Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Hapo sasa,niko singida nimempa Lowasa kura yangu.Dogo yuko singida mashariki anasema kila mtu aliyepiga kampa Lowasa.
 
Magufuli full kukagua karatasi yake mara mbilimbili...!!

Hahahahahaha
 
Niko kwenye foleni, foleni yenyewe ni ndefu sana nakadria nitapiga kura saa saba, watu wanaongea kwa chini chini sana ni Lowassa tu, halafu polisi aliyopo ni mwanamke mcheshi sanaaa anapita kunyoosha foleni huku akionyesha vidole viwili , watu wanamwelewa na wanatikisa vichwa
 
Kuna mama mmoja jirani yangu hapa anaipenda fisiem balaa na amepoteza kadi yake ya kupigia kura, nimefurahije..
 
MTAZAMO MPYA@@@@ WANAOKUTA MABOX AU MAKARATASI YA KURA WAAMBIE... wasichome ila yawe ushadidi mahakamani!
WATAPOTEZA HAKI..... Hasa kura
 
MTAZAMO MPYA@@@@ WANAOKUTA MABOX AU MAKARATASI YA KURA WAAMBIE... wasichome ila yawe ushadidi mahakamani!
WATAPOTEZA HAKI..... Hasa kura


Polisi wataharibu ushahidi. Bora kuchoma ili zisije kupenyezwa
 
Nimechinja ccm damu Ndo inaishilia kuanzia diwani hadi prezidenti ni ukawaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom