Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Wenye busara wanaongea kwa vitendo na siyo makelele ya kwenye jf
 
Ameyasema hayo akihojiwa mara baada ya kupiga kura sasa hivi huko Ngarashi, Monduli.

Pia amehojiwa kwa lugha ya kiingereza na kujibu bila wasiwasi.

Source: Azam two
 
Nimefurahi kumwona raisi wetu anatarajia ushindi wa kishindo
 
Nimeona baada ya lowassa kupiga kura kuna waandishi wa habari wa vyombo vya habari kitaifa na kimataifa, balaa kwa magufuli kuna baadhi wanahoji kwa kizungu, sielewii!
 
Simba mwendapole ndiye mla nyama, hatupigi makelele ila tukutane saa tatu usiku.
 
Ningependa kumwona Magufuli akiambatana na mkewe wakati wa kupiga kura
 
Back
Top Bottom