Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

Lowassa kama Mwenyekiti wa kamati ya Bunge Mambo ya nje amechangia kufikia hali mbaya ya kidiplomasia kwa kukaa kwake kimya.Hana mchango wala uwezo wowote.

Membe na Sitta wameshindwa katika wizara zao na kutoa maneno kama Talaka na kuoa.Wote hawana uwezo hata kidogo

Nimeona nirudishe thread hii ya Mwanakijiji

angalia Mbowe na slaa ni close friends wa Lowassa

sasa angalia usije gombana na mabwana zako hao, just informing you, maana umeshindwa kuwa wewe when it comes to issues za chadema
 
Well said mkuu! Kumbe ccm bado wapo wachache wenye fikra huru na wanaoweza kujenga hoja na si kuleta vioja vya matusi kushambulia mleta mada au wenye mawazo tofauti!
Mchambuzi

Ndiye Mwana-CCM pekee aliyebaki humu mwenye weledi wa kujenga hoja za kufikirisha.Huwa napenda sana ku-debate nae
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom