shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,337
Daah!!faraja sana kukaa ktuo kmoja na alyekua raic wa nigeria
wapi huko?
Daah!!faraja sana kukaa ktuo kmoja na alyekua raic wa nigeria
Nimeshawachinjaaaa!
Nimechukua na kuweka kwa Lowassa,Kubenea na diwani wa CUF.
Kama inavyosisitizwa na watu mbalimbali kuchagua mgombea mcha MUNGU. Leo Lowassa kaanza kwanza kwenda kusali kanisani na sasa yuko kituoni na mkewe kwa ajili ya kupiga kura
Thats the problem..he just say things which you'd never figure what he truly means...
Nimeshawachinjaaaa!
Nimechukua na kuweka kwa Lowassa,Kubenea na diwani wa CUF.
Hapa nilipo Arusha sokon 1 kila anaetoka anasema ameshamchinja Maguduli