Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 14, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Ikulu ya Dar-es-Salaam

  Our nation is looking for a new breed of leadership. A leadership that can and will inspire Tanzanians - young and old, men and women, educated and uneducated; of all creeds, of all colors and of all political persuasions - to look within themselves and find greatness that remains unchallenged, untapped and unleashed.

  At a time like this where global balance of power in international affairs is shifting; where backward countries - once tormented by civil wars and internal wranglings are finding their rightful place in the community of modern nations Tanzania needs leaders who can stand as beacons of a better and prosperous nations. Leaders unchained from a corrupt mentality of a generation past who are willing to challenge the failed policies of the current ruling corrupt elite.

  I do not see anyone from within the same ruling party whose failed polices and ideology of corruption have proved to be a generational catastrophe would stand today promising 'change' or 'better leadership'.

  The structural depth of the corrupt mentality of the generation past is so embedded with the ruling elite to the extent that without a total dismantling of the party, a precise prosecution and punishment of corrupt figures within the party there would be no hope for any meaningful change from the same party.

  My friends for quite sometimes now prominent figures within CCM namely former Speaker Samwel Sitta, former Premier Edward Lowassa and current Foreign Affairs Minister Benard Membe have tried to position themselves as potential candidates from within the ruling party for the presidency in 2015. The trio have - in so many occasions - tried to show themselves in myriad of ways as 'presidential materials' to contest the presidency against key opposition figures in much awaited General Elections in about three years from now.


  The failures of the three individuals to show that they fully understand the fundamental flaws of their party; their failures to appreciate and come to the defense of human and civil rights in the country and more importantly their failures to challenge and criticize the actions of their government - to the point of resignations - lead me to believe that not only Lowassa, Membe and Sitta are not ready to lead our nation and indeed they are unfit to command. Not only have I taken this position against the three individuals - lest I be accused of favouring others - I DO NOT SEE anybody within the ruling party right now who can inspire Tanzania to greatness.

  As I said about seven years ago that if Kikwete were to fail to inspire the nation during his tenure at Magogoni then there would be no other CCM candidate who do so in the near future.

  The failures of Kikwete's administration coupled with the failures of his party's policies have destroyed any chance for another candidate from within the ruling party to be trusted with power. Kikwete who came to power with such fanfare and an overwhelming mandate has shown that leadership is more than good smiles, handsome faces, or vain promises.

  It is about inspiring people, it is about being trusted, it is about bold decisions, indeed it is about improving people's welfare and more. None within the ruling party right now can claim such qualities. I MEAN NONE. If there is one somewhere then he/she is not in the parliament or government position of any sort. But for the three let me be on record -they are unfit to read and unprepared to command.

  By. M. M.
   

  Attached Files:

 2. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mti usiozaa matunda hukatwa na kupandwa mwingine... Sio kukata matawi na kutegemea kwamba utatatoa matunda... Tutasubiri mpaka tuingie kaburini...
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Well said M.M. Its for us Tanzanians to make choose the right candidate to take us forward, but who is our messiah!?
   
 4. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Msije mkawa munawa-dis hawa lakini mawazo mwenu kuna kile kibabu kipadri! Huko ni kuruka maji na kukanyaga moto!
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Tuletee Shehe mwenye dhamira ya kweli na uwezi wa kutuongoza kwa haki, ujasiri, unyenyekevu, hekima na weredi uliotukuka uone kama hatutamuunga mkono.
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hivi hiyo picha ya IKULU ya mwaka gani? anyway Sitta,Lowasa na Membi walichokifanya ni kumtikisa Joyce, then mazungumzo ndio yaanze... wametutolea aibu. ofcourse ni maskini lakini Jeuri!! Well done Membe,Sitta, Lowasa go on
   
