IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
Nimeshafanya yangu, hapa kituo shule St Marry ..mbeya.... Kura kwa ukawa...yaan sijachelewa sikuangalia picha, nilicheki vidoleviwili ..nikaweka tick ktk kibox kuanzia rais lowasa, mbunge Sugu na diwani wao....nipo home nasubiria baada ya SAA 10, nikachungulie....au nitacheki kwa dirishani, maana home ni mita 195 toka kituoni