Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Hivi yule Mgombea wa Chato ataweza kweli umombo?? Nisaidieni wadau
Ndugu yangu unauliza vumbi stoo, nimeshapeleka kilio Lumumba nasikia mazishi kesho wanasubiriwa watoto wa marehemu matanga baada ya siku tatu.
Labda kama anamaanisha akifyekwa hatokubali matokeo.
Nilipooona headline tu nikaanza kucheka...Bavicha wamevurugwa balaa na hizi ni dalili za kutapatapa!
Kwa uchaguzi huru na wa haki lazima Huyu Mzee ashinde.
Mshindi apatikani jamii forum anapatikana kwenye sanduku la kura amnapo wanapiga hata wasio na simu za adroid
Sikumbuki ni ln mara ya mwisho kuangalia hiyo tv ya kihuni.
Wanashindwa kabisa kuwa balanced.
Lowasa akishinda sidhani km watatangaza!
Nimeshawachinjaaaa!
Nimechukua na kuweka kwa Lowassa,Kubenea na diwani wa CUF.