Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Live now Azam two anaingia kupiga kura
Is now or never jamani tumpigie kura kwa wingi
Nashangaa eti TBC wanaonesha katuni
Kama inavyosisitizwa na watu mbalimbali kuchagua mgombea mcha MUNGU. Leo Lowassa kaanza kwanza kwenda kusali kanisani na sasa yuko kituoni na mkewe kwa ajili ya kupiga kura
Unataka kura za walutheri???
Unataka kura za walutheri???
Lowasssa atosha