Mwanakijji,
You can't see nothing because of self inflicted blindness other than that we have good and clean members who can run this country with honor; your negativity will not achieve anything, don`t think that you can fool Tanzanians just because you can sit down and write such a dumb article, we are more cleaver than that Mwanakijiji; we know that you are working not for Tanzanians interests but for some corrupted machine within Chadema; your are too cheap man; you put yourself down this low just because you want to impress another man? ....
Chama
Gongo la mboto DSM
Lowassa kama Mwenyekiti wa kamati ya Bunge Mambo ya nje amechangia kufikia hali mbaya ya kidiplomasia kwa kukaa kwake kimya.Hana mchango wala uwezo wowote.
Membe na Sitta wameshindwa katika wizara zao na kutoa maneno kama Talaka na kuoa.Wote hawana uwezo hata kidogo
Nimeona nirudishe thread hii ya Mwanakijiji
Mwanakijiji you're very right. I should ask you Sheba one question, who made Tanzanians to irresponsible?, should they continue to be irresponsible by letting those who made them irresisponsibe to rule them?Kaka,
Napata shida moja. Unasema hawa watatu hawafai. Ninavyofahamu mimi kwanza hawa watatu hawajasema watagombea, wanahisiwa tu. Aidha huendi mbele kutaja basi nani anafaa hata huko nje ya CCM. Mie kwa maoni yangu, suala zima la kugombea urais ni premature halafu tumejifunga sana kwenye majina machache ndani na nje ya ccm. Inawezekana baadhi ya majina ya ccm yasifae, lakini majina yanayotajwa chadema yaani mbowe na slaa pia hawafai. Kwa maneno mepesi, kwa kufuata hoja yako tunaweza kusema kuwa hatuna wagombea 2015. Naamini kusema huyu anafaa na huyu hafai ni kujipofusha. Tunaweza tu kusema huyu anafaana huyu hafai pale tutakapowapambanisha na wengine. Hadi sasa hatujampambanisha yoyote kuhusu urais tunachoongelea ni hisia tu na mapenzi yetu binafsi juu ya historia zao na nafasi zao walizonazo sasa. Tutamjua mgombea anayefaa atakapopambanishwa na wengine ndani ya chama chake kwenye primaries ambako wote wanaojihisi wanafaa watachukua fomu kuomba kuchaguliwa.
Kwa uelewa wangu mfupi, hadi sasa hakuna chama chochote ambacho kimeshafanya mkutano mkuu, CCM ni mwaka huu na CHADEMA nadhani ni mwaka huu au mwakani. Mikutano hiyo na safu mpya za uongozi zitakazotokana na mikutano hiyo ndio itatupa viashiria vya aina ya wagimbea watakaojitokeza na wenye uwezekano wa kupitishwa na vyama. Mathalan, baada ya mkutano mkuu, taswira ya NEC na CC ya CCM ikabadilika na kuingia watu wa mlengo wa Lowassa au Membe au Sitta tunaweza kubashiri ni aina gani ya mgombea atasimamishwa na CCM, maana mgombea hajisimamishi mwenyewe bali anasimamishwa na vikao vya chama. Vivyo hivyo, Baraza Kuu na Kamati Kuu ya CHADEMA nayo ikabadilika wakaingia watu wa maeneo mengine wenye kupinga ukristo na ukaskazini tunaweza kubashiri ni aina gani ya wagombea wenye uwezekano wa kupitishwa na kushinda.
Kwa kumalizia tu, tunapaswa kujiuliza, kwani watanzania ni raia wenye kufaa hadi wapate mgombea urais anayefaa? Kiongozi wa Tanzania atatokana na sampling frame iliyopo, kama Mbowe, Slaa, Lowassa, Membe na Sitta ndio waliopo kutokana na sampling frame yetu basi ndio wanaofaa ukilinganisha na makapi mengine ambayo tunayo. Wananchi irresponsible hawawezi kupata kiongozi responsible kupitia ballot box labda kupitia undemocratic means!
