Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

tayari amekwisha yachinja mafisiemu akishirikiana na first lady mtarajiwa. tunasubiri mazishi kesho
 
Yai la lowassa ni hatari,nadhani magufuli atawakimbia watakaomhoji kiingereza!
 
Mbona watu wamepiga kura kwa uhuru???

Mimi nimeshamkata pamoja na kulia lia kwamba ninamuonea
 
Leo saa 2 asubuhi nilikwenda kuchukua Lemara mtaa wa Korongoni shule ya Sekondari Naura hakika nilichoshuhudia binafsi kinatisha waTanzania wanataka mabadiliko.

1.Wapiga kura wanauliza nchi ndogo kama Rwanda wanamiliki ndege 7 Tanzania NIL
2. CCM & Serekali yake wameuwa viwanda alivyojenga Mwl Nyerere vijana hawana ajira.
3. Huduma za afya zimedorora kabisa Kikwete badala ya kuboresha anakwenda kununua magari ya polisi kutupiga.
4. Elimu ya Tanzania imeshuka sana watoto wetu hawana uwezo wa kushindana katika soko la ajira la EAC.
5. Utendaji wa serekali ya Kikwete umeshuka sana vyombo kutoa haki kama polisi,mahakama rushwaa imetamalaki.
6. Huduma za maji & umeme zimezidi kuwa mbaya.

Jina langu linahakikiwa na karani wa tume nawaacha wapiga kura wakiendelea kulalamika lakini wakiwa wamejiandaa kutoa hukumu kali na kupeleka kilio mtaa wa Lumumba.
 
Labda kama anamaanisha akifyekwa hatokubali matokeo.
Too low for you bro. tuache sisi tunaotumia haki yetu kuchagua tunayemtaka, wewe endelea kula bata huko kwa Obama matatizo ya huku huwa unayasikia kwenye redio tu.
 
Back
Top Bottom