Lowassa ataweza kampeni kweli?

Lowassa ataweza kampeni kweli?

Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?

Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.

ccm hamna jipya.
kabobo zenu tumezichoka
tunahtaji vitendo kutoka ukawa na sio mipasho na udaku vya magamba.
ccm hamna jipya na tena mlaaniwe milele.madhambi yenu yatawalaani na vizazi vyenu vyote.

mwaka huu hatudanganyiki mburula nyie.
 
Nadhan kama kuna nchi ya ukawa tu ndo wa risk kiasi hicho,lakin jamhuri ya muungano wa tanzania lowassa hatufai,mbali na kudhoofu kiafya,lakini hajui hotuba,ana makashfa sasa tutakuwa tumerogwa kudhani kuwa tunafanya mabadiliko kumbe tunaingia gizani zaidi,pia ukawa wenyewe huyo walikuwa wamemkataa baada ya kuingia na hela zake chafu,kawa msaf nao hawaaminiki ni watu wenyw tamaa na wasio na maelngo ni bora ya ACT

mkwere alidondoka mara ngapi ktka awamu yake??
idiot
 
Ebu someni Post ya jamaa hapo juu vizuri, mbona wote mmeng'ang'ania kuzungumza kwa muda mrefu tu na mengine muhimu zaiidi mmeyaacha? Hapa issue wala hata siyo kutoa speech ndegu kama wengi mnavyotaka kuaminisha. Mtoa mada anaonekana ni mtu makini sana asiyekuwa na ushabiki, ila yeye anachokiangalia ni mustakabali wa taifa lake. Amkeni usingizini people.
Mimi nimemuelewa vizuri sana. Maana yake ni kuwa Lowassa ni mgonjwa hataweza kazi za urais na hata himili miki miki ya kampeni na anafikiri anaweza akafa tukalazima kufanya uchaguzi tena. Jibu ni kuwa suala ala afya ni la kidaktari. Daktari pekee ndiye anayeweza kusema kuwa anaweza au hawezi. Kikwete aliingia akionekana ni mwenye afya lakini tumeshuhudia akilazwa hospitali kwa muda mrefu na mpaka sasa ana nafuu tu. Tumemshuhudia pia akianguka majukwaani wakati wa kampeni. Kwa maelezo yake mwenyewe amesema alikuwa anaumwa muda mrefu isipokuwa alificha na pia alimficha mkewe mpaka hivi karibuni alipozidiwa. Tunajuaje hata safari nyingi anazofanya nje kama sio za kujiuguza? Mwenyewe anasema anazunguka duniani ili kuhemea vibaba ili tusife njaa lakini akiwa anaumwa! Amini amini nawaambieni, Lowassa atahudhuria maziko ya baadhi ya wanomnyooshea vidole ambao wanajiona ni wazima. Sheikh Yahaya aliyekuwa akijiita bingwa wa nyota, utabiri na unajimu alikuwa anatabiri vifo vya wenzake yuko wapi sasa? Kile kipindi cha "Ugua Pole" cha TBC huwa kinatambulishwa na kawimbo kenye ujumbe mzito sana "Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salamaaa tunawapa pole"

Nasisitiza kuwa hatuhitaji hotuba ndefu bali tunahitaji maamuzi na utendaji uliotukuka. Hotuba ndefu zimeshatolewa zimesaidia vipi kutatua matatizo yetu? Zimetolewa hotuba ndefu za kutetea wizi wa EPA, ESCROW na za kuvuruga bunge la katiba liliotumia mabilioni yetu ambayo yangetusaidia kupunguza umasikini zimetusaidia nini?
 
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?

Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.

Mbona mleta post inasemekana anatumia ARV na hatusemi ???!
 
Nadhan kama kuna nchi ya ukawa tu ndo wa risk kiasi hicho,lakin jamhuri ya muungano wa tanzania lowassa hatufai,mbali na kudhoofu kiafya,lakini hajui hotuba,ana makashfa sasa tutakuwa tumerogwa kudhani kuwa tunafanya mabadiliko kumbe tunaingia gizani zaidi,pia ukawa wenyewe huyo walikuwa wamemkataa baada ya kuingia na hela zake chafu,kawa msaf nao hawaaminiki ni watu wenyw tamaa na wasio na maelngo ni bora ya ACT

Lowasa hategemewi kuwa rais. Yeye analipiza kisasi kwa ccm kumnyanyasa. Anawasaidia Ukawa kumiliki bunge na halmashauri zote. Ccm watalazimika kutekeleza Sera za Ukawa na rais asiposhirikiana na bunge watamwabgusha kwa urahisi.
 
Hakuna ubishi hali ya kiafya ya Bwana lowassa inazidi kuzorota kila uchao.kwa waliofuatilia mkutano wa Jana na waandishi wa habari hali hii ilijitokeza baada ya lowassa kuonekana mwenye kulazimisha uchangamfu .

Siyo jambo la ajabu kuumwa lakini tukubaliane na hali halisi kuwa kwa muda usiopungua miezi miwili kuanzia leo kama atazunguka kwenye kampeni na akashiriki yeye mwenyewe atakuwa ameweka rehani maisha yake.

Ushauri wangu jipangeni mapema kumsaidia huyu mzee mkimwachia azunguke mtamuua.apumzike akichaguliwa aende tu kukaa ikulu hata ikibidi mumsaidie kuendesha serikali.
 
.....ni safari chache saa zisizo na vikwazo njiani!
 
Maneno hayo ndani ya CCM WAMEYASEMA sana na leo hapa tunapozungumza tayari mmoja wa Makatibu wa DSM kesha tangulia kwenye haki. Jee yeye alikuwa mgonjwa sana?
Au huyu mbona bado yupo kwa zaidi ya miaka 10 pamoja na kupiga mweleka?
ImageUploadedByJamiiForums1440323073.491218.jpg
 
Jaman amepitia mengi kibinadamu lazima unachoka mwili na akili pia angekuwa mtu mwingine nadhan angekuwa anatembea na drip hata wenyewe humu tunajijua tujiweke kwenye situation yake ungekuaje
 
Maneno hayo ndani ya CCM WAMEYASEMA sana na leo hapa tunapozungumza tayari mmoja wa Makatibu wa DSM kesha tangulia kwenye haki. Jee yeye alikuwa mgonjwa sana?
Au huyu mbona bado yupo kwa zaidi ya miaka 10 pamoja na kupiga mweleka?
View attachment 279443
Sijasema kwa nia mbaya kijana.kutokubali ukweli haitasaidia.Mzee Lowassa anahitaji kupumzika sana tena sana.kama watamuingiza kwenye mikikimikiki ya kampeni watamuumiza sana. Ni ushauri tu si lazima waufuate.
 
Mungu mlinde Lowasa na haya majaribu endeleeni kumtukana ila Mungu anamlinda bado na atamaliza kampeni salama kabisa na Ikulu ataiona
 
Back
Top Bottom