We ni mnafiki na huo unafiki unaoleta hapa jamvin iko ciku utaishia pabaya!mbna sisi hatusemi kuwa ww unatumika na mbowe?we ci ndo mbowe na slaa wanakutumia ili umzuru zitto?au unafikir sis wanakigoma tumesahau,si wewe ulikuwa unatembea na sumu:zitto leo angekufa ufaidika na nn muuwaji mkubwa ww!nakuapia fnya siasa zako za kimauwaji kweny mitandao ila usije ukalogwa ukaja kigoma!!utakuja kuniambia
Labda niongeze kitu ambacho mm hajakisema, hata kama kungekuwa na Mgombea mzuri ndani ya CCM, hakuna mtanzania anayeweza kumwamini mgombea yo yote kutoka ccm tena, labda wachakachue tena, japo naona milango ya uchakachuaji ikijijfunga baada ya katiba mpya. Nina uhakika na hilo.
Tukikuchagua wewe utawza, tangaza niauongozi ni mgumu sana ukiwa ndani ya uongozi, amini nakwambia hata kama kiongozi atatoka nje ya ccm, usidhani utapata neema kwa kiwango unachokifikiria, mfano mdogo ni halmashauri ambazo chadema wanatawala, kama mwanza, hakuna neema yoyote waliyoileta zaidi ya kuongeza na kupandisha ushuru kila kukicha,,kwahiyo mtanzania mwenzangu sio dr.slaa, sio lowasa sio mbowe sio membe wanaweza kukuletea neema kwa kiwango unachokifikiria...
Mwanakijji,
You can't see nothing because of self inflicted blindness other than that we have good and clean members who can run this country with honor; your negativity will not achieve anything, don`t think that you can fool Tanzanians just because you can sit down and write such a dumb article, we are more cleaver than that Mwanakijiji; we know that you are working not for Tanzanians interests but for some corrupted machine within Chadema; your are too cheap man; you put yourself down this low just because you want to impress another man? How much they paid you? Shame on you; Remember I asked you if it was ethical for Mbowe to do business with Chadema while he is a chairman? Remember I asked you if it ethical for Mbowe to use backdoor to secure tender to supply Chadema equipments worth tshs 350 mil. What was your answer for those questions? where did you get the courage to write such a stupid article? Look deeply on the other side you will see the truth; you know what I am talking about! Man up!!!!!!!!!!
Chama
Gongo la mboto DSM
Nadhani makala hii ungesema moja kwa moja kwamba CCM haifai tena kuongoza 2015 na sio kuwataja hao watatu wakati ndani umeimaliza CCM moja kwa moja.
Na mbaya zaidi hatujui nia zao kama kweli watagombea au la.
Inawezekana kabisa Mama Makinda ndio akasimama.
Je,makinda anafaa kwa sababu hajaonesha nia ya kutaka kugombea au hafai nae kwa sababu yupo CCM kama Mhe Membe,lowassa na Mhe Sitta?
Tafakari.
![]()
ikulu ya dar-es-salaam
our nation is looking for a new breed of leadership. A leadership that can and will inspire tanzanians - young and old, men and women, educated and uneducated; of all creeds, of all colors and of all political persuasions - to look within themselves and find greatness that remains unchallenged, untapped and unleashed.
At a time like this where global balance of power in international affairs is shifting; where backward countries - once tormented by civil wars and internal wranglings are finding their rightful place in the community of modern nations tanzania needs leaders who can stand as beacons of a better and prosperous nations. Leaders unchained from a corrupt mentality of a generation past who are willing to challenge the failed policies of the current ruling corrupt elite.
I do not see anyone from within the same ruling party whose failed polices and ideology of corruption have proved to be a generational catastrophe would stand today promising 'change' or 'better leadership'.
The structural depth of the corrupt mentality of the generation past is so embedded with the ruling elite to the extent that without a total dismantling of the party, a precise prosecution and punishment of corrupt figures within the party there would be no hope for any meaningful change from the same party.
