Lowassa azidi kulikoroga, Ahaha kujinasua

Lowassa azidi kulikoroga, Ahaha kujinasua

"Safari hii hakuna atakayekatwa jina kijinga-kijinga, CCM ni yetu sote" By Sadifa.
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa jana amelazimika kutengeneza malegwanan ilikukanusha tamko la malegwanan lilitolewa tarehe 18/02/2015 Makuyuni la kumkataa Namelok kuwa hawawezi kumpa fimbo inayotumika kwa kiongozi yoyote wa kimasai.

Nilipoongea nao baadhi ya wazee hao walisema hatuwezi kumpa fimbo Namelok lakini anaweza kutuongoza. Kauli hiyo imepingana kabisa na tamko la malegwanan wanaotambulika katika kabila la kimasai mkoani Arusha.

Hili ni pigo la pili ndani ya siku 10 baada ya wanafunzi Wa IFM kukanusha kuwa hawamuungi mkono waziri huyo aliyefukuzwa Kwa ufisadi wa Richmond na sasa anahaha kutimiza ndoto zake za urais.

Awali lilitoka tamko kuwa wanafunzi wa chuo hicho wanamuunga mkono Lowassa kwenye mbio za ndoto zake za urahisi.

Ujinga 24/7
 
Upuuzi 24/7,mnawashwa tu kumwandika Lowassa...he makes you wet your pants!
 
Ufisadi Tz ni Tabia Sugu na Upo kila kona, kila idara, vyama vya Upinzani napo kuna Ufisadi na ndani ya CCM kwenyewe Ufisadi upo, Tanzania ni Nchi yenye Mfano mbaya ambao unatoa mianya ya Mtu kufanya Ufisadi kirahisi, hili Tatizo la Ufisadi si la Lowasa pekee ni Tatizo la Viongozi 96% wa Tanzania, wengi wanamiliki mali na majumba kinyume na Vipato vyao Harisi, Siku ukitokea Muujiza Sokoine akafufuka kisha Mfumo wa vyombo vya Usalama ukaboreshwa wakalipwa mishahara mizuri na nyumba Nzuri za kuishi kama Ulaya, watafanya Kazi pasipo kuomba na kupokea rushwa nina hakika viongozi Wengi watafungwa kwa Ufisadi, ni bora tunge-copy Sheria za China juu ya Ufisadi leo Hii tungekuwa na makaburi Mengi yenye viongozi walionyongwa kwa Kesi za Ufisadi.
 
Nimegundua huyu aleandika hii post na wanaoisuport hii post wametoka hospitali ya vichaa milembe wakaletwa jamii forum kujaribiwa kama wamepona kwa watakachokiandika ila kwa kweli hawajapona kwa post hii tu hawajaponaaaa jamani warudishwe milembe haraka wasije wakaanza kujeruhi wanachi. Dah! Tunawaombea mpone kwa haraka ili october tushiriki uchaguzi pamoja kumchagua Edward Lowasa kua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Acha ungese nani anataka atawaliwe na mwizi
 
Ugonjwa huwa haibishi hodi hata Rais Mwai kibaki aliingia ikulu akiwa anachechemea lakini alitawala mpaka akamaliza, huko zambia, Ghana Marais waliingia ikulu wakiwa wazima lakini wakaja kufa pasipo kutarajia, kuna wengine wanaonekana wazima Kumbe ni wagonjwa watarajiwa, ugonjwa hauna hodi unakuja mda wowote kuwahukumu watu kwa maradhi wakati maradhi yapo yameumbwa kwa Ajili ya wote si sahihi, Lowasa ni vyema angeutangazia Umma juu ya Afya yako ili amalize hizo Tetesi na minong'ono iliyozagaa kila kona juu ya Afya yake, Nadhani mtakuwa mnakumbuka hata JK aliwahi kuanguka mara kadhaa kipindi cha Kampeni yakaongelewa mengi sana juu ya Afya yake lazima Mungu kamlinda hadi leo yupo anadunda bila Wasi wasi.
 
