Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa jana amelazimika kutengeneza malegwanan ilikukanusha tamko la malegwanan lilitolewa tarehe 18/02/2015 Makuyuni la kumkataa Namelok kuwa hawawezi kumpa fimbo inayotumika kwa kiongozi yoyote wa kimasai..
Nilipoongea nao baadhi ya wazee hao walisema hatuwezi kumpa fimbo Namelok lakini anaweza kutuongoza kauli hiyo imepingana kabisa na tamko la malegwanan wanaotambulika katika kabila la kimasai mkoani Arusha hili ni pigo la pili ndani ya siku 10 baada ya wanafunzi Wa IFM kukanusha kuwa hawamuungi mkono waziri huyo aliyefukuzwa Kwa ufisadi wa Richmond na sasa anahaha kutimiza ndoto zake za urais...awali lilitoka tamko kuwa wanafunzi wa chuo hicho wanamuunga mkono Lowasa kwenye mbio za ndoto zake za urahisi...
Yaani leo nimecheka sana, katika siku zote nimekuwa nikiwaheshimu sana Ben Saanane na Crashwise humu jukwaani, ni watu makini sana, lakini kadli siku zinavyoenda naona Lowassa anawamaliza kabisa akili, embu angalia hata hili bandiko la Crashwise utadhani kapost mtoto wa Div 5, Lowassa ndilo tumaini pekee la watanzania kwa sasa.
Lowassa,Lowassa hadi kero
Kila kukichaLowassa, Lowassa, oooo mtu mawazo yake binafsi tu anakujana kusema ametumwa na wanainchi katikaeneo lake mfano mkoa au kanda amshauri lowassa agombee Urais.
Lowassa jamani hafai, mtu anayejitajirishakwa kutumia wadhifa wake katika utumishi wa umma hafai kuwa kiongozi kwa sababusiyo mfano wa kuigwa, yaani kuiba mali za umma siyo sifa ambayo inafaa mtumwingine aige.
Lowassa kuwa kiongozi wa ofisi ya juukutavutia wezi wenzie kuinajisi ofisi hiyo, yaani kama ukifuga fisi tegemeafisi wenzie kumtembelea fisi mwenzao hawezi kutembelewa na swala.
Jamani Lowassahafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Kikwete, Mangula hebu mwambieni huyo mtu kwamba hanasifa za kiti cha urais, anaweza mambo mengine na siyo urais, ni nyie mnamlealeamnamchelewesha mpeni sure za moja kwa moja na wala siyo mafumbo mafumbo
CC.
- Jajaya Mrisho Kikwete
- Jack Zoka
- Philip Mangula
- Abdrahiman Kinana
- Benjamin Mkapa- Uliwakemea maaskofuukasema na majoho yao haiwezekani serikali tatu kwa sababu baba wa taifaalikataza mbona Lowassa humkemei? Mnafiki wee.
- Ali Hassan Mwinyi
- Nape Nnawiye
- Delvis Adolf Mwamunyange
- Ernest Hamis Mangu
- JohnKomba-na unafiki wako, kama Lulu Michael kakukomba mali zote usitegemee uibukiekatika kumpigia dabe fisadi Lowassa, kufa na lywako
- RostamAzizi ikulu siyo pango la walanguzi unatumia mapesa yako ya wizi ili umwekeLowasaa ikulu ili uwe ndio uchochoro wako.
october itakakuwa kazi
kuna kitu nimegundua kwenye huu uzi
flora msoffe huyu haifiki October watamchinja Karibuni..lowasa anapaswa kunyongwa tena Kwa kupigwa risasi hadharani..
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa jana amelazimika kutengeneza malegwanan ilikukanusha tamko la malegwanan lilitolewa tarehe 18/02/2015 Makuyuni la kumkataa Namelok kuwa hawawezi kumpa fimbo inayotumika kwa kiongozi yoyote wa kimasai.
Nilipoongea nao baadhi ya wazee hao walisema hatuwezi kumpa fimbo Namelok lakini anaweza kutuongoza. Kauli hiyo imepingana kabisa na tamko la malegwanan wanaotambulika katika kabila la kimasai mkoani Arusha.
Hili ni pigo la pili ndani ya siku 10 baada ya wanafunzi Wa IFM kukanusha kuwa hawamuungi mkono waziri huyo aliyefukuzwa Kwa ufisadi wa Richmond na sasa anahaha kutimiza ndoto zake za urais.
Awali lilitoka tamko kuwa wanafunzi wa chuo hicho wanamuunga mkono Lowassa kwenye mbio za ndoto zake za urahisi.
Wapi mlikaa na Kujadili kuwa Edo atagombea CHADEMA? Ama mna tapatapa.Vipi ule mkakati wa Chadema kumsimamisha EL kama mgombea ifikapo Oct '15? Anyways, nashukuru watu wenye akili wameshtukia kuwa jamaa ni kansa itakayotafuna taifa! TWT