My friends for quite sometimes now prominent figures within ccm namely former speaker samwel sitta, former premier edward lowassa and current foreign affairs minister benard membe have tried to position themselves as potential candidates from within the ruling party for the presidency in 2015. The trio have - in so many occasions - tried to show themselves in myriad of ways as 'presidential materials' to contest the presidency against key opposition figures in much awaited general elections in about three years from now.
The failures of the three individuals to show that they fully understand the fundamental flaws of their party; their failures to appreciate and come to the defense of human and civil rights in the country and more importantly their failures to challenge and criticize the actions of their government - to the point of resignations - lead me to believe that not only lowassa, membe and sitta are not ready to lead our nation and indeed they are unfit to command. Not only have i taken this position against the three individuals - lest i be accused of favouring others - i do not see anybody within the ruling party right now who can inspire tanzania to greatness.
As i said about seven years ago that if kikwete were to fail to inspire the nation during his tenure at magogoni then there would be no other ccm candidate who do so in the near future.
The failures of kikwete's administration coupled with the failures of his party's policies have destroyed any chance for another candidate from within the ruling party to be trusted with power. Kikwete who came to power with such fanfare and an overwhelming mandate has shown that leadership is more than good smiles, handsome faces, or vain promises.
It is about inspiring people, it is about being trusted, it is about bold decisions, indeed it is about improving people's welfare and more. None within the ruling party right now can claim such qualities. I mean none. If there is one somewhere then he/she is not in the parliament or government position of any sort. But for the three let me be on record -they are unfit to read and unprepared to command.
By. M. M.
![]()
Ikulu ya Dar-es-Salaam
Our nation is looking for a new breed of leadership. A leadership that can and will inspire Tanzanians - young and old, men and women, educated and uneducated; of all creeds, of all colors and of all political persuasions - to look within themselves and find greatness that remains unchallenged, untapped and unleashed.
At a time like this where global balance of power in international affairs is shifting; where backward countries - once tormented by civil wars and internal wranglings are finding their rightful place in the community of modern nations Tanzania needs leaders who can stand as beacons of a better and prosperous nations. Leaders unchained from a corrupt mentality of a generation past who are willing to challenge the failed policies of the current ruling corrupt elite.
I do not see anyone from within the same ruling party whose failed polices and ideology of corruption have proved to be a generational catastrophe would stand today promising 'change' or 'better leadership'.
The structural depth of the corrupt mentality of the generation past is so embedded with the ruling elite to the extent that without a total dismantling of the party, a precise prosecution and punishment of corrupt figures within the party there would be no hope for any meaningful change from the same party.
My friends for quite sometimes now prominent figures within CCM namely former Speaker Samwel Sitta, former Premier Edward Lowassa and current Foreign Affairs Minister Benard Membe have tried to position themselves as potential candidates from within the ruling party for the presidency in 2015. The trio have - in so many occasions - tried to show themselves in myriad of ways as 'presidential materials' to contest the presidency against key opposition figures in much awaited General Elections in about three years from now.
The failures of the three individuals to show that they fully understand the fundamental flaws of their party; their failures to appreciate and come to the defense of human and civil rights in the country and more importantly their failures to challenge and criticize the actions of their government - to the point of resignations - lead me to believe that not only Lowassa, Membe and Sitta are not ready to lead our nation and indeed they are unfit to command. Not only have I taken this position against the three individuals - lest I be accused of favouring others - I DO NOT SEE anybody within the ruling party right now who can inspire Tanzania to greatness.
As I said about seven years ago that if Kikwete were to fail to inspire the nation during his tenure at Magogoni then there would be no other CCM candidate who do so in the near future.
The failures of Kikwete's administration coupled with the failures of his party's policies have destroyed any chance for another candidate from within the ruling party to be trusted with power. Kikwete who came to power with such fanfare and an overwhelming mandate has shown that leadership is more than good smiles, handsome faces, or vain promises.
