Lowassa ataweza kampeni kweli?

Lowassa ataweza kampeni kweli?

Swala la uzima na ugonjwa ni la mungu, usimseme mwenzio ati ni mgonjwa wakati hata wewe mwenyewe hujapima afya yako. Wengine wliwahi kuanguka majukwaani wakati wa kampeni lakini wameweza kutumikia Urais kwa miaka 10...!
 
Our Living GOD is able, Go Lowasa go tupo pamoja mkubwa tunakuombea usiku na mchana as LORD said to Joshua when he was installed as Leader:

No one will be able to stand against you all the days of your life. As I was with Moses, so I will be with you; I will never leave you nor forsake you. 6 Be strong and courageous, because you will lead these people to inherit the land I swore to their ancestors to give them.

7 "Be strong and very courageous. Be careful to obey all the law my servant Moses gave you; do not turn from it to the right or to the left, that you may be successful wherever you go. 8 Keep this Book of the Law always on your lips;meditate on it day and night, so that you may be careful to do everything written in it. Then you will be prosperous and successful. 9 Have I not commanded you? Be strong and courageous. Do not be afraid; do not be discouraged, for the Lord your God will be with you wherever you go."
 
Our Living GOD is able, Go Lowasa go tupo pamoja mkubwa tunakuombea usiku na mchana as LORD said to Joshua when he was installed as Leader:

No one will be able to stand against you all the days of your life. As I was with Moses, so I will be with you; I will never leave you nor forsake you. 6 Be strong and courageous, because you will lead these people to inherit the land I swore to their ancestors to give them.

7 “Be strong and very courageous. Be careful to obey all the law my servant Moses gave you; do not turn from it to the right or to the left, that you may be successful wherever you go. 8 Keep this Book of the Law always on your lips;meditate on it day and night, so that you may be careful to do everything written in it. Then you will be prosperous and successful. 9 Have I not commanded you? Be strong and courageous. Do not be afraid; do not be discouraged, for the Lord your God will be with you wherever you go.”
 
Swala la uzima na ugonjwa ni la mungu, usimseme mwenzio ati ni mgonjwa wakati hata wewe mwenyewe hujapima afya yako. Wengine wliwahi kuanguka majukwaani wakati wa kampeni lakini wameweza kutumikia Urais kwa miaka 10...!

Wewe umwa malaria basi alafu usinywe dawa useme ni suala la Mungu uone matokeo yake. Tatizo kila kitu mnachukulia kama tunapiga siasa.Lowassa ashauriwe apumzike asifanye kampeni wakimwacha wataona matokeo yake.ni ushauri ambao hata madaktari watawaambia. Hapa hakuna cha Mungu ni kufuata utaratibu Mungu ata play part yake na binaadam vilevile.
 
Sisi tunaangalia utendaji wa kazi siyo hotuba. Akina Mbowe, Sumaye, mnyika, Lissu, Prof. Safari, Wakili Marando na wengineo wapo. Tunataka mabadiliko siyo wizi wa mali ya umma. WanaEscrow................................ hao................
 
Hakuna ubishi hali ya kiafya ya Bwana lowassa inazidi kuzorota kila uchao.kwa waliofuatilia mkutano wa Jana na waandishi wa habari hali hii ilijitokeza baada ya lowassa kuonekana mwenye kulazimisha uchangamfu .

Siyo jambo la ajabu kuumwa lakini tukubaliane na hali halisi kuwa kwa muda usiopungua miezi miwili kuanzia leo kama atazunguka kwenye kampeni na akashiriki yeye mwenyewe atakuwa ameweka rehani maisha yake.

