Annemakinda membe lowassa sitta dk.salim mwandosya dk.slaa prof.lipumba dk.migiro sumaye zitto magufuli.
1.Je? Raisi atatoka katika kundi hili?
2.Kuna ambaye kati ya hawa unaona anasifa za kuwa raisi?
3.wewe ungepewa nafasi ya kupendekeza ungemchagua nani kati ya hawa?
for obvious reasons nisingemchagua dr salim, prof lipumba wala zitto

mkuu umemsahau na migiro pia.

Nimeona ni ku Quote moja kwa moja hapa bila ya kumumunya ni kwamba Ni Dr Willbroad Peter Slaa, kwa Tanzania ya leo hakuna kiongozi ambaye ana historia kama huyu Mh Dr(PHD) Slaa ametoa mchango mkubwa saba kwa Taifa hili hana budi kuwa Rais japokuwa wengi bado ni Rais mioyoni mwetu na pia ndio unatoa oda zote ambazo serikali inatekeleza nafahamu wengi mtakuwa may be against me lakini ukweli ndio huo ndio maana nikasema bila kumumunya.
Hakuna mwingine zaidi ya Dr Willbroad Peter Slaa finish

Anne Makinda, membe, Lowassa, Sitta Dk.Salim, Mwandosya Dk.Slaa, Prof.Lipumba, Dk.Migiro, Sumaye, Zitto, Magufuli.