Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

Lowassa kaonekana ITV akipiga kura huku akiwa mtulivu sana na amejibu maswali kwa busara kubwa. Kuna tofauti kubwa mno kati ya Lowassa na Magufuri. Ngoja nijiandae kwenda kituoni kufanya yangu
 
ni mda wa maamuzi sasa,,hamna haja ya kampeni,atakaepita ndo huyo huyo
 
Umeskia majibu ya lowassa kwa mwandishi wa habari aliemwuliza kwa kingereza! Lowasa amejibu kama vile alizaliwa Amerca

ni shida arifu nilitaka nimjue kwanza huyo journalist ni wa kigeni au ni wa hapa hapa alijifanya kuleta challenge nyepesi kama hyo
 
Amesema hatokubali "kama kutakuwa na matatizo makubwa sana" ya kiutendaji
 
Ameyasema hayo akihojiwa mara baada ya kupiga kura sasa hivi huko Ngarashi, Monduli.

Pia amehojiwa kwa lugha ya kiingereza na kujibu bila wasiwasi.

Source: Azam two

Uhuru ni wa kumwaga yeye aandae tu ng'ombe wake kesho akaanze kuwachunga
 
Lowsaaaa ✌✌✌✌✌✌✌✌
 
Nimeona baada ya lowassa kupiga kura kuna waandishi wa habari wa vyombo vya habari kitaifa na kimataifa, balaa kwa magufuli kuna baadhi wanahoji kwa kizungu, sielewii!
Sio lazima kiingereza.rais wachina anajua i love you tu na anaongoza taifa kubwa
 
Back
Top Bottom