Lowassa ataweza kampeni kweli?

Lowassa ataweza kampeni kweli?

huna akili wewe jk anazulula kila cku na kuongea masaa matano lakn kafanya ziro kipnd hki tz haiitaji rais msanii kma jk
 
Mwambie jamaa aangalie kielelezo hicho chini.
 

Attachments

  • 1439918450989.jpg
    1439918450989.jpg
    54.5 KB · Views: 289
Nadhan kama kuna nchi ya ukawa tu ndo wa risk kiasi hicho,lakin jamhuri ya muungano wa tanzania lowassa hatufai,mbali na kudhoofu kiafya,lakini hajui hotuba,ana makashfa sasa tutakuwa tumerogwa kudhani kuwa tunafanya mabadiliko kumbe tunaingia gizani zaidi,pia ukawa wenyewe huyo walikuwa wamemkataa baada ya kuingia na hela zake chafu,kawa msaf nao hawaaminiki ni watu wenyw tamaa na wasio na maelngo ni bora ya ACT
 
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?

Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.

nitafurahi wakija kwa huu uzi wakanushe then... watoe hoja....
 
Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.
ww jamaa lowassa alisha kuwaga mwanajeshi akapigana vita harafu leo eti ashindwe kura ugali we jamaa acha utani
 
Kama Lowasa akichaguliwa kua rais, atatuletea gharama za misiba na mazishi zisizokua na maana. Afya yake obviously ni choka mbaya
 
Cha kwanza ni kuiondoa MACCM, kwani hiko gwaride likikaguliwa kwa wheelchair kuna tatizo gani wakati MACCM wakiwa chama cha upinzani?
 
Kwa ule ugonjwa wake hawezi kabisa UKAWA tumeuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Punguani mwenyewe.... Usiejua tofauti kati ya anaechungulia kaburi na mzima. Kwa pesa zake na za hao wezi wenzake, amewanunua nyinyi nyote lakini hakuweza kununua afya. Kweli Mungu mkubwa.... Apate mshahara WA wizi wake
 
Huyo Rais anayestaafu alikuwa anatupotezea muda kwa kuhutubia muda mrefu mpaka tunashindwa kuelewa alilenga nini hasa. Yaani longolongo zinakuwa nyingi na maccm ndo mlivyo kwa kuwa na longolongo sana bila maamuzi.

Sisi tunadhani Lowassa anajali muda na anahutubia kwa malengo bila kuwapotezea wananchi muda wa kufanya mambo mengine ya maendeleo kwa taifa.

Maadam kichwa chake kiko poa na kinatoa mafikara ya maana, anafaa kuliongoza taifa. kumbuka Rais wa Algeria anatembelea wheelchair na alishinda uchaguzi katika wheelchair hiyohiyo, hivyo sidhani akili yako kama ni nzuri kiasi kwamba huwezi kutanabahisha ni kitu gani unataka kwa Rais unayemtarajia.

Kama ni maguvu mbona kila siku Kinana anabeba madumu ya maji na matofali ya kujengea katika sanaa za chama lakini amekuwa proved failure?

Ukikasirika shauri yako

Mkuu kama ni kaushauri ndo hako; Kama akikasirika Shauri lake! Akimbilie sokoni akanunue malimao aleeeee. Mtu mzima, anawaza tuuu kuhusu ulemavu wa mtu. Angekuwaa hali chakula angelikuwa hai mpaka leo??
Mijitu inabaki kuhesabu muda wa maongezi haihesabu points zilizonenwa na namna uelewa ulivyokuwa. Ati; point ni "kongota" na sijui ndege gani. Mwisho akili zakuambiwa changanya na za kwako. Huku migomo ikiendelea na kumalizwa kwa vitsho.
Hata awe amelemaa mikono yake, hizo dhifa atahudhuria alihwe na mkewe. Kuna shida gani? Hizo jumbe za kuhutubia masaa 3 bungeni zitasomwa kwa niaba yake.
Urais ni taasisi si mtu:lever::lever:
 
Makolokolo acha upumbavu wako usilete ujinga wako kwenye masuala ya afya ya mtu
 
Huyu lowassa atatufia bure
Kama anataka matibabu aseme tu
Serikali ya ccm itamhudumia na ugonjwa wake wa kupoteza kumbukumbu
 
Kwa dhambi ya kinywa chao, Na kwa neno la midomo yao, Wanaswe kwa kiburi chao, Kwa ajili ya kulaani na uongo wasemao.

Uwakomeshe kwa hasira, Uwakomeshe watoweke, Wajue ya kuwa Mungu atawala katika Tanzania, Na hata miisho ya dunia.
 
Kuna jamaa siku ya kuhitimisha kampeni yaani kesho uchaguzi, alipiga mweleka wa hatari kwenye umati mkubwa jicho likageuka,ulimi nje,mwili mlenda. Watu tukajua safari imeiva lakini alichahuliwa na kadunda for ten years.
Kwa hiyo afya ya MTU anaijua mwenyewe na daktari wake.
Hata wewe mleta mada waweza jiona uko byeee kumbe ukifanya uchunguzi unakuta una tezi la kisasa

teh teh teh......inabidi ucheke hata kama hautaki
 
Mipango ya maendeleo ya taifa ya miaka mitano itaelezwa kwa muda huo? Utendaji unahitaji muda pia! N ni dhahiri kwamba sio dakika ni miaka!
Mipango ya maendeleo inakuwa kwenye maandishi haiwi kichwani mwa rais mtu yeyote anaweza kuisoma. Kama ni kuugua Lowassa ni binadamu kila mtu huugua. Hata rais aliyepo Ikulu kwa sasa ni mgonjwa isipokuwa ana nafuu. Na mbona hata wakati wa kampeni alikuwa anaanguka majukwaani lakini mpaka sasa ni rais? Juzi juzi alikuwa amelazwa huko Marekani na kwa maneno yake alisema alikuwa anaumwa muda mrefu lakini alikuwa ameficha tena akasema alimficha hata nkewe! Hivyo hata sisi tunaonnyooshea vidole Lowassa inawezekana ni wagonjwa zaidi yake sema tu magonjwa yetu hayajajitokeza. Ya Mungu mengi huenda huyo tunayesema ni mgonjwa akahudhuria misiba yetu tutakapokuwa tumekufa. Wangapi walisemwa ni wagonjwa lakini mpaka sasa wako hai na wale waliosema wenzao ni wagonjwa wamekufa wao na tumeshaanza kuwasahau?
 
Back
Top Bottom