 7. S

  Sheba JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka,

  Napata shida moja. Unasema hawa watatu hawafai. Ninavyofahamu mimi kwanza hawa watatu hawajasema watagombea, wanahisiwa tu. Aidha huendi mbele kutaja basi nani anafaa hata huko nje ya CCM. Mie kwa maoni yangu, suala zima la kugombea urais ni premature halafu tumejifunga sana kwenye majina machache ndani na nje ya ccm. Inawezekana baadhi ya majina ya ccm yasifae, lakini majina yanayotajwa chadema yaani mbowe na slaa pia hawafai. Kwa maneno mepesi, kwa kufuata hoja yako tunaweza kusema kuwa hatuna wagombea 2015. Naamini kusema huyu anafaa na huyu hafai ni kujipofusha. Tunaweza tu kusema huyu anafaana huyu hafai pale tutakapowapambanisha na wengine. Hadi sasa hatujampambanisha yoyote kuhusu urais tunachoongelea ni hisia tu na mapenzi yetu binafsi juu ya historia zao na nafasi zao walizonazo sasa. Tutamjua mgombea anayefaa atakapopambanishwa na wengine ndani ya chama chake kwenye primaries ambako wote wanaojihisi wanafaa watachukua fomu kuomba kuchaguliwa.

  Kwa uelewa wangu mfupi, hadi sasa hakuna chama chochote ambacho kimeshafanya mkutano mkuu, CCM ni mwaka huu na CHADEMA nadhani ni mwaka huu au mwakani. Mikutano hiyo na safu mpya za uongozi zitakazotokana na mikutano hiyo ndio itatupa viashiria vya aina ya wagimbea watakaojitokeza na wenye uwezekano wa kupitishwa na vyama. Mathalan, baada ya mkutano mkuu, taswira ya NEC na CC ya CCM ikabadilika na kuingia watu wa mlengo wa Lowassa au Membe au Sitta tunaweza kubashiri ni aina gani ya mgombea atasimamishwa na CCM, maana mgombea hajisimamishi mwenyewe bali anasimamishwa na vikao vya chama. Vivyo hivyo, Baraza Kuu na Kamati Kuu ya CHADEMA nayo ikabadilika wakaingia watu wa maeneo mengine wenye kupinga ukristo na ukaskazini tunaweza kubashiri ni aina gani ya wagombea wenye uwezekano wa kupitishwa na kushinda.

  Kwa kumalizia tu, tunapaswa kujiuliza, kwani watanzania ni raia wenye kufaa hadi wapate mgombea urais anayefaa? Kiongozi wa Tanzania atatokana na sampling frame iliyopo, kama Mbowe, Slaa, Lowassa, Membe na Sitta ndio waliopo kutokana na sampling frame yetu basi ndio wanaofaa ukilinganisha na makapi mengine ambayo tunayo. Wananchi irresponsible hawawezi kupata kiongozi responsible kupitia ballot box labda kupitia undemocratic means!
   
 8. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  sheba, porojo tupu
   
 9. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Labda niongeze kitu ambacho mm hajakisema, hata kama kungekuwa na Mgombea mzuri ndani ya CCM, hakuna mtanzania anayeweza kumwamini mgombea yo yote kutoka ccm tena, labda wachakachue tena, japo naona milango ya uchakachuaji ikijijfunga baada ya katiba mpya. Nina uhakika na hilo.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Exactly...wengi hatuongozwi na hoja nyepesi ya udini. Tunataka mtu mwenye uwezo wa kutuongoza ili twende tunakotaka kufika. Udini unaendeshwa na watu wasio na sifa wala uwezo wa kuongoza na ipo siku udini huo ndio utakuwa kaburi la kujizika wao wenyewe. Tusifanye mchezo na mambo ya ulimwengu huu.
   
 11. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  kuna sentensi nyingine ukisoma hata unashindwa kuelewa mtu anamaanisha nini
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Of course, Amesahau kwamba hao viongozi wa ccm, wana wake, waume, mahawara,vimada,vidumu,watoto,wajomba ndugu jamaa na marafiki. tatizo ni kama kura zitatosha any more
   
 13. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Guys lets think outside this box we're all in,suala si kupata kiongozi(Rais) toka CCM but the point is the next president of this republic ni lazima atoke nje ya mfumo wa sasa,nje ya CCM kama tunaitakia mema nchi hii na watu wake,na hili lazima lifanywe na wananchi wenyewe na sikukaa na kulalamika bila kuchukua hatua.
   