It is about inspiring people, it is about being trusted, it is about bold decisions, indeed it is about improving people's welfare and more. None within the ruling party right now can claim such qualities. I MEAN NONE. If there is one somewhere then he/she is not in the parliament or government position of any sort. But for the three let me be on record -they are unfit to read and unprepared to command.
By. M. M.
Kaka,
Napata shida moja. Unasema hawa watatu hawafai. Ninavyofahamu mimi kwanza hawa watatu hawajasema watagombea, wanahisiwa tu. Aidha huendi mbele kutaja basi nani anafaa hata huko nje ya CCM. Mie kwa maoni yangu, suala zima la kugombea urais ni premature halafu tumejifunga sana kwenye majina machache ndani na nje ya ccm. Inawezekana baadhi ya majina ya ccm yasifae, lakini majina yanayotajwa chadema yaani mbowe na slaa pia hawafai. Kwa maneno mepesi, kwa kufuata hoja yako tunaweza kusema kuwa hatuna wagombea 2015. Naamini kusema huyu anafaa na huyu hafai ni kujipofusha. Tunaweza tu kusema huyu anafaana huyu hafai pale tutakapowapambanisha na wengine. Hadi sasa hatujampambanisha yoyote kuhusu urais tunachoongelea ni hisia tu na mapenzi yetu binafsi juu ya historia zao na nafasi zao walizonazo sasa. Tutamjua mgombea anayefaa atakapopambanishwa na wengine ndani ya chama chake kwenye primaries ambako wote wanaojihisi wanafaa watachukua fomu kuomba kuchaguliwa.
Kwa uelewa wangu mfupi, hadi sasa hakuna chama chochote ambacho kimeshafanya mkutano mkuu, CCM ni mwaka huu na CHADEMA nadhani ni mwaka huu au mwakani. Mikutano hiyo na safu mpya za uongozi zitakazotokana na mikutano hiyo ndio itatupa viashiria vya aina ya wagimbea watakaojitokeza na wenye uwezekano wa kupitishwa na vyama. Mathalan, baada ya mkutano mkuu, taswira ya NEC na CC ya CCM ikabadilika na kuingia watu wa mlengo wa Lowassa au Membe au Sitta tunaweza kubashiri ni aina gani ya mgombea atasimamishwa na CCM, maana mgombea hajisimamishi mwenyewe bali anasimamishwa na vikao vya chama. Vivyo hivyo, Baraza Kuu na Kamati Kuu ya CHADEMA nayo ikabadilika wakaingia watu wa maeneo mengine wenye kupinga ukristo na ukaskazini tunaweza kubashiri ni aina gani ya wagombea wenye uwezekano wa kupitishwa na kushinda.
Kwa kumalizia tu, tunapaswa kujiuliza, kwani watanzania ni raia wenye kufaa hadi wapate mgombea urais anayefaa? Kiongozi wa Tanzania atatokana na sampling frame iliyopo, kama Mbowe, Slaa, Lowassa, Membe na Sitta ndio waliopo kutokana na sampling frame yetu basi ndio wanaofaa ukilinganisha na makapi mengine ambayo tunayo. Wananchi irresponsible hawawezi kupata kiongozi responsible kupitia ballot box labda kupitia undemocratic means!
Binafsi nimefurahishwa na makala ya mwanakijiji na sishangai anapopata mashambulizi kwani anakabiliana na system iliyotawala kwa miaka zaidi ya 50 mfululizo ambayo imezaa watu wanayoiunga mkono out of mazoea, wengine maslahi, wengine ushabiki na wengi zaidi ujinga (illiteracy/ignorance). Kuna utofauti wa kuunga chama na miiko/misingi yake vis a vis kuunga mkono chama na madudu yake. Hapa nalenga watu wanaokiunga chama na madudu yake. Mimi ni Mwana CCM lakini hiki sio chama ambacho kama ningekuwa nina choice, ningependa kiwe katika hali ya leo. Lazima tukubali ukweli kwamba CCM imekosa mwelekeo. The only excuse we can have ni kwamba chama hakijakosa mwelekeo BUT kinakoseshwa mwelekeo. Wana CCM, hivi ni mambo gani ambayo leo hii tunaweza kusimama majukwaani huko vijijini na kujenga hoja kwamba CCM ni chama chao? Zaidi ya kuja na make up list ya hapa na pale, kwa kweli hatuna hoja. Tusipoteze muda mwingi kwenda kwa wananchi kuwasemea upinzani, tutumie muda mwingi zaidi kwenda kwa wananchi kurekebisha mapungufu yetu kwa vitendo, hoja na kwa siasa safi.
