Lowassa azidi kulikoroga, Ahaha kujinasua

Yaan hivi hata kama katengeneza au la, Namelok ni binti ambaye ana uwezo wa kugombea sasa shida ni nini? Watu mnaropoka tu,huu ni ubaguzi jaman. ...
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa jana amelazimika kutengeneza malegwanan ilikukanusha tamko la malegwanan lilitolewa tarehe 18/02/2015 Makuyuni la kumkataa Namelok kuwa hawawezi kumpa fimbo inayotumika kwa kiongozi yoyote wa kimasai.

Nilipoongea nao baadhi ya wazee hao walisema hatuwezi kumpa fimbo Namelok lakini anaweza kutuongoza. Kauli hiyo imepingana kabisa na tamko la malegwanan wanaotambulika katika kabila la kimasai mkoani Arusha.

Hili ni pigo la pili ndani ya siku 10 baada ya wanafunzi Wa IFM kukanusha kuwa hawamuungi mkono waziri huyo aliyefukuzwa Kwa ufisadi wa Richmond na sasa anahaha kutimiza ndoto zake za urais.

Awali lilitoka tamko kuwa wanafunzi wa chuo hicho wanamuunga mkono Lowassa kwenye mbio za ndoto zake za urahisi.
IFM sio chuo chenye ushawshi ata wa kumuunga mkono diwan wao ni maaruf kwa vmini na kwenda dsco na lowasa ndye rais mtarajiwa huwez kutumia hao wavaa vmini 5 kusema et wana mstakabali wa kuamua chochote udsm na vyuo vinavyojtambua wanamhtaji Lowassa wanafunzi na management cz mambo hayaend nchini kwa sasa tunaitaji watu wa maamuz. ...hao waganga njaa wamepandkzwa na kna nape na kna membe ambao wanafanya cheap poltcs...mimi huwa namshangaa sana membe anavyosema anautaka urais cz hana vgezo ata huu uwazri wa asante mama salma hauwez
 
Rais ajaye ni mtu mwenye very low profile tofauti na watu wanavyoshabikia kwasasa. Huu si utabiri bali ni tafakuri kulingana na mwenendo uliopo wa kisiasa na hali ya nchi. Watanzania watashangaza ulimwengu pale watakapohamua kupiga kura za hasira

Sababu ziko wazi kwa mwendo huu wa siasa au hoja za majitaka hatutashangaa akateuliwa nahodha kutoka timu za daraja la tatu au la nne kuongoza daraja la kwanza.Ili sote tukose.Mwisho wa siku majuto ni mjukuu
 
Wa tanga nan kakuambia hayo ya wazir mkuu aisee cc october n uchaguz wa Rais ambae ni Lowassa mengi yatafuata plz acha kutangatanga kama jina lako linavo jieleza kijana
 
Hv kuna uhausianao gan kati ya uchaguz mkuu na mauaji ya ALBINO????. Wagombea wote lazma watuhakikishie kuwa watakimesha haya mauaji ndo tuwape uongozi ........cc sote tuungane kusema hapana

moja ya sera za ccm
 
Haa haa haa! tusubiri tu. Hata kanisani anakokimbila litamkana ifikapo Octoba. Bado hajaona huo moto ulio mbele yake. Ni tsunami hataamini.
 
Kinachonishangaza ni utamaduni wa Watz kusema vitu wasivyo na ushahidi navyo. ...kupokea na kusambaza maneno ambayo hawana uhakika nayo afu wanajisifu. Huu utamaduni wa kipumbavu kabisa. Mfano wanaosema EnL ni fisadi ni Ushahidi gani wanao? ....hapa si ndo kwanasabishwa na ukweli wa info zinazotolewa hapa? Ushahid plz sio ule wa kutengeneza wa akina Yericko. .mi naona mmehongwa nyie
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa jana amelazimika kutengeneza malegwanan ilikukanusha tamko la malegwanan lilitolewa tarehe 18/02/2015 Makuyuni la kumkataa Namelok kuwa hawawezi kumpa fimbo inayotumika kwa kiongozi yoyote wa kimasai.