Ushauri wangu jipangeni mapema kumsaidia huyu mzee mkimwachia azunguke mtamuua.apumzike akichaguliwa aende tu kukaa ikulu hata ikibidi mumsaidie kuendesha serikali.

unabii wa uongo na ushindwe kwa jina la Yesu, kazi yetu sio kutabiri mabaya kwa wagombea bali ni kuomba afya Njema juu yao,

SHETANI ASHINDWE KWA JINA KUU LA YESU
 
Wewe umwa malaria basi alafu usinywe dawa useme ni suala la Mungu uone matokeo yake. Tatizo kila kitu mnachukulia kama tunapiga siasa.Lowassa ashauriwe apumzike asifanye kampeni wakimwacha wataona matokeo yake.ni ushauri ambao hata madaktari watawaambia. Hapa hakuna cha Mungu ni kufuata utaratibu Mungu ata play part yake na binaadam vilevile.

Alipokuwa mccm hamkuliona hilo? Mliwahi kumshauri kuhusu afya yake? Mbona mling'ang'ania maadili tu, hebu acheni mambo yenu ya kishamba Lowasa tutamchagua tuu iwe mvua au jua, hata apige campaign yuko kwenye chair wheel tutamchagua tu.
 
Mwaka huu Lazima tumuokote lowasa chini kabisa akiwa chali kwa kushindwa kuendelea na kampeni.

Hata yule michael Satta a.k.a cobra wa zambia aliumwa mpaka akafa lakini mpaka leo hata wazambia wenyewe hawajui alikufa kwa ugonjwa gani, sembuse huyu sisi tunajua anaumwa ugonjwa wa kutetemeka tu tutamwongezea dozi
 
Breaking news.

Wakati Mbowe anawakutanisha Lowasa na Sumaye. Leo Jakaya anawakutanisha Diamond na Wema Sepetu Jangwani.
😄😄😄😄😄😄✌
 
Duniani watu kama wangekuwa wanafuata akili kama za kwako basi duniani tungekuwa hatuna viongozi
Ukijaribu kufuatilia kila mtu anaugonjwa wake hata wewe mwenyewe umeandika hapa lazima ni mgonjwa mtu hauwezi ukaenda hospatali wakakupima wakakukuta hauna ugonjwa haiwezekani daima
 
Kikwete alikua muongeaji,je nchi kaifikisha wapi?.Hatutaki waongeaji,tunataka watekelezaji,wenye kufanya maamuzi magumu yenye tija kwa taifa Lowasa kaonyesha mfano
 
Mamvi hawezi kuhutubia kwa muda mrefu, na hatoweza Kufanya kampeni, ndio maana wametafuta mtu mwingine maaruru aje kumfanyia kampeni ambaye ni sumu-ya-mawe, but unfortunately Hilo ni goli kwa chama tawala maana ni mtu wao, na atakuwa anaripoti kwa Ben, Upinzani unakufa tunauona kwa sababu ya mlafi mmoja wa madaraka. Shame on ........
 
Lowasa jembe na yuko fiti kabisa na ndio raisi bwana hata anayestaafu si alikuwa nashida ya afya akafanyiwa upasuaji kwa kodi yangu .mungu ndio jibu yote
 
Wewe umwa malaria basi alafu usinywe dawa useme ni suala la Mungu uone matokeo yake. Tatizo kila kitu mnachukulia kama tunapiga siasa.Lowassa ashauriwe apumzike asifanye kampeni wakimwacha wataona matokeo yake.ni ushauri ambao hata madaktari watawaambia. Hapa hakuna cha Mungu ni kufuata utaratibu Mungu ata play part yake na binaadam vilevile.

Kama anaumwa, madaktari wake ndio wanaweza kutoa kauli ya mwisho ila sio wewe. We hujui zaidi ya kuleta ushabiki kwenye masuala ya ugonjwa. Angalia usimshabikie mwenzio kuwa anaumwa wakati kumbe wewe ndio uko mahututi, hujijui tu.
 
Niko na jamaa Mzambia apa anasema you Tanzanias you should learn from Zambia on the health of candidates.
Nkamwambia uku watu wanasema liwalo na liwe
 
hata Musa alikuwa cio msemaji Mungu akampatia Huria.
 
Back
Top Bottom