Makala ya Mwanakijiji inapata upinzani mkubwa kutokana na mtatizo mawili makubwa: Kwanza, wengi tumekuwa wazito kuelewa dhana ya uhuru wa kutoa mawazo. Mimi sioni tatizo kama Mwanakijiji ni mfuasi wa Chadema. Na isitoshe, hata katika siasa za nchi za wenzetu waliokomaa kidemokrasia kwa mfano Marekani, kuna media organizations ambazo zipo aligned na vyama vya siasa na kwa uwazi kabisa. Kwa mfano, makampuni kama FOX, hawa ni republicans, na makampuni kama MSNBC, hawa ni democrats. Lakini pamoja na tofauti zao hizi ambazo hubebwa na utofauti katika ideological following or beliefs, vyama vyote vinasimamia maslahi ya taifa, wanachotofautiana au pishana ni njia ya kufuata towards a better America. Huwa namsoma sana Mwanakijiji hapa JF na kwenye magazeti, na mara nyingi hoja zake huwa ni za maslahi ya taifa kwa kweli kwani zina cut across mtu yoyote mwenye nia njema na nchi yetu. Inawezekana kuna nyakati anaonekana anaegemea upande fulani, lakini kama nilivyokwisha sema, hata kwenye nchi za wenzetu waliokomaa kidemokrasia, hili ni jambo la kawaida.
Pili, wengi wetu humu tupo busy kujaribu to make sense of his (mwanakijiji) language in the article instead of making sense of the issues that he is trying to address before us. Makala ya Mwanakijiji leaves us with an important question that is in dispute and must be settled. Binafsi ningependa kuiangalia makala ya Mwanakijiji kwa mapana zaidi, hasa kuhusu suala zima la jinsi ya kumpata rais wa Tanzania. Vigezo na utaratibu uliopo ni kama vile Rais wa Tanzania daima atatokea CCM, and to make matters worse, kuna dalili kubwa kwamba CCM na mashabiki wake wanajikita zaidi kuzalisha marais wengi (quantity) kuliko wingi unaoendana na ubora wa marais hao (quality).
Katiba ya sasa ya Tanzania (1977) ni Katiba ya CCM. Pamoja na kufanyiwa amendments za hapa na pale lakini bado ilitungwa ili kuhalalisha supremacy ya CCM. Ndio maana kwa miaka karibia kumi na tatu (1964 1977), tulikuwa tunaongozwa na katiba ya mpito na hatukujali hilo kwani Katiba ya TANU, hasa Azimio la Arusha, na uongozi makini wa Nyerere ulifanya wengi wetu tusijali sana hilo kwani Nyerere alikuwa ana deliver. Ilipofika mwaka 1977, Vyama vya TANU na ASP vikaungana na kulazimisha mabadiliko, na hapo ndipo katiba ya nchi ikazaliwa ili kuhalalisha utawala wa chama kimoja (TANU + ASP = CCM), na ndio maana sehemu kubwa ya mgogoro wa katiba yetu ni the union question. Vinginevyo, baada ya 1977, Katiba ya CCM ikawa Superior kwa Katiba ya Nchi. Ipo mifano mingi juu ya hili lakini kwa haraka haraka niseme tu kwamba - viongozi wengi wa CCM na Serikali kwa ujumla walikuwa mara kwa mara wanakikiuka katiba ya nchi lakini hakuna aliyekuwa anawakemea, lakini ilipotokea kiongozi anakiuka Katiba ya Chama, huyo alionekana muasi, mhaini na kila lililo baya. Muundo huu ukatengeneza mfumo mbovu wa kutuzalishia viongozi, na ni hapa ndipo naungana na mwanakijiji kwamba mfumo wetu wa kutupatia viongozi (CCM) leo hii una matatizo.