Nilipoongea nao baadhi ya wazee hao walisema hatuwezi kumpa fimbo Namelok lakini anaweza kutuongoza. Kauli hiyo imepingana kabisa na tamko la malegwanan wanaotambulika katika kabila la kimasai mkoani Arusha.

Hili ni pigo la pili ndani ya siku 10 baada ya wanafunzi Wa IFM kukanusha kuwa hawamuungi mkono waziri huyo aliyefukuzwa Kwa ufisadi wa Richmond na sasa anahaha kutimiza ndoto zake za urais.

Awali lilitoka tamko kuwa wanafunzi wa chuo hicho wanamuunga mkono Lowassa kwenye mbio za ndoto zake za urahisi.
We ni member wa zamani sana tokea 2007 ila hata unachokiandika hakieleweki......... hiyo nayo ni stori.... Mods ebu lindeni hadhi ya jukwaa
 
Kinachonishangaza ni utamaduni wa Watz kusema vitu wasivyo na ushahidi navyo. ...kupokea na kusambaza maneno ambayo hawana uhakika nayo afu wanajisifu. Huu utamaduni wa kipumbavu kabisa. Mfano wanaosema EnL ni fisadi ni Ushahidi gani wanao? ....hapa si ndo kwanasabishwa na ukweli wa info zinazotolewa hapa? Ushahid plz sio ule wa kutengeneza wa akina Yericko. .mi naona mmehongwa nyie
Hawana ushahidi zaidi ya unafiki na majungu...... ukiwaambia wakupe ushahidi wanakimbia
 
IFM sio chuo chenye ushawshi ata wa kumuunga mkono diwan wao ni maaruf kwa vmini na kwenda dsco na lowasa ndye rais mtarajiwa huwez kutumia hao wavaa vmini 5 kusema et wana mstakabali wa kuamua chochote udsm na vyuo vinavyojtambua wanamhtaji Lowassa wanafunzi na management cz mambo hayaend nchini kwa sasa tunaitaji watu wa maamuz. ...hao waganga njaa wamepandkzwa na kna nape na kna membe ambao wanafanya cheap poltcs...mimi huwa namshangaa sana membe anavyosema anautaka urais cz hana vgezo ata huu uwazri wa asante mama salma hauwez
well said chief.....
 
Mtaongea mengi mpaka midomo itawakauka, lakini nyota ya Lowassa humu ndani kamwe hamuwezi kuizima. mnajifariji ili mioyo yenu iweze kupumua kidogo.
Lowassa ni rais na wote mtampigia simu.
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa jana amelazimika kutengeneza malegwanan ilikukanusha tamko la malegwanan lilitolewa tarehe 18/02/2015 Makuyuni la kumkataa Namelok kuwa hawawezi kumpa fimbo inayotumika kwa kiongozi yoyote wa kimasai.

Nilipoongea nao baadhi ya wazee hao walisema hatuwezi kumpa fimbo Namelok lakini anaweza kutuongoza. Kauli hiyo imepingana kabisa na tamko la malegwanan wanaotambulika katika kabila la kimasai mkoani Arusha.

Hili ni pigo la pili ndani ya siku 10 baada ya wanafunzi Wa IFM kukanusha kuwa hawamuungi mkono waziri huyo aliyefukuzwa Kwa ufisadi wa Richmond na sasa anahaha kutimiza ndoto zake za urais.

Awali lilitoka tamko kuwa wanafunzi wa chuo hicho wanamuunga mkono Lowassa kwenye mbio za ndoto zake za urahisi.

Wanafunzi wa IFM walikanusha kuwa walilitoa tamko la kumuunga mkono EL. Na pia hawakutoa tamko kuwa hawamuungi mkono EL.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom