta Dk.Salim, Mwandosya Dk.Slaa, Prof.Lipumba, Dk.Migiro, Sumaye, Zitto, Magufuli.

1.Je? Raisi atatoka katika kundi hili?
2.Kuna ambaye kati ya hawa unaona anasifa za kuwa raisi?
3.wewe ungepewa nafasi ya kupendekeza ungemchagua nani kati ya hawa?

MIE NI DR. W.SLAA TU. :thinking:
 
pongezi kwako mtoa mada, 1, rais ajae wa tanzania anaweza kutoka ktk kundi hilo, au sehemu nyingine sifa kuu ni Utanzania mtu alionao. 2,ktk hao uliowaweka binafsi napata kigugumizi ktk uteuzi, endapo EL atagombea na DR Salim ntamuomba Mungu ampe busara zaidi EL ampishe jamaa atuongoze kwani kwa wote waliobaki hawana sifa za utendaji bora wa kuigwa kama EL huyu ni Mwanasiasa, mkulima,mfanyabiashara , mfugaji na mwanadiplomasia kwani ameweza kutumia fursa alizonazo kujiinua kikipato kiasi cha kuonewa wivu na washindani wake, ambao wanashindwa kutoa ushahidi kwa umma na kusadikisha watu kwa hisia. moja ya makosa makubwa aliyofanya JK ni kushindwa kumpisha DR SALIM wakati wa uteuzi wa kugombea 2005. 3. kura yangu naitega kwa DR SALIM AU EL

asante mkuu, hutofautiani na mimi sana EL anaweza pia SLAA na SALIM
 
Wote sio hao kwani me nasubiri chaguo la mungu tuu nimpe kura or sory kula yangu
 
Du, Huu ulinganifu hata haufai, wengine hawana quality ya kuwa hata wakuu wa mikoa tu! Poor Tanzania!
 
tatizo lake ni hili la kupora wake za watu

T2015ccm akili unayo lakini akili yako haina akili, ninashaka akili yako ni sawa na ya wale waliochoma Makanisa kule Mbagala na kuua Police kule Zanzibar watu kama nyie hamuitakii nchi hii mema at all.
 
kwangu mimi binafsi kura yangu ingeenda kwa Dr Slaa first choice ila kama hayupo na hajasimama yeye ni afadhali ya EL naweza mpigia kura ila zaid ya hapo ntakuwa nimeikosa haki yangu ya Kikatiba ya kumchagua kiongozi kwani kama hawapo hao kiroho safi sintoweza kupiga kura ni hayo tuu
 
for obvious reasons nisingemchagua dr salim, prof lipumba wala zitto

Kama kutoka CCM ni Dr magufuli asiye na mtandao wala makundi na kwa upande wa upinzani ni Dr Slaa peke yake hakuna mbadala nawasilisha
 
kaka hangaikia maisha ya watanzania, wameanza kukata tamaa, Rais wa 2015 mbona anajulikana tu.
 
Anne Makinda, membe, Lowassa, Sitta Dk.Salim, Mwandosya Dk.Slaa, Prof.Lipumba, Dk.Migiro, Sumaye, Zitto, Magufuli.

1.Je? Raisi atatoka katika kundi hili?
2.Kuna ambaye kati ya hawa unaona anasifa za kuwa raisi?
3.wewe ungepewa nafasi ya kupendekeza ungemchagua nani kati ya hawa?

:biggrin1: eti prof lipumba...ur so funny
 
mi namtaka Mwigulu ah no hapana nimekosea namtaka Lusinde:A S tongue:, japo hawapo kwenye hili kundi
 
Dr Salim mnafiki mkubwa...
Yuko wapi kipindi hiki kukemea uharo unaofanywa na CCM wenzie?
 
Mleta mada umekosea sana kuchanganya vitu vya thamani(eg.Slaa) na takataka za magamba.
Ilitakiwa utenganishe vitu.

Mimi na baadhi ya watanzania tuko tayari kuchagua hata jiwe liwe rais wetu lakini sio magamba
 
Kaka,

Napata shida moja. Unasema hawa watatu hawafai. Ninavyofahamu mimi kwanza hawa watatu hawajasema watagombea, wanahisiwa tu. Aidha huendi mbele kutaja basi nani anafaa hata huko nje ya CCM. Mie kwa maoni yangu, suala zima la kugombea urais ni premature halafu tumejifunga sana kwenye majina machache ndani na nje ya ccm. Inawezekana baadhi ya majina ya ccm yasifae, lakini majina yanayotajwa chadema yaani mbowe na slaa pia hawafai. Kwa maneno mepesi, kwa kufuata hoja yako tunaweza kusema kuwa hatuna wagombea 2015i........!

Mtu mwenye mawazo makuu.Tanzania na watu watanzania Mungu atusaidie.
I better reserve my observation for a while.But........
 
T2015ccm akili unayo lakini akili yako haina akili, ninashaka akili yako ni sawa na ya wale waliochoma Makanisa kule Mbagala na kuua Police kule Zanzibar watu kama nyie hamuitakii nchi hii mema at all.

T2015,ukitaka kujua wote wanafanya au wamewahi kufanya nini,bora Slaa.

maana hata akili zako zinakushuhudia Mke haporwi hata siku moja ingekuwa hivyo aliyeporwa angepambana kufa na kupona kama kweli alimpenda mke wake.

mfano kidogo tu,Imagine unasimu unaipenda na kibaka anaipora,mbaya zaidi umemuona na unajua alipo,utamfuata au utamuacha.
Acheni matusi na kebei ambazo ndani yenu mnajua mnajitengenezea laana maana ukweli uko wazi.jadili hoja matusi yatakupeleka kuzimu.
 
Back
Top Bottom