Lowassa azidi kulikoroga, Ahaha kujinasua

Lowassa azidi kulikoroga, Ahaha kujinasua

Hatutaki laana kutoka kwa wajukuu na vitukuu wetu kwanini tulimwachia fisadi nchi

Tukemee Hugo pepo asiibgie kabisa yaani niliwasikiliza hao aliowaita wazee Wa kimasai hata kujieleza Ni shida hawajui wanakanusha nini na wanakubali nini?..
 
Hakuna kazi huyu fisadi atakura mweleka mkali sana wala hamtaamini.

lakini ndani ya CCM wanamwogopa mbaya kabisa maaba yeye ndiyo jambazi kuu Hawa akina Mwigulu, Chenge aka kengeza la Nyoka ni vidampa...
 
Nimemuona kiongozi mmoja wa ccm akihaha kutafuta viungo vya albino baada ya CDM kumkalia vibaya jimboni

Ni kauli HATARI kwa Wapendwa wetu maalbino. Kufikiria na kuamini kua viungo vya albino vingemfanya Mtu akubalike kwa wapiga Kura ni fikra na Imani Potofu. Kutokana na mateso MAKUU wanayopitia Maalbino NAOMBA maalbino wasitumike hata kwa maskhara au kejeli popote . Tumwombe Mungu alete ukombozi kwa hawa ndugu zetu. Amina.
 
Ni kauli HATARI kwa Wapendwa wetu maalbino. Kufikiria na kuamini kua viungo vya albino vingemfanya Mtu akubalike kwa wapiga Kura ni fikra na Imani Potofu. Kutokana na mateso MAKUU wanayopitia Maalbino NAOMBA maalbino wasitumike hata kwa mashara au kejeli popote . Tumwombe Mungu alete ukombozi kwa hawa ndugu zetu. Amina.
Sidhani kama utaeleweka kwa wana wa Lumumba
 
Naona hata Mungu sasa amemchoka labda akimbie Nigeria tena kila sehemu anapigwa tu...

Nigeria ni ngumu Mazee, kila akienda anaambiwa arudi akakamilishe alichoambiwa.
'Toa kila kitu chako kwa masikini' sasa imekuwa ngumu, Mwigulu yeye kaambiwa atubu dhambi zake za kuuwa hataki mara ya tatu sasa kila akifika anaanguka tu
 
Nimemuona kiongozi mmoja wa ccm akihaha kutafuta viungo vya albino baada ya CDM kumkalia vibaya jimboni

Mkuu kwa kauli yako hii unazidi kuwaweka rehani ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi. hii ni kama kuwaambia wengine ambao akili zano ni finyu sana kuwa viungo vya walevu wa ngozi vinasaidia katika hayo masuala hivyo wafanye jitihada kuvitafuta. huko nikuhatarisha maisha yao.
 
october itakakuwa kazi

Shughuli yake ni pevu ImageUploadedByJamiiForums1425008796.355766.jpg
 
flora msoffe huyu haifiki October watamchinja Karibuni..lowasa anapaswa kunyongwa tena Kwa kupigwa risasi hadharani..

Usishangae ukatangulia Wewe. Kila nafsi itaonja mauti. Kwa hiyo kama unamwombea mwenzako mbaya Kisa njaa za ukoo wako, basi usishangae ukatangulia wewe.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa fisadi unaharibikiwa kwanzia akili mwili nakila kitu. Watu wanachukua pesa zawalala hoi alafu wanakimbilia makanisani aibu kubwa sana hii alafu ndio tumpe nchi watanzania si wajinga kiasi hicho weka mbali nawatanzania mamvi

Wengine wanatumia weledi wao wa sheria kutetea ufisadi walioufanya kiasi hata kuwahoji ni mbinde
 
Hv kuna uhausianao gan kati ya uchaguz mkuu na mauaji ya ALBINO????. Wagombea wote lazma watuhakikishie kuwa watakimesha haya mauaji ndo tuwape uongozi ........cc sote tuungane kusema hapana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom