Lowassa ataweza kampeni kweli?

Lowassa ataweza kampeni kweli?

Sijasema kwa nia mbaya kijana.kutokubali ukweli haitasaidia.Mzee Lowassa anahitaji kupumzika sana tena sana.kama watamuingiza kwenye mikikimikiki ya kampeni watamuumiza sana. Ni ushauri tu si lazima waufuate.
Jichunge sana mie sio kijana kama unavyofikiria. Ungefuatilia post zangu za nyuma ungeweza kujua unaongea na mtu wa kaliba ipi. Do your homework first.
 
Sijasema kwa nia mbaya kijana.kutokubali ukweli haitasaidia.Mzee Lowassa anahitaji kupumzika sana tena sana.kama watamuingiza kwenye mikikimikiki ya kampeni watamuumiza sana. Ni ushauri tu si lazima waufuate.

Ushauri wako unautoa kwa kutumia vigezo gani?
 
Back
Top Bottom