Kwahiyo, tafsiri yangu ya hoja ya Mwanakijiji ndio hiyo i.e. kimfumo zaidi hasa pale anaposema kwamba haoni jinsi gani CCM inaweza kupata Rais bora ajae ambae atatoka miongoni mwa wabunge (CCM) wa sasa. Tukituliza kidogo akili zetu na kutafakari hili, wengi tutakubaliana na mwanakijiji hata kama haitakuwa mia kwa mia. Nitajaribu kuichambua hoja ya mwanakijiji kwa kutumia Katiba ya sasa ya Tanzania kwani hiyo ndio inatoa vigezo vya mtu kuwa rais bila ya kujali rais anatoka chama gani. Lakini cha kushangaza kidogo ni kwamba katika mijadala kuhusu mapungufu ya katiba yetu, nje ya suala la umri na mgombea binafsi, hatuangalii sana suala hili la sifa ya mtu kuwa rais kwa mujibu wa katiba ya Tanzania (1977).
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania (1977), sifa za mtu kuwa Rais wa Tanzania, awe:
(a) Ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa Sheria ya Uraia;
(b) Ametimiza umri wa miaka arobaini;
(c) Ni mwanachama, na mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa;
(d) Anazo sifa za kumwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi,
(e) Katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu hajawahi kutiwa hatiani katika Mahakama yoyote kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali.
Nitajaribu kujadili vigezo hivi vitano kwa haraka haraka.
- Kwanza ni suala la uraia Siasa za sasa ni zamu ya upande huu au upande ule unatoa mwanya wa kutuletea Ma-rais wabovu ambao wanateuliwa ili kufanikisha zaidi malengo ya kisiasa. Kwa mfano, siasa ya zamu ya bara bila vigezo vingine vya msingi inaweza kutuletea rais wa ovyo lakini pia vile vile siasa ya zamu ya visiwani. Ni muhimu katika kumpata Rais, tukasukumwa zaidi na mahitaji ya watanzania in all spheres (kisiasa, kiuchumi na kijamii) badala ya kusukumbwa zaidi na siasa za muungano.
- Pili ni suala la umri (miaka 40). Hili tumeshalijadili sana hivyo nitaliacha kwa sasa.
- Tatu ni kuhusu mgombea lazima atokane na chama cha siasa hili pia tumeshalijadili sana, huku wengi wetu tukihimiza umuhimu wa kuruhusu wagombea binafsi. Lakini ningependa kulisemea kidogo. Kwenye mdahalo baina ya Nape, Mnyika, Naibu Katibu Mkuu CUF (jina limenotoka), Nape alijaribu kujenga hoja kwamba hatuna haja ya mgombea binafsi kwani hata nchi kubwa kama Marekani wagombea binafsi hawana nguvu, hivyo kusisitiza msimamo wake kwamba Tanzania hatuna haja ya wagombea binafsi ndani ya katiba mpya. Hili ni suala ambalo hata Nyerere leo hii angepingana na Nape kwani hata yeye hakuona sababu za msingi za kuendelea kulikataa hilo kikatiba. Lakini nikirudi kwenye hoja ya Nape, anasahau kwamba Rais wa kwanza wa marekani George Washington, hakutokana na chama chochote cha siasa, na ilichukua muda mrefu kwa marekani kujenga vyama vya maana. Pamoja na kuibuka kwa vyama viwili vya maana baadae, bado katiba ya marekani iliendelea kuwapa option wananchi kuchagua mgombea binafsi. Kinachofanya wananchi wengi waegemee wagombea wa vyama kuliko wagombea huru ni kwa sababu nchi imegawanyika karibia nusu kwa nusu kiitikadi. Hata hivyo, bado kuna majimbo ambayo wabuge wake wanapita kama wagombea huru. Lakini sisi CCM tunafanya maamuzi juu ya suala muhimu kama hili ina top-down fashion, na mbaya zaidi ni katika mazingira yanayotawaliwa na ombwe la kiitikadi (including CCM). Hivi sio kuwatendea haki watanzania.