sio kila anayekanusha jambo huwa anamaanisha toka moyoni. wengine wanakanusha kisiasa ili kuzuga

Tz kila kitu kinawezekana japo huwa kuna vichache hushindikana, Mfano maisha bora kwa kila Mtanzania hili limeshindikana mpaka labda ipite miaka 3000, mengine kwa hapa Tz ni rahisi kuyafanya na kuyatekeleza kirahisi.
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Yaani leo nimecheka sana, katika siku zote nimekuwa nikiwaheshimu sana Ben Saanane na Crashwise humu jukwaani, ni watu makini sana, lakini kadli siku zinavyoenda naona Lowassa anawamaliza kabisa akili, embu angalia hata hili bandiko la Crashwise utadhani kapost mtoto wa Div 5, Lowassa ndilo tumaini pekee la watanzania kwa sasa.

Hatumtaki mwizi sisi labda wew uliienda kufakamia nyama China mondoli juu xmass
 
Last edited by a moderator:
hivi huyu masai ccm watampitisha kweli!??
Mbona kama mko makundi mawili ya ccm !?? Wapinga masai na kinyume chake itakuwaje sasaaaa

Edward ngoyai lowassa ndosi ni Mmeru sio mmasai
Toka lin Masai anaitwa Ndosi?ukoo was Kimeru ?hamna mmasai mwuzi kiwango hichi cha jamaa dunia nzima
 
Kili 3 haise wama rais wao ni memba a cha ugomvi mkuu

WAMA walishamgeuka kitambo hawamtaki tena Membe baada ya kugundua kuwa Alipiga Mapesa ya Gadafi akayachukuchia peke yake pasipo kumugawia mtu. WAMA wapo kwa mwigulu au Wasira bado wanaangalia kwingine, kwa kifupi wapo busy kusaka kifaa kipya.
 
Hahahaha mkuu kumbe nipo nyuma ya habari mpyaa Ritz njoo thibiitisha chagua LA WAMA ni mmakonde au mwigulu?
 
Andrew Chenge Waziri Mkuu wa Edward Lowassa, Mungu tuepushe.

Lowasa akiwa Rais chenge atakuwa Gavana wa BOT chenge hapendi madaraka makubwa yeye anapenda madaraka ya kati lakini yenye Ulaji.
 
Hahahaha mkuu kumbe nipo nyuma ya habari mpyaa Ritz njoo thibiitisha chagua LA WAMA ni mmakonde au mwigulu?

Mmakonde Membe hana Chake pili wenye ccm hawamtaki kabsa huku wengine wakisema iweje Mmakonde Mwingine tena baada ya Mkapa inatosha kwa Upande wa kusini, kuna Ujanja unasukwa ili wapate njia ya Kumkwepa Lowasa, Ujanja huu ni Kwamba wanakuja na Kisingizio kuwa sasa ni Zamu ya Zanzibar kutoa Rais kazi ipo kwenye Mtu ambaye atakubalika huku Tanganyika ndiyo Maana wanajaribu kumshawishi jaji Augustino Ramadhani Agombee maana salmu ahemed salmu kazeeka sana na huyu makamu wa Rais naye ni mzee kweli huku shein akisita sita kuja Tanganyika.
 
Kuna mbinu kadhaa za Kumkwepa Lowasa zinasukwa mojawapo ni kupiga promo kubwa kuwa ni mgonjwa saaana, pia Ufisadi kuwa kigezo kikubwa huku wakisisitza kuwa sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Rais, kazi ni pale wajumbe wa NEC watapoleta jina hapo ndipo maneno yataanza upya, Tanzania ni Nchi ya Ajabu yenye Maajabu ya Asili hadi kwenye siasa.
 
Chenge akiwa Rais Lazima ile A/c ya Hazina itakuwa na pswd yake, TRA wakikusanya mapato wataweka pesa kwenye A/C ya Chenge kisha yeye ndiye atawagawia Hazina, Mzee chenge kwa pesa hana mpinzani akiwa Rais mambo yatakuwa kama ilivyokuwa Enzi za mabutu seseko wa Zaire pesa zote kwa Rais kwanza wengine baadae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom