Lowassa azidi kulikoroga, Ahaha kujinasua

Lowassa azidi kulikoroga, Ahaha kujinasua

hivi huyu masai ccm watampitisha kweli!??
Mbona kama mko makundi mawili ya ccm !?? Wapinga masai na kinyume chake itakuwaje sasaaaa
 
Kazi kweli kweli, nikiangalia miccm inavyo parulana kabla ya uteuzi. Sisi yetu macho kuangalia vipendengule vya mafisi.
 
Nawashangaa sana UKAWA kutwa nzima na usiku hawalali kisa Lowassa, jamani si mnasema watu hawamtaki? si mnadai ni fisadi na hakuna atakaye mpigia kura?

Nilitegemea kwa kuwa huo ndo mtazamo wenu basi kwa sasa msapoti apitishwe na CCM ili mpate mteremko kwenye kura jamani lakini naona mambo ni kinyume. KWELI LOWASSA ANANGUVU SANA.
 
MASHOGA wamemng'ang'ania Lowassa ile mbaya... wana GUBU la kufa mtu! kila uzi lazima wajitekenye na kujichekesha in the name of lowassa... enyi mabwabwa; hakika nawaambia kuwa MABASHA wenu Membe, Wassira, Pinda, Magufuli, January, Nchemba, kigwa, sumaye hawatapata hata robo ya kura za Lowassa... ukweli mnaujua kuwa real FISADI Waliogawana mabilioni ya EPA, ESCROW, MIKATABA YA KISHENZI ndo wenye hofu kuu ya kulipiziwa kisasi... soon maisha yatakuwa magumu sana kwa waliberali wote...hata yule dc wa kinondoni...
 
Yaani leo nimecheka sana, katika siku zote nimekuwa nikiwaheshimu sana Ben Saanane na Crashwise humu jukwaani, ni watu makini sana, lakini kadli siku zinavyoenda naona Lowassa anawamaliza kabisa akili, embu angalia hata hili bandiko la Crashwise utadhani kapost mtoto wa Div 5, Lowassa ndilo tumaini pekee la watanzania kwa sasa.


Kwani Ben Saanane & Crashwise wamekuombaga humu uwaheshimu????

Ama unajaribu kuwasoma hawa Makamanda nyota nini?

Pole sana mtumwa weeee!!!
 
Last edited by a moderator:
Myasema sana lakini mkae mkijua kwa jonsi mnavyomsema vibaya ndivyo mnavyozidi kumjenga kisiada na watu ndiyo watamfahamu zaidi na kumuunga mkono,mfano Paul makonda mlimsema vibaya kwa sasa ni mkuu wa wilaya ya kinondoni halikadhalika na kwa lowasa itakuwa vivyo hivyo
 
Hivi Lowasa hana washauri ? mbona mbinu zake ni za kishamba sana !
 
Nawashangaa sana UKAWA kutwa nzima na usiku hawalali kisa Lowassa, jamani si mnasema watu hawamtaki? si mnadai ni fisadi na hakuna atakaye mpigia kura?

Nilitegemea kwa kuwa huo ndo mtazamo wenu basi kwa sasa msapoti apitishwe na CCM ili mpate mteremko kwenye kura jamani lakini naona mambo ni kinyume. KWELI LOWASSA ANANGUVU SANA.

Nenda kasukutue ndio urudi unaharufu yakifisadi
 
Analo jingine linakuja la viwanja vya posta oyster bay na mpaka sasa kuna watu wamesimamishwa kazi posta Kwa sababu ya dili zake. Huyu mtu ni mpigaji tu siasa ameingia kutekeleza dhambi zake ila mungu ndio atatuokoa
 
Kwa ujumla ni kwamba huyu mamvi atakuwa amerukwa na akili maana hata ukimwangalia siyo yule ninaye mjua miaka kadha iliyopita.

Na sijui hata washauri wake hawalioni hilo la afya yake Mi sijui kwa kweli.

Huyu ni mfa maji na siku zote mfa maji anapokaribia kufa yeye anajua tu atatoka hapo alipo kumbe ni byeeeeeeeee!!!!!

we ndo ubongo wanyuma haufay kazi ndo maana unamuoa mwenzako alye mzima kuwa kaukwa.ndo maana najiita jina usilojua maana yake pumb avu mkubwa
 
sio kila anayekanusha jambo huwa anamaanisha toka moyoni. wengine wanakanusha kisiasa ili kuzuga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom