asmaa80
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 1,562
- 1,756
Kichwa chake kipo poa???? umemsikia mtoto wake jana???
Hili watanzania tunatafuta bomu. litatulipikua siku yoyote.
Kaka hii ya mtoto wake sijaikia jamani, mtoto wake amelalamika nini tena?
Kichwa chake kipo poa???? umemsikia mtoto wake jana???
Hili watanzania tunatafuta bomu. litatulipikua siku yoyote.
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Umeshawahi kufuatilia hotuba za Obama huwa zinakuwa za muda gani? Kinachotakiwa sio kuongea muda mrefu bali ni kuongea vitu vyenye mantiki. Hata hivo kampeni ni suala la utaratibu tu, lakini tumeshafanya maamuzi tunachosubiri ni tarehe 25 Oktoba tu.
Yetu macho, tarehe ya uchaguzi inaweza kusogezwa mbele kwa miezi mitatu zaidi tusipoangalia.
Mkuu naona unajipa madaraka ya Mungu ohooo!!!!!!!!!!!!!!! naona unajisahau kuwa hamna anayejua siku yake acha kufuruAlipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Jamani, uhai unatoka kwa Muumba. Yeye ndio anajua siku ya kutuchukua kila mmoja wetu. Acheni hoja dhaifu jamani.
Mimi naona unahitaji mume baada Zitto kukupiga chiniObama yeye nani na anatuhusu nini sisi
usiwe na hofu nimipango ya mungu ashikishwe adabu amewaibia watanzania mda mrefu,nilipost thread yenye mrengo huu asubuhi wameisogeza mbali,muwaache watu wajadili.
Tuondolee harufu ya janaba hapaHuyo wanamuumiza kwa madawa, kwa sasa ni teja la madawa, hatembei bila madawa. Na akishayapigilia anakuwa kama zombie aka msukule. Hata la kusema mpaka aambiwe sema hivi.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, hivi hawa wanaomshabikia hawalioni hilo?
Mbona ni kama vile ameshamaliza kampeni! Hapa tunasubiri siku ya uchaguzi tu!Lowassa ataweza kampeni kweli?
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
unataka Rais mwenye maguvu ili uendelee kuishi kwenye maisha duni??au unataka Rais asiyeweza kusimama kwa lisaa limoja kwenye hotuba, ila utaishi kama peponi??
Watanzania wenzangu,kama Lowasa akiingia IKULU basi hii Nchi itakuwa pepo ndogo.
MUNGU bariki Tanzania,MUNGU Mbariki LOWASA.
Kwa wale wenye fani ya uganga na saikolojia,Dalili ziko wazi kabisa kuwa ana tatizo la kiafya.Anaonekana ku-strugle katika kuongea na mara nyingi tu ana-fumble with own words,Maana yake kuna tatizo la kuwasilisha kile anachotaka kukisema au kukitenda kutoka kwenye ubongo kwenda kwenye misuli.Kila anapoongea;Pay attention na position,alivyokaa,movements zake,(anajaribu sana kuwa static) ili aonekane yuko composed.Akisimama ni kwa muda mfupi sana vinginevyo anapendelea kukaa,Otherwise LAZIMA awepo mtu nyuma yake kwa support.Kutembea pia ni mgogoro,angalia co-ordination ya misuli yote ya mwili wake akiwa katika mwendo utagundua kuna tatizo.Simuombei mabaya ila hiyo ndiyo hali halisi ambayo yeye binafsi hataki ku-admit.Ni sawa na mtu anapozeeka,kama mungu akimpa maisha marefu huwa hataki ku-admit kuwa uzee ni kikwazo,unamzuia kufanya kitu anachotaka kufanya na hasa akiwa na sound mind and spirit.
Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.