Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Lowassa... Lowassaaaa... taratibuuu..!!!

✌✌✌✌👏👏👏🙌🙌🙌
 
Tayari kura kwa lowasa, na diwani wa chadema uchaguzi wa mbunge hakuna.... Arusha hapa
 
Nimepata taarifa kuwa kuna uwezekano wa kupiga kura hata ukiwa mahali ambapo hukujiandikishia kupiga kura,eti kuna fomu maalumu ya kujaza,naomba kupata uhakika wa jambo hili.
 
Nimepata taarifa kuwa kuna uwezekano wa kupiga kura hata ukiwa mahali ambapo hukujiandikishia kupiga kura,eti kuna fomu maalumu ya kujaza,naomba kupata uhakika wa jambo hili.

wadau tunaomba msaada kwa hili,nami ni muhanga pia!
 
Ndugu yangu unauliza vumbi stoo, nimeshapeleka kilio Lumumba nasikia mazishi kesho wanasubiriwa watoto wa marehemu matanga baada ya siku tatu.
Hahahahaaa hahahaaa, MAKUFULI kaenda alone sijui Janet kakataaa
 

Attachments

  • 1445762901977.jpg
    1445762901977.jpg
    43.4 KB · Views: 155
  • 1445762920638.jpg
    1445762920638.jpg
    45.1 KB · Views: 153
Wakati Ngoyai kajumuika na mkewe kupiga kura....

Magufuli kamuacha mkewe sijui wapi kapiga kura peke yake na mkewe akafuata baadaye kwa muda wake kupiga kura...
 
Niko kwenye foleni, foleni yenyewe ni ndefu sana nakadria nitapiga kura saa saba, watu wanaongea kwa chini chini sana ni Lowassa tu, halafu polisi aliyopo ni mwanamke mcheshi sanaaa anapita kunyoosha foleni huku akionyesha vidole viwili , watu wanamwelewa na wanatikisa vichwa

Hata sisi msimamizi wetu ni mwanamke pia,na alikuwa peace sana yani.
 
Tuombe mungu apite maana kuna taarifa ya kukamatwa box ambazo zilikuwa na karatasi ambazo zimejazwa ktk jimbo la Vunjo kule Kilimanjaro,na Mbeya pamoja na shinyanga..
 
Back
Top Bottom