 14. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nadhani makala hii ungesema moja kwa moja kwamba CCM haifai tena kuongoza 2015 na sio kuwataja hao watatu wakati ndani umeimaliza CCM moja kwa moja.
  Na mbaya zaidi hatujui nia zao kama kweli watagombea au la.
  Inawezekana kabisa Mama Makinda ndio akasimama.
  Je,makinda anafaa kwa sababu hajaonesha nia ya kutaka kugombea au hafai nae kwa sababu yupo CCM kama Mhe Membe,lowassa na Mhe Sitta?
  Tafakari.
   
 15. c

  chama JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwanakijji,

  You can't see nothing because of self inflicted blindness other than that we have good and clean members who can run this country with honor; your negativity will not achieve anything, don`t think that you can fool Tanzanians just because you can sit down and write such a dumb article, we are more cleaver than that Mwanakijiji; we know that you are working not for Tanzanians interests but for some corrupted machine within Chadema; your are too cheap man; you put yourself down this low just because you want to impress another man? How much they paid you? Shame on you; Remember I asked you if it was ethical for Mbowe to do business with Chadema while he is a chairman? Remember I asked you if it ethical for Mbowe to use backdoor to secure tender to supply Chadema equipments worth tshs 350 mil. What was your answer for those questions? where did you get the courage to write such a stupid article? Look deeply on the other side you will see the truth; you know what I am talking about! Man up!!!!!!!!!!

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Hawa wazee wameongoza miaka yote hii na wamejisahau wakafanya uongozi kama ni sehemu ya kufanya kitu chochote wanachojisikia kufanya bila kupata madhara yoyote yale. Unless tupate mtu atakayeweza kufanya tofauti, hawa watatoana macho kwenye hayo makundi yao.
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,554
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Kama 2005 Watanzania walimchagua JK kwa ushindi wa kishindo kutokana tuu na haiba yake kwa kumwangalia usoni, good looking na "sense of humour", then tukampima performance yake katika miaka mitano ile ya mwanzo, na 2010, tukamrudisha tena, nakuhakikishia bila shaka wala wasiwasi, Watanzania watamchagua mgombea yoyote atakayesimamishwa na CCM, be it EL, Membe, Sitta or whoever!, kwani Watanzania huwa wanachagua nini?.

  Mimi kwa CCM, mgombea wangu ni EL, ila kufuatia afya yake kuwa inatia shaka kuhimili mikiki mikiki ya uchaguzi, the only option ni Membe, hawa wafae wasifae kwa vigezo vyovyote vile, wakipita, wamepita!, kwani Watanzania wanataka rais anayefaa au aliyepitishwa na chama chao walichokizoea tangu wapate uhuru?!.

  Hii debate ni very healthy with ample time tulio nayo tutashuhudia step by elevetion ya watu hawa to the very top!.

  Pasco.
   
 18. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Well said M.M. Nothing more to add. We need to convey this great message to all over the country. Eveyone should get the time to evaluate him/herself then evaluate these they so call/think themselves as presidential candidates before making right decision of their lives.
   
 19. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  I feel sorry for you Ndugu Chama,looks like haya mambo na ushabiki wa vyama vya siasa has been eating your brain to the point that you can't think properly,hivi chadema hakijasajiliwa kwa sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania? Is it a foreign political party? Hivi wanachama,wapenzi na mashabiki wa Chadema ni Wamalawi,Waganda,wacomoro au Waghana?
   
 20. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  uongozi ni mgumu sana ukiwa ndani ya uongozi, amini nakwambia hata kama kiongozi atatoka nje ya ccm, usidhani utapata neema kwa kiwango unachokifikiria, mfano mdogo ni halmashauri ambazo chadema wanatawala, kama mwanza, hakuna neema yoyote waliyoileta zaidi ya kuongeza na kupandisha ushuru kila kukicha,,kwahiyo mtanzania mwenzangu sio dr.slaa, sio lowasa sio mbowe sio membe wanaweza kukuletea neema kwa kiwango unachokifikiria...
   
Loading...