· ni raia wa Jamhuri ya Muungano aliyetimiza umri wa
- Nne ni kuhusu sifa Rais lazima awe na sifa za kuwa mbunge: Je ni sifa zipi hizi? Kwa mfano katiba ya Tanzania inasema ili mtu kuwa mbunge ni lazima awe:
· na miaka ishirini na moja, na ambaye anajua kusoma na kuandika katika Kiswahili au Kiingereza;
· ni mwanachama na ni mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa;
· katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi hakuwahi kutiwa hatiani katika mahakama yoyote kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali.
Tayari tumeshaona migongano mingi hapo, na kuna sifa nyingine ambayo sijaiweka hapo ambayo, wakati sifa kielimu (mbunge) ni angala darasa la saba, sifa kielimu (rais) ni angalau shahada ya kwanza.
Wengi wetu katika mjadala huu inaonekana hatupo tayari kumfikiria mtanzania ambae hayupo kwenye kundi la sasa la wabunge (CCM); tunaamini kwamba nje ya wabunge waliopo sasa, hakuna mtanzania mwingine mwenye uwezo wa kuwa Rais na Amiri Jeshi mkuu. Na wenye mtazamo huu hawajali kama ubunge wa mgombea ambaye ni chaguo lao, ubunge wa aliupata vipi - kama ulipatikana kihalali au kwa hila, vitisho, rushwa na ujanja ujanja wa kila aina. Kwa wenzetu hawa, hilo kwa sio muhimu!!
- Na tano ni juu ya kutiwa hatiani kuhusu masuala ya kodi. Kwa kweli hapa tunachezeana tu akili kwani tumezidi kushuhudia jinsi gani wanasiasa wengi wanajificha nyuma ya pazia la innocent until proven guilty, huku vyombo vyote vya kufanya kazi ya kutia watu hatiani vipo mifukoni mwao. Hivi kweli are we serious na kuachia maadili ya uongozi yapimwe na masuala ya kodi tu? Fine, tuseme suala la kodi ni muhimu, je nani asiyejua kwamba Azimio la Arusha lilivunjwa ili kuhalalisha wanasiasa kuwa na mshahara zaidi ya mmoja, nyumba za kupanga, na hisa katika publicly traded companies, na nyingi ya kampuni hizi zikiwa mstari wa mbele kuhujumu uchumi wetu?? Na je hivi kuna any transparency katika masuala ya tax returns miongoni mwa wanasiasa wetu wafanyabiashara? Lakini swali muhimu zaidi hapa ni je, hatia kwa kiongozi nje ya kodi hakuna kweli? What about kujihusisha rushwa na matumizi mabaya ya madaraka? What about kubaka au kutafuta hongo za ngono? What about kuwa raia wa nchi zaidi ya moja kinyume cha sheria? The list goes on and on
Wana CCM wenzangu, tusiogope kushindwa hoja kuhusu CCM kufilisika kihoja mbele ya umma, kwani badala ya kutibu tatizo, tunaficha ugonjwa ambao utakuja kutuadhiri. Tukubali kwamba nchi yetu imeshakomaa kuruhusu demokrasia ya kupokezana vijiti. Wana CCM wenzangu, kushindwa 2015 (kama itatokea) sio mwisho wa dunia, and as a matter of fact, tutakuwa kwenye nafasi bora zaidi ya kujipanga upya tukiwa nje kuliko tukiwa madarakani kwa sababu moja kubwa: Tukipoteza madaraka ya nchi, hapo ndio tutajua kina nani walikuwa wapo CCM kimaslahi na kina nani walikuwa wapo CCM kwa dhati kwani ni dhahiri kwamba wengi watakimbilia upinzani, na hii itawapatia nafasi wale wachache watakaobaki CCM kwani watakuwa na nia ya kweli ya kukirejesha Chama kwenye mstari.
