Lowassa ataweza kampeni kweli?

Lowassa ataweza kampeni kweli?

Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.

Wabongo buana!
 
Hatutaki HOTUBA ,! Hotuba ndefu za Mwalimu Nyerere zinatosha kabisa
 
Mwaka huu Lazima tumuokote lowasa chini kabisa akiwa chali kwa kushindwa kuendelea na kampeni.

Ficha umbumbavu wako!! Huko unakomtanguliza lowassa unaweza ukawahi kutangulia wewe
 
FLASH HIDER pata tu mashaka lakini sisi tuna imani naye. hizo dakika unazosema ni kwa sababu ya sheria ya tume ya uchaguzi. akizungumza kwa muda mrefu atazungumzia masuala mengi hivyo atakuwa ameanza kampeni mapema. dakika hizo tumempa ajitambulishe tu na itakapofika wakati wa kampeni sisi ndio tutamwandalia hotuba na haitazidi dakika kumi na tano. na dakika tano za kusalimia halafu tunatoa fursa kwa wapiga kura kuuliza maswali na kupatiwa majibu papo kwa papo.
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?

Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
 
swali muhimu sana, lakini badala yake utapata matusi
 
swali muhimu sana, lakini badala yake utapata matusi

Inamaana wewe stroke huunganiki na makamnda wenzako Arusha kumpeleka Edward Ikulu? Au huewlewi mambo we utakuwa na stroke ya Akili sio bure.
 
Last edited by a moderator:
Naona inawezekana tu kwa wagonjwa kuongoza nchi. Wivu tuache sheria na katiba haimzuii.
 

Attachments

  • 1439896500090.jpg
    1439896500090.jpg
    54.6 KB · Views: 153
unachokisema maana yake tumchaguwe mtu wenu? tatizo c mtu ni chama chenu miaka 50+ kuuza tu faida ya wananchi ni umaskini
 
Jambo la msingi kuhutubia kwa muda mrefu? Ahutubie kwa muda mrefu ili iwe nini? Mtu anayejua cha kufanya huwa haongei sana ila wale wenye midomo kama chiriku ndio huongea sana lakini utendaji ni sifuri na kila siku utakuta wanazunguka ughaibuni kwa kutumia kodi zetu. Mkitaka mahubiri nendeni kanisani. Sisi tunataka raisi mtendaji sio msemaji!

Ebu someni Post ya jamaa hapo juu vizuri, mbona wote mmeng'ang'ania kuzungumza kwa muda mrefu tu na mengine muhimu zaiidi mmeyaacha? Hapa issue wala hata siyo kutoa speech ndegu kama wengi mnavyotaka kuaminisha. Mtoa mada anaonekana ni mtu makini sana asiyekuwa na ushabiki, ila yeye anachokiangalia ni mustakabali wa taifa lake. Amkeni usingizini people.
 
Lowassa ni mtu wa vitendo haitaji porojo nyingi, Vitendo na uwezo kupambana na matitizo ya watanzania ahuhitaji maneno mengi... Watu wanampemda kwa kuwa mtu wa vitendo na si maneno:dance::dance::dance:hizi hana
 
Wewe ndiye daktari wake? Unaspeculate mambo usiyoyajua.
 
Hii issue ndo hasaa inayonikatisha tamaa nikiwaza kum support huyu mgombea. Anaumwa sana lakini wapambe hawasemi ukweli matokeo yake mtuache kwenye mataa. Enyi wanadamu muwe na hofu ya Mungu mseme tu ukweli wa moyoni ili jamii ijue.

Kwani ugonjwa unamzuia asiwe rais?
Km unawazia kifo tambua hata wewe unaweza kufa kabla yake tena kwa ugonjwa
 
Jambo la msingi kuhutubia kwa muda mrefu? Ahutubie kwa muda mrefu ili iwe nini? Mtu anayejua cha kufanya huwa haongei sana ila wale wenye midomo kama chiriku ndio huongea sana lakini utendaji ni sifuri na kila siku utakuta wanazunguka ughaibuni kwa kutumia kodi zetu. Mkitaka mahubiri nendeni kanisani. Sisi tunataka raisi mtendaji sio msemaji!
Mipango ya maendeleo ya taifa ya miaka mitano itaelezwa kwa muda huo? Utendaji unahitaji muda pia! N ni dhahiri kwamba sio dakika ni miaka!
 
Kwa wale wenye fani ya uganga na saikolojia,Dalili ziko wazi kabisa kuwa ana tatizo la kiafya.Anaonekana ku-strugle katika kuongea na mara nyingi tu ana-fumble with own words,Maana yake kuna tatizo la kuwasilisha kile anachotaka kukisema au kukitenda kutoka kwenye ubongo kwenda kwenye misuli.Kila anapoongea;Pay attention na position,alivyokaa,movements zake,(anajaribu sana kuwa static) ili aonekane yuko composed.Akisimama ni kwa muda mfupi sana vinginevyo anapendelea kukaa,Otherwise LAZIMA awepo mtu nyuma yake kwa support.Kutembea pia ni mgogoro,angalia co-ordination ya misuli yote ya mwili wake akiwa katika mwendo utagundua kuna tatizo.Simuombei mabaya ila hiyo ndiyo hali halisi ambayo yeye binafsi hataki ku-admit.Ni sawa na mtu anapozeeka,kama mungu akimpa maisha marefu huwa hataki ku-admit kuwa uzee ni kikwazo,unamzuia kufanya kitu anachotaka kufanya na hasa akiwa na sound mind and spirit.
 
Huyo wanamuumiza kwa madawa, kwa sasa ni teja la madawa, hatembei bila madawa. Na akishayapigilia anakuwa kama zombie aka msukule. Hata la kusema mpaka aambiwe sema hivi.

Tanzania ni nchi ya ajabu sana, hivi hawa wanaomshabikia hawalioni hilo?
 
Back
Top Bottom