Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Abastian, unadhani lazima ashinde anayempenda wewe? Ndio maana tunafanya uchaguzi. Anything can happen
 
Naelekea kituoni Kinondoni,EL ndio mpango mzima
 
Kwa walioangalia itv walishuhudia alimwomba msimamizi amsaidie kukunja hata karatasi aliibeba kwa shida. Ila mke wake ameweza kukunja vizuri bila kusaidiwa.

Ata cc 2meona kwahyo 2fanyaje?!!
 
Kama inavyosisitizwa na watu mbalimbali kuchagua mgombea mcha MUNGU. Leo Lowassa kaanza kwanza kwenda kusali kanisani na sasa yuko kituoni na mkewe kwa ajili ya kupiga kura
Ibada ya MAKUFURI ilikuwa ndefu ndio anapiga kura sasa, Ama kweli nyota njema...... utamalizia mwenyewe.
 
Daah mgombea uraic wa TLP hajapga kura fomu anayotakiwa kujaza haipo kituon kwake.
 
Kwanza kiingereza sio kigezo cha kuingia ikulu na kisha nimechija ngoyai lowasa ni magufuli kwanza
 
Lowassa hawezi kufurukuta kamwe. Alishakataliwa na Baba wa Taifa Mwl Nyerere kuwa ni mwizi!!!. Ikulu ataisikia tu akitokea Monduli
 
Nilichofanya kituo cha kupigia kura saa 1.20 asubuhi nimechukua nimeweka Lowasa.

Nikachukua nikaweka George Diwani kata ya Baraa jimbo la Arusha chadema.
 
Daah!!faraja sana kukaa ktuo kmoja na alyekua raic wa nigeria
 
Yaani hata Aljazeera wanafatilia zaidi habari za Lowassa! Yaani leo asubuhi wameonyesha kidogo Magufuli akiwa barabarani lakini wakabakia kwenye nyomi ya jangwani jana! Intrest ya internation inaonekana Lowassa

Kwao aljezira hawajahi fanya uchaguzi..
 
Back
Top Bottom