Wana CCM wenzangu, CCM ni chama pekee katika dunia ya tatu kilichokaa madarakani kwa zaidi ya nusu karne, hasa katika mazingira ya liberal democracy. Sasa kama vipo vyama vinavyopoteza madaraka ya nchi kwa kutawala miaka mitano au kumi, sisi ni nani kuwa immune kiasi hicho? Unless madaraka kwetu ni kwa ajili ya kujipatia immunity na ufisadi ili tusifikishwe mbele ya sheria pale chama kingine kitakapochukua madaraka; au unless lengo letu ni kutumikia matumbo yetu na sio wananchi, vinginevyo watanzania wakiamua kututoa madarakani 2015, tukubali maamuzi ya wengi, lakini isiwe mwisho wa dunia kwetu kwani kwa mfano:
- Ghana, kwa mfano Chama cha NDC kilipoteza madaraka mwaka 1992 kwa chama cha upinzani, lakini kikarudi madarakani mwaka 2008;
- Uingereza, chama cha Labour kilikuwa cha upinzani kwa miaka 17 mpaka pale Tony Blair alipokirudisha madarakani;
- Japan, chama Cha DP kilitawala kwa miaka 50, lakini kikashindwa miaka michache iliyopita, na hivi sasa kinajipanga na kina nafasi kubwa ya kurudi uchaguzi mkuu ujao;
- Zambia, CCM ya Zambia (UNIP) ilitawala kwa miaka 27 na kuja kupoteza uchaguzi kwa Chadema ya Zambia (MMD), ambayo ilitawala kwa miaka 20 kabla ya kupoteza kwa chama kipya (DP) cha Satta ambacho tayari wananchi wengi wanaanza kufikiria tena kuwapa ridhaa yao MMD au UNIP. Hii ni ishara kwamba tatizo linalowakabili waafrika kwa ujumla ni umaskini lakini kuna uhaba wa vyama vyenye itikadi ya kutatua tatizo hili. Ndio maana huwa napingana na mawazo wa baadhi yetu humu kwamba hatuna haja ya vyama vingine vipya kwani CCM na Chadema wametosha.
Last but not least, niseme tu kwamba pamoja na haya yote, binafsi bado nina jina moja ambalo nina imani mtu huyo ana uwezo wa kulitumikia taifa hili vizuri (ngazi ya Urais) hata kama anatokana na wabunge wa sasa (CCM), kwa sababu amekuwa anapingana na the existing state of affairs (some of which nimezijadili) kwa muda mrefu. Lakini haina maana kwamba yeye ni bora kuliko wengine wa upinzani, na muda ukifika nitamtaja ili tumpime kwa hoja (sio kwa ushabiki, mazoea au maslahi).
Vinginevyo naunga mkono hoja ya Mwanakijiji kwa vigezo nilivyovijadili.
kama mwanakijiji ni mpumbav.u ungejibu hoja zake..... kujibu hoja za mtu mpumbav.u ni rahisi sana kwa vile ni mpumbav.u ila wewe utakua ni mpumbav.u zaidi ya mwanakijiji kwa sababu umeshindwa kujibu hoja zake.
kama kuna clean na good member kwa nn serikali imeshindwa kuzuia ufisadi ulioota mizizi ktk jamii, kwa nini serikali ya ccm imeshindwa kuwaletea maisha bora wananchi wake? ni hawatakai tu au wameshindwa?
kwa nn serikali ya ccm imeshindwa kuimarisha uchumi na kupunguza inflation na kumuongezea mtanzania maisha bora mliyoahidi kwenye ilani nyenu wakati wa uchaguiz??
kuna maswali mengi sana yanayoitaji majibu yakinifu lakini umeishia kutoa matusi!!!!