Lowassa azidi kulikoroga, Ahaha kujinasua

Chama tawala hakina ujanja mbele ya team Lowassa.Piga uwa lazima jina lake kitapendekezwa na kamati kuu.Ni yeye pekee anayeweza kuleta upinzani kwa CHADEMA.anajua kampeni,anajuwa fitna,anajuwa siasa na ni senior.Wanasiasa wengine wakongwe hawamtajitaji kabisa kwani wanamjuwa alivyo mahiri.
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa jana amelazimika kutengeneza malegwanan ilikukanusha tamko la malegwanan lilitolewa tarehe 18/02/2015 Makuyuni la kumkataa Namelok kuwa hawawezi kumpa fimbo inayotumika kwa kiongozi yoyote wa kimasai.

Nilipoongea nao baadhi ya wazee hao walisema hatuwezi kumpa fimbo Namelok lakini anaweza kutuongoza. Kauli hiyo imepingana kabisa na tamko la malegwanan wanaotambulika katika kabila la kimasai mkoani Arusha.

Hili ni pigo la pili ndani ya siku 10 baada ya wanafunzi Wa IFM kukanusha kuwa hawamuungi mkono waziri huyo aliyefukuzwa Kwa ufisadi wa Richmond na sasa anahaha kutimiza ndoto zake za urais.

Awali lilitoka tamko kuwa wanafunzi wa chuo hicho wanamuunga mkono Lowassa kwenye mbio za ndoto zake za urahisi.

Me ni mmoja wa viongozi wa malengwanani.. Hakuna siku hata moja ambayo tumeshaongea na wewe kuhusu hilo swala,,, na sisi wote kwa ujumla wetu tunamuunga mkono Lowassa
 
View attachment 230269
raisi mtarajiwa wa monduli

image.jpg
 
Haaaa,,, mnachekesha,,, sio kila anayemkubali lowassa ni ccm loh,,,watu tunamkubali kulingana na utendaji wake wa kazi,,,poleni sana nyie mnaoumia ukiona mzee anakubalika,,,,nyotaaaa
 
ccm na ikulu wanakwepa aibu Ndiyo maana hawatampendekeza lowassa.

NA HAITAKUWA MKITAKA TUANZE KUBET. Kwa utendaji na uadilifu hadi lowassa awe rais mbona mnakun.....hadharani. mwenyekiti wa Chama kashaigiza hafungui mkutano kama Jina la El litakuwepo
 
Huyo M/kiti wenu goigoi hana jeuri hiyo. Anachoweza ni kujichekesha tu kinafki.
 
Siasa ni mchezo wa ajabu sana, mtacheza sana na maneno lakini wananchi wengi ndiyo wataamua nani awe kiongozi wao hata kama ni shupavu au mbovu(according to Democracy of majority)! Mpaka sasa Mungu pekee aliyeziumba Mbingu na Nchi ndiye anayejua nani atakuwa rais wa awamu ya 5 wa Tanzania, sisi hatujui pengine atakuwa Lowasa, Prof. Lipumba, Membe, Dr. Salim Ahmed Salim, Dr. Slaa, Wassira, Sumaye nk hayo anayajua Mungu pekee kwa sasa lakini atakapodhihirika tutamjua
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa jana amelazimika kutengeneza malegwanan ilikukanusha tamko la malegwanan lilitolewa tarehe 18/02/2015 Makuyuni la kumkataa Namelok kuwa hawawezi kumpa fimbo inayotumika kwa kiongozi yoyote wa kimasai.

Nilipoongea nao baadhi ya wazee hao walisema hatuwezi kumpa fimbo Namelok lakini anaweza kutuongoza. Kauli hiyo imepingana kabisa na tamko la malegwanan wanaotambulika katika kabila la kimasai mkoani Arusha.

Hili ni pigo la pili ndani ya siku 10 baada ya wanafunzi Wa IFM kukanusha kuwa hawamuungi mkono waziri huyo aliyefukuzwa Kwa ufisadi wa Richmond na sasa anahaha kutimiza ndoto zake za urais.

Awali lilitoka tamko kuwa wanafunzi wa chuo hicho wanamuunga mkono Lowassa kwenye mbio za ndoto zake za urahisi.

Mimi nasubiria lowassa kutamka anamuunga Anne Makinda kuwa na timu zake rasmi na zisizokuwa rasmi zihamie huko bila zengwe

It is no longer a question of how but when.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom