Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.
mimi mwenyewe sijawahi kukuona wewe ukila HADHARANI.
Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.
Yetu macho, tarehe ya uchaguzi inaweza kusogezwa mbele kwa miezi mitatu zaidi tusipoangalia.
kuna jamaa siku ya kuhitimisha kampeni yaani kesho uchaguzi, alipiga mweleka wa hatari kwenye umati mkubwa jicho likageuka,ulimi nje,mwili mlenda. Watu tukajua safari imeiva lakini alichahuliwa na kadunda for ten years.
Kwa hiyo afya ya mtu anaijua mwenyewe na daktari wake.
Hata wewe mleta mada waweza jiona uko byeee kumbe ukifanya uchunguzi unakuta una tezi la kisasa
Mwaka huu Lazima tumuokote lowasa chini kabisa akiwa chali kwa kushindwa kuendelea na kampeni.
Jeneza Hilo utabebwa weweYetu macho, tarehe ya uchaguzi inaweza kusogezwa mbele kwa miezi mitatu zaidi tusipoangalia.
Nimejikuta nacheka mwenyewe mpaka jirani wananishangaa!! Kweli hii ndo JF, mwee!!Kuna jamaa siku ya kuhitimisha kampeni yaani kesho uchaguzi, alipiga mweleka wa hatari kwenye umati mkubwa jicho likageuka,ulimi nje,mwili mlenda. Watu tukajua safari imeiva lakini alichahuliwa na kadunda for ten years.
Kwa hiyo afya ya MTU anaijua mwenyewe na daktari wake.
Hata wewe mleta mada waweza jiona uko byeee kumbe ukifanya uchunguzi unakuta una tezi la kisasa
Kazaneni kuomba Mungu atupe Rais makini na mwenye nguvu ya kuhimili mikiki mikiki ya kisiasa
Huyo alikuwa anatimiza masharti ya waganga wake wa kienyeji kutoka Ivory Coast na Papua New Guinea. Katika awamu zote ilibidi aanguke. After that basi hakuna mtu wa kumdhuru ama kwa majini, madawa au silaha za moto. Usicheze na siasa wewe na mambo mengine yaache tu kama yalivyo!Kuna jamaa siku ya kuhitimisha kampeni yaani kesho uchaguzi, alipiga mweleka wa hatari kwenye umati mkubwa jicho likageuka,ulimi nje,mwili mlenda. Watu tukajua safari imeiva lakini alichahuliwa na kadunda for ten years.
Kwa hiyo afya ya MTU anaijua mwenyewe na daktari wake.
Hata wewe mleta mada waweza jiona uko byeee kumbe ukifanya uchunguzi unakuta una tezi la kisasa
Tuondolee harufu ya janaba hapa
Naona inawezekana tu kwa wagonjwa kuongoza nchi. Wivu tuache sheria na katiba haimzuii.
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
So what!.....idiot!Kwa wale wenye fani ya uganga na saikolojia,Dalili ziko wazi kabisa kuwa ana tatizo la kiafya.Anaonekana ku-strugle katika kuongea na mara nyingi tu ana-fumble with own words,Maana yake kuna tatizo la kuwasilisha kile anachotaka kukisema au kukitenda kutoka kwenye ubongo kwenda kwenye misuli.Kila anapoongea;Pay attention na position,alivyokaa,movements zake,(anajaribu sana kuwa static) ili aonekane yuko composed.Akisimama ni kwa muda mfupi sana vinginevyo anapendelea kukaa,Otherwise LAZIMA awepo mtu nyuma yake kwa support.Kutembea pia ni mgogoro,angalia co-ordination ya misuli yote ya mwili wake akiwa katika mwendo utagundua kuna tatizo.Simuombei mabaya ila hiyo ndiyo hali halisi ambayo yeye binafsi hataki ku-admit.Ni sawa na mtu anapozeeka,kama mungu akimpa maisha marefu huwa hataki ku-admit kuwa uzee ni kikwazo,unamzuia kufanya kitu anachotaka kufanya na hasa akiwa na sound mind and spirit.
Sauti yake pia mgogoro,hasikiki vizuri